Pages

Friday, December 30, 2016

MSAJILI WA HAZINA AKUTANA NA TAASISI ZA SERIKALI NA KUSAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA MWAKA


  saji-1
Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akikabidhiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya AICC Balozi Dk.Ladislaus Komba mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Zisizo za Serikali kupitia msajili wa Hazina.
saji
 Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akizungumza jambo na baadhi ya wajumbe kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)na Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania.(TPRI) wakati wa hafla ya makabidhiano ya makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na zisizo za Serikali kupitia msajili wa hazina.
saji-2
MsajiliwaHazinaDk.OswaldMashindanoakikabidhiananamwakilishikutoka MfukowaUmojawaDhamanayaUwekezaji Tanzania mkatabawamakubalianoyautekelezaji wamkakatiwamwakakatiyaTaasisizaSerikalinaSerikalikupitiamsajiliwahazina..NyumaniMkurugenziMtendajiwa MfukowaUmojawaDhamanayaUwekezaji Tanzania Bw.James Washima.
saji-4
 WajumbembalimbalikutokaBodi yaWakurugenziya AICC na MfukowaUmojawaDhamanayaUwekezaji Tanzania wakimskilizaMsajiliwaHazinaDk.OswaldMashindano (hayupopichani) wakatiwamakubalianoyautekelezajiwamkakatiwamwakakatiyaTaasisizaSerikalinaSerikalikupitiamsajiliwahazina.
saji-3
MsajiliwaHazinaDk.OswaldMashindanoakikabidhiananamwakilishikutokaTaasisiyaUtafitiwaViuatilifuvyaKitropiki Tanzania (TPRI)mkatabawamakubalianoyautekelezajiwamkakatiwamwakakatiyaTaasisizaSerikalinaSerikalikupitiamsajiliwahazina.
saji-5
Mhadhiriwa Chuo Kikuu cha Dar essaalaam Prof. ParamagambaKabudi akitiasainimkatabawamakubalianoyautekelezajiwamkakatiwamwakakatiyaTaasisizaSerikalinaSerikalikupitiamsajiliwahazinaleoJijini Dar esSalaam.KushotokwakeniMakamuMkuuwa Chuo Kikuu cha Dar esSalaamProfesa Rwekaza Mukandara
PichanaDaudiManongi-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment