Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao kazi
ambacho kimehudhuriwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba pamoja na
Wajumbe wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Mazingira
uliyo ongozwa na Mwenyekiti wake Ali Mfuruki.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na Wajumbe wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya
Mazingira uliyo ongozwa na Mwenyekiti wake Ali Mfuruki.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment