Mfuko
wa Pensheni wa LAPF wakabidhi vifaa vya umwagiliaji maji kwa kikundi
cha watu wenye Ulemavu cha Buigiri, Dodoma. Pichani ni Afisa Masoko
Mwandamizi wa LAPF Rehema Mkamba akikabidhi baadhi ya vifaa hivyo kwa
viongozi wa kikundi hicho. Vifaa hivyo vitawasaidia kuendesha shughuli
za kilimo cha mboga mboga cha umwagiliaji ili kujipatia kipato.
No comments:
Post a Comment