Tanga, MKUU wa Wilaya ya Tanga, Thobias Mwalapwa,
amekishukuru kiwanda cha Saruji cha Rhino
cha Tanga kwa msaada wake wa madawati 350 kwa shule ya Msingi ya Kange
na mabenchi 10 kwa Zahanati iliyopo ndani ya kata hiyo.

Akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano, Mwalapwa
alisema msaada huo utaondosha kero ya wanafunzi darasani kukaa chini hivyo
kutaka makampuni mengine kufuata nyayo za kiwanda hicho cha Rhino.

Amesema mabenchi 10 kwa Zahanati pia itaondosha kero kwa
wagonjwa wanaofika kituoni na kuondosha kero ya foleni ya kukaa chini kusubiri
huduma.

“Niseme kutoka moyoni nimepata faraja kubwa kwa ndugu zetu
kutukumbuka jiwe moja kwa ndege wawili, madawati 350 kwa shule na mabenchi 10
kwa Zahanati, hili ni tukio jema la faraja” alisema Mwailapwa

Kwa upande wake Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Rhino, Girish
Gumar, amesema msaada huo wa madawati 350 na mabenchi kwa Zahanati uko na
thamani zaidi ya milioni 45.

Alisema kiwanda cha Rhino kimekuwa kikisaidia katika Nyanja mbalimbali
zikiwemo za Elimu, Afya, Mazingira na huduma nyengine za kijamii.

Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Rinho, Girish Kumar akimkabidhi
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Thobias Mwalapwa moja ya madawati 350 kwa shule ya msingi ya Kange kupunguza kero ya uhaba wa madawati kwa shule hiyo ambayo awali wanafunzi walikuwa wakisomea chini.

Wanafunzi wa shule ya msingi ya Kange Tanga wakipeleka madawati madarasani kati ya
madawati 350 yaliyotolewa na kiwanda cha Saruji cha Rinho jana. Shule
hiyo ilikuwa ikikabiliwa na uhaba wa madawati na baadhi ya wanafunzi kulazimika
kukaa chini.

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tangakumekucha
No comments:
Post a Comment