Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akitoa
hotuba ya kufunga mkutano wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wabunge wa
Jumuiya ya Madola-Kanda ya Afrika jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akizungumza
na baadhi ya Wajumbe wa wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wabunge wa
Jumuiya ya Madola-Kanda ya Afrika(CPA-AFRICA) jijini Dar es
Salaam.Wakwanza kushoto ni Dkt. Acho Ihim Rais CPA-Afrika, Mhe Elijah
Okupa Kaimu Mwekahazina wa CPA-Afrika na Mhe. Lindiwe Maseko Mwenyekiti
wa kamati hiyo. Kamati hiyo ilikutana Jijini Dar es Salaam kwa muda wa
wiki moja kujadili masuala mbalimbali yanayohusina na Chama hicho.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai
(katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Tendaji
ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola-Kanda ya Afrika (waliokaa)
pamoja na Sekretarieti ya Chama hicho.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai
akiagana na Rais CPA-Afrika Dkt. Acho Ihim mara baada ya kufunga mkutano
wa Chama hicho Jijini Dar es Salaam.
Picha na Ofisi ya Bunge
No comments:
Post a Comment