Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza mwananchi, Bi.
Sobha Mohamed, aliyejitokeza kueleza kero ya masuala ya mirathi
anazozipata katika mahakama mbele yake wakati wa sherehe za Kuzinduz
Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama Mtaa wa Chimala
Ocean road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Jaji Kiongozi Mhe Ferdinand Wambali akichukua melezo ya
mwananchi, Bi. Sobha Mohamed, aliyejitokeza kueleza kero ya masuala ya
mirathi anazozipata katika mahakama mbele yake wakati wa sherehe za
Kuzinduz
Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama Mtaa wa Chimala Ocean road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment