Pages

Sunday, January 29, 2017

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima afanya mahojiano na TBC


kali1
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akionesha moja ya fomu zinazotumika katika Uchaguzi wakati akifanya mahojiano na Mtangazaji Mwandamizi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Shaban Kissu.
kali2
Mtangazaji Mwandamizi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Shaban Kissu (kushoto) akifanya mahojiano na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani.
kali3
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akifafanua jambo.
kali4
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mtangazaji Mwandamizi wa TBC, sHaban Kissu.
Picha na Hussein Makame, NEC

No comments:

Post a Comment