Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya
Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (Katikati) akimkaribisha Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia
Kandiero (Kulia). Kushoto ni Mkurugenzi wa Hazina na Utafutaji Fedha wa
TADB, Bw. Albert Ngusaru.
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero (Kulia aliyesimama)
akizungumza wakati alipotembelea TADB. Kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw.
Francis Assenga.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya
Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (Kushoto) akimpatia Zawadi ya
Ramani ya Tanzania Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero (Kulia).
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya
Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (Wapili kulia aliyesimama) akihimiza
jambo wakati Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero alipotembelea TADB.
Mkurugenzi wa Hazina na Utafutaji Fedha wa
TADB, Bw. Albert Ngusaru (Aliyesimama) akizungumza wakati Mwakilishi Mkazi wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero
alipotembelea TADB.
Afisa anayeshughulikia masuala ya kijinsia katika
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Bibi Beatrice Mrema akitoa neno la
Shukrani kwa Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya
Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (Aliyesimama) akizungumza wakati
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake,
Dkt. Tonia Kandiero alipotembelea TADB.
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero (Kulia) akisaini
Kitabu cha Wageni wakati alipotembelea TADB.
Anayemtazama ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga.
No comments:
Post a Comment