Pages

Wednesday, February 1, 2017

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAPEWA MAFUNZO YA KANUNI NA SHERIA ZA MANUNUZI NA PSPTB

an1
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akifungua mafunzo ya siku tatu ya kanuni na sheria za manunuzi kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo yanayotolewa na wataalamu kutoka Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB). Lengo la mafunzo hayo  ni kuwajengea uwezo na kuzifahamu sheria za manunuzi .
Hasa utaratibu katika ununuzi wa Umma kwa kutumia sheria ya ununuzi wa Umma na kanuni zake ikiwa ni pamoja na mabadiliko mbalimbali ya sheria ya mwaka 2016
an2 an3
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akifafanua jambo wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya kanuni na sheria za manunuzi kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo yanayotolewa na wataalamu kutoka Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB).
an4
Washiriki wa  mafunzo ya siku tatu ya kanuni na sheria za manunuzi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mafuzo yaliyokuwa yanatolewa na wataalamu kutoka Bodi ya Usimamizi na Ugavi (PSPTB). Lengo la mafunzo hayo  ni kuwajengea uwezo na kuzifahamu sheria za manunuzi .
ab5

an
Amosi Kasinza Afisa Mkuu wa Utafiti na Ushauri PSPTB akitoa mada katika mafunzo hayo yaliyofanyika leo katika Taasisi ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment