Kaimu
Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Deogratias
Lutatora (Kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Kilimo, Prof. Susan
Nchimbi-Msolla (Wapili Kushoto) wakimuongoza Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe.
Mizengo Pinda (Mwenye tai nyekundu) kufungua Kongamano la Wadau la SUA.
Kushoto kwa Mhe. Pinda ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Kulia) akiagana na Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Saidi Mkabakuli (Kushoto) mara baada ya kutembelea Banda la TADB.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Katikati) akizungumza wakati alipotembelea Banda TADB.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Kulia) akisalimiana na wafanyakazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania waliokuwa wakitoa huduma wakati wa Kongamano
la Wadau la SUA linaloendelea Mkoani Morogoro. Kushoto ni Afisa
Maendeleo ya Biashara Mwandamizi, Bw. George Nyamrunda na Afisa Mipango
na Sera Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Mzee Kilele (Wapili kushoto).
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Kulia) akikaribishwa kutembelea Banda la TADB na Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Saidi Mkabakuli (Kushoto).
Wadau
waliojitokeza kutembelea Banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
(TADB) wakipitia majarida na vipeperushi vilivyokuwa vikitolewa na
wafanyakazi wa Benki hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Katikati waliokaa) akiwa katika picha
ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Wadau la SUA mara baada ya
kufungua Kongamano hilo. Wengine waliokaa ni Kushoto kwa Mhe. Pinda ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe. Kaimu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Deogratias Lutatora (Kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe (Kulia).
No comments:
Post a Comment