Pages

Monday, November 28, 2016

MAJALIWA AAGANA RAIS WA CHAD ALIYEONDOKA NCHINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere wakati Rais huyo alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius kambarage Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya Rais huyo kuondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Rais wa Chad, Idriss Deby kwenye uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam wakati Rais huyo alipoondoka nchini Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Rais wa Chad, Idriss Deby akipokea heshima kwenye uwnja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere wakati alipoondoka nchini Novemb 28, 2016. Kushoto kwake ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alimsindikiza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

SUKARI YASAIDIA KUREJESHA NGOZI KATIKA HALI YA UJANA


Kama unajali afya ya ngozi yako achana na kuhangaika kutafuta vipodozi vya bei mbaya badala yake unaweza kuifanya ngozi yako kuendelea kuwa na muonekano mzuri kama kijana kwa kutumia vitu vinavyopatikana jikoni mwako.

Kwa mujibu wa kitabu kipya cha kujikinga na ngozi kuzeeka, sukari inaweza kuwa ni moja ya jibu zuri la kuirejeshea ujana ngozi yako, papai pamoja na mafuta ya Argan ikiwa ni sehemu tu ya vyakula vinavyopatikana jikoni.


ASSEMBLY ADOPTS KEY REPORT ON SENSITISATION ACTIVITIES

Hon Abdullah Mwinyi addresses the House
Chair of EALA Chapter, Kenya, Hon Nancy Abisai .The Chapter engaged a number of stakeholders at the Sensitisation held recently.

The Assembly is recommending that Sensitisation and awareness on the integration process be institutionalized as a continuous activity on its agenda. This is in addition to a raft of resolutions it adopted late yesterday as it debated a key Report on Sensitisation.

The report follows the sensitization activities carried out by the Assembly between October 27th 2016 to November 7th, 2016 in the Partner States. The sensitisation, the third such series this year for EALA, targeted various stakeholders in outreach and was anchored on the theme: “EAC Integration Agenda: Accessing the gains”

In the report, the Assembly urges the Partner States to fully implement the Common Market Protocol which provides for free movement of people, capital and services among others, to allow citizens of East Africa to enjoy their rights. With it comes the need for the Partner States to eliminate Non-Tariff Barriers which impact negatively on intra- Regional trade activities.

On matters of peace and security, the Assembly wants the matters prioritised for people to appreciate the benefits of integration. This includes the fastracking of the implementation of the EAC Peace and Security Protocol.

The Assembly is also urging EAC Summit of Heads of States to put more efforts to fast track the on-going peace negotiation for the Republic of Burundi. Other areas include issuance of work permits to facilitate those who wish to work in EAC Partner States as well as addressing the issue of Certificates of Rules of Origin to facilitate cross border trade.

In a bid to foster integration, the Assembly is urging the Summit of Heads of State to upgrade Kiswahili to be one of the official languages of the Community.The sensitization programmes targeted Parliamentarians, youth groups, representatives of the business community and local government authorities. Other groups include Government officials, students and media in the respective Partner States.

The objectives of the Sensitisation activities included creating awareness amongst the people of East Africa on the integration process; gains and challenges of integration and enhancing the mutual relationships and sustainable networking between EALA and the people of East Africa.

In Rwanda, the EALA Chapter toured the Rwanda Standards Board to hold discussions with the stakeholders. Also visited were the Nemba One Stop Border Post on the Rwanda/Burundi border as well as a tour to the Rusumo One Stop Border Post bordering Rwanda and Tanzania and at Gatuna on the Rwanda/Uganda frontier.

WAZIRI MWIGULU AFANYA MZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sara Cooke (kulia) masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Uingereza na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Balozi wa Uingereza nchini, Sara Cooke (wapili kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati), kuhusiana na masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, na kulia ni Naibu Balozi wa nchi hiyo, Matt Sutherland. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimshukuru Balozi wa Uingereza nchini, Sara Cooke, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo. Balozi huyo alimtembelea Waziri huyo kwa lengo ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

EAC AT THE 6TH AFRICA REGIONAL PLATFORM AND 5TH HIGH LEVEL MINISTERIAL MEETING ON DISASTER RISK REDUCTION IN MAURITIUS

The 6th Africa Regional Platform (AfRP) on Disaster Risk Reduction (DRR) concluded over the weekend in Mauritius. It was organized by the African Union and United Nations International Strategy for Disaster Risk Reduction and co-hosted by the SADC and the Government of Mauritius. The East African Community was represented both at the Experts segment and in the High Level Ministerial Session by Mr. Jean Baptiste Havugimana, the Director for Productive Sectors.

The AfRP is a biennial forum that brings together African Member States, intergovernmental organizations and development partners to review progress in the implementation of the continental and global disaster risk reduction frameworks.

The 6th AfRP on DRR is the first continental meeting on DRR organized after the adoption of the Sendai framework on DRR by UN member states in Sendai, Japan in March 2015. The Framework provides a critical strategy for building resilience and addressing the impact of disasters representing a serious threat to millions of people in Africa and across the world. The 6th AfRP was a concrete opportunity for Africa to set up a functional path to alleviate the suffering of the most vulnerable communities in Africa.
The Platform also enabled delegates sharing of good practices, success stories and lessons learnt with a view to enhancing coordination, increasing awareness, and mobilizing commitments to disaster risk reduction across Africa.

The outcome of the 6th Africa Platform on DRR is an Africa Statement of DRR, the Mauritius Declaration on continental commitment and a revised Programme of Action on DRR for Africa.

During the Experts segment, Mr. Jean Baptiste Havugimana was a panelist under the theme: “Risk governance to showcase the status of EAC in implementing the Sendai Framework and the role of the DRR Act in achieving priority two of the Sendai Framework - Enhancing Risk governance”. Mr. Havugimana further presented during the Ministerial Session the EAC Position Paper and Commitment in the implementation of the Sendai Framework. The Statement was a summary of discussions held by all EAC delegations during their session as a REC.

TANGA YAWATAKA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI INDIA KUWEKEZA ILI KUWEZA KUNUFAIKA NA FURSA ZILIZOPO

Balozi wa India nchini Tanzania ,Sandeep Arya kushoto akiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Thobias Mwilapwa wakati wa kongamano la wafanyabiashara wa pili kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi.
Balozi wa India nchini Tanzania ,Sandeep Arya akizungumza wakati wa kongamano hilo kushoto kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Mnauye
Balozi wa India nchini Sandeep Arya kushoto akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Mnauye katikati wakati wa kongamano la wafanyabiashara kutoka nchini India na Tanga uliofanyika ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Resort kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi
Baadhi ya wafanyabiashara kutoka nchini India na Tanga wakimfuatilia hotuba ya Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Thobias Mwilapwa wakati akifungua kongamano la wafanyabiashara juzi kwenye ukumbi wa hotel ya Tanga Beach Resort

No comments:

Post a Comment