Wafanyakazi wakijipongeza baada ya kumaliza mbio
Wafanyakazi wakijipongeza baada ya kumaliza mbio
Umati wa washiriki katika Kili Marathon
Wafanyakazi wa TBL Group wakijipongeza baada ya kumaliza mbio hizo
Wafanyakazi wa TBL Group wakijipongeza baada ya kumaliza mbio hizo
Umati wa washiriki katika Kili Marathon
…………………………………………………………………………
Wafanyakazi
wa kampuni ya TBL Group kutoka mikoa mbalimbali walikuwa miongoni mwa
washiriki katika mbio za Kili Marathon,zilizofanyika mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro.
Mbio hizo ambazo mdhamini wake mkuu wa bia ya Kilimanjaro inayotengenezwa na kampuni hiyo zilikuwa na washiriki wengi kutoka hapa nchini na nje ya nchi wakitokea kwenye taasisi na wengine washiriki binafsi.
Baadhi
ya wafanyakazi walioshiriki walishukuru kuwezeshwa kushiriki kwenye
mbio hizo kwa ajili ya kuimarisha afya zao na kuzitangaza chapa
wanazoshiriki kuzizalisha za bia ya Kilimanjaro na Kinywaji cha Grand
Malta.
No comments:
Post a Comment