Kamishna wa Maadili kutoka
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela
akimpokea Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania(CDF), Jenerali Venance
Salvatory Mabeyo alipowasili katika Ofis za Sekretari hiyo kwa ajili ya
kula kiapo cha Uadilifu leo Jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Maadili kutoka
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold
Nsekela(wapili kushoto) akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania
(CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo alipowasili katika Ofis za
Sekretari hiyo kwa ajili ya kula Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma
leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania
(CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akila Kiapo cha Uadilifu kwa
Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Kulia anayeshuhudia ni
Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji
Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania
(CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akitia saini katika Hati ya
Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Kulia
anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania
(CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akipokea Hati ya Kiapo cha
Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kutoka kwa Kamishna wa Maadili wa
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela
leo Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi
Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa akila Kiapo cha
Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Kulia
anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi
Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa akitia saini katika
Hati ya Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es
Salaam. Kulia anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya
Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar
es Salaam.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi
Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa akipokea Hati ya Kiapo
cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kutoka kwa Kamishna wa Maadili wa
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela
leo Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu MKuu wa Jeshi la Ulinzi
Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa akielezea jambo nje ya
Ofisi za Sekretairieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, mara baada ya
kula Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO.
No comments:
Post a Comment