Mkurugenzi wa Mtandao wa
Fullshangweblog Bw. John Bukuku akitia saini kitabu cha maombolezo ya
kifo cha Marehemu Mpoki Bukuku Nyumbani kwao Msalato nje kidogo ya mji
wa Dodoma aliyefariki hivi karibuni jijini Dar es salaam
Mpiga picha mkuu wa Magazeti ya
Serikali TSN Daily News na Habari Leo Bw. Mohamed Mambo akitia saini
kitabu cha maombolezo ya kifo cha Marehemu Mpoki Bukuku Nyumbani kwao
Msalato nje kidogo ya mji wa Dodoma aliyefariki hivi karibuni jijini
Dar es salaam.
Waandishi wakiwa kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika maombolezo ya kifo hicho.
Jeneza la mwili wa marehemu likiwa katika viwanja vya nyumbani kwa familia yake.
Waombolezaji mbalimbali wakiwa katika majonzi.
No comments:
Post a Comment