Meneja
Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Asa Mwaipopo(wa pili kutoka kulia) na Meneja Uendelevu
wa Mgodi wa Buzwagi ,George Mkanza wakikabidhi hundi ya kodi ya huduma ya zaidi
ya Sh Mil 740 kwa Mkuu wa wilaya ya Kahama ,Fadhili Nkurlu(wa pili toka
kushoto) tukio lililofanyika juzi mjini Kahama ,Wa kwanza kushoto ni makamu
mwenyekiti wa halmashauri ya Mji wa Kahama Bi Marry Manyambo.

Mkuu wa
Wilaya Kahama,Fadhili Nkurlu na akimkabidhi hundi iliyotolewa na Mgodi wa
Buzwagi kama Kodi ya Huduma yenye thamani ya zaidi ya Sh Mil 740 , Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Anderson Msumba kwa ajili ya utekelezaji wa mradi
wa ujenzi wa hospitali kubwa ya wilaya ya Kahama, mradi ambao ujenzi wake
utategemea fedha zinazotokana na kodi za ushuru wa huduma unaolipwa na Mgodi huo.

Baadhi ya waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kahama wakifuatilia hafla ya kukabidhi hundi kwa halmashauri ya mji wa Kahama.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Asa Mwaipopo akiwahutubia waheshimiwa
madiwani wa halmashauri ya Kahama pamoja na wadau mbalimbali
waliohudhuria hafla ya kukabidhi hundi kwa halmashauri ya Mji wa Kahama
madiwani wa halmashauri ya Kahama pamoja na wadau mbalimbali
waliohudhuria hafla ya kukabidhi hundi kwa halmashauri ya Mji wa Kahama
Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu (aliyesimama) akihutubia wageni
waalikwa wakati wa hafla ya kupokea hundi ya ushuru wa huduma kutoka
Mgodi wa dhahabu wa Buzwagi. Kutokea kushoto waliokaa ni Katibu
tawala wa wilaya Kahama Timothy Ndanya na Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Asa Mwaipopo.

Mkuu wa wilaya Kahama na Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi wakiteta jambo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.
HALMASHAURI
ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga imepokea kiasi cha Sh Mil 700,040,000 kutoka kwa kampuni ya Acacia inayomiliki mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi ikiwa ni sehemu ya kodi ya huduma (service levy) ya kipindi cha mwezi Julai na Desemba 2016.

Kiasi hiki ni zaidi ya kilichotolewa kipindi cha Julai na Desemba mwaka 2015 ambapo mgodi huo uliikabidhi
halmashauri ya mji wa Kahama hundi yenye thamani ya kiasi cha sh Mil 500,088,000 kama kodi ya huduma ikiwa ni utekelezaji wa sheria kwa kulipa kodi zilizopo kwa mujibu wa sheria.
halmashauri ya mji wa Kahama hundi yenye thamani ya kiasi cha sh Mil 500,088,000 kama kodi ya huduma ikiwa ni utekelezaji wa sheria kwa kulipa kodi zilizopo kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza
wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya Hundi ,Meneja mkuu wa Mgodi wa
Buzwagi Mhandisi Asa Mwaipopo alisema Buzwagi inamatumaini makubwa kuwa
katika siku za karibuni halmashauri itaanza kutekeleza mradi huo na
hivyo kutoa matumaini kwa wananchi wa Kahama kupata huduma nzuri za afya
ndani ya wilaya.
“Mpaka
sasa kama Kampuni tumekwisha kabidhi kwenu takribani kiasi cha bilioni
1.4 hii ikiwa na maana ya kodi yote ya ushuru wa huduma katika kipindi
cha mwaka 2016, wananchi wangetamani kuona mradi huu unaanza maana kiasi
hicho kilichopo kama kitatumika kinaweza kutekeleza sehemu kubwa ya
mradi huu kwa kuanzia wakati tukisubiri awamu zingine” alisema Mwaipopo.
Katika
hafla hiyo ya makabidhiano iliyofanyika katika viwanja vya makazi ya
viongozi katika wilaya hiyo,Mwaipopo alisema licha ya Kampuni yake
kulipa kodi mbalimbali bado imekuwa ikijishughulisha katika kuhakikisha
inakuwa mdau muhimu wa maendeleo kwa kufadhili miradi mbalimbali ya
maendeleo katika maeneo yanayozunguka Mgodi.
Kwa
upande wake Mkuu wa wilaya ya Kahama ,Fadhili Nkurlu aliyepokea hundi
hiyo kutoka kwa uongozi wa Buzwagi na baadae kuikabidhi kwa mwenyekiti
wa halmashauri ya Kahama ameupongeza uongozi
wa Mgodi wa Buzwagi kwa jitihada ambazo wamekuwa wakizifanya katika kuhakikisha
wanalipa kodi mbalimbali pamoja na jushirikiana na Jamii katika kutekeleza
miradi mbalimbali.
wa Mgodi wa Buzwagi kwa jitihada ambazo wamekuwa wakizifanya katika kuhakikisha
wanalipa kodi mbalimbali pamoja na jushirikiana na Jamii katika kutekeleza
miradi mbalimbali.
Alisema
Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi umeekua mstari wa mbele katika kulipa kodi
mbalimbali ambako mpaka kufikia sasa zimefikia zaidi ya shilingi bilioni
197 ambazo zimetolewa katika vipindi tofauti.
Akizungumzia
matumizi ya pesa hizo katika kutekeleza mradi wa ujenzi wa hospitali ya
wilaya ya Kahama Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Kahama Anderson
Msumba alisema halmashauri iko katika hatua za mwisho za utekelezwaji wa
ujenzi huo.
Miloni 700,040,000 zilizotolewa zinafanya juma ya pesa zote zilizotolewa katika vipindi vya miaka miwili
kufikia Bil 1.2 fedha ambazo zitasaidia katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ukiwemo wa Afya.
kufikia Bil 1.2 fedha ambazo zitasaidia katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ukiwemo wa Afya.
No comments:
Post a Comment