Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa
TANESCO wa mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zakayo Temu (katikati) wakati
alipotembelea Kituo cha Umeme cha TANESCO cha Dodoma Oktoba 2,
2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa kutoka kwa Meneja wa TANESCO wa
Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zakayo Temu (kushoto) kuhusu hali ya
upatikanaji wa umeme kwenye makao makuu ya nchi Dodoma wakati alipotembelea
Kituo cha Umeme cha TANESCO cha Dodoma Oktoba 2, 2016. Wengine
Pichani kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama,
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma , Christina
Mndeme.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na
wafanayakazi na viongozi wa kiwanda cha Gypsum cha Premalt cha Dodoma wakti
alipokitembelea mjini Dodoma Oktoba 2, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua uzalishaji katika
kiwanda cha Gypsum cha Premalt cha mjini Dodoma wakati alipokitembelea
Oktoba 2, 2016
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akipokea kutoka kwa mkurugenzi wa kiwanda cha Magodoro Dodma, Haidary Gulamali,
magodoro 200 yenye thamani ya shilingi milioni 10 ukiwa ni msaada kwa
waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano hayo
yalifanyika baada ya Waziri Mkuu kutembelea kiwanda hicho Oktoba 2, 2016.
Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama Spring zinazotumika kutengeneza magoro
wakati aliopotembelea kiwanda cha Magodoro Dodoma Oktoba 2, 2016. Kushoto
ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho, Haidary Gulamali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi
wa kiwanda cha Magodoro Dodoma baada ya kutembelea kiwanda hicho Oktoba 2,
2016. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho, Haidary Gulamali na
kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana na wapili kulia kwake
ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzanai Mhe.Samia Suluhu
Hassan (kulia), akiwa na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba
Salvador Antonio Valdes Mesa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere leo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku
tatu hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akiangalia ngoma za asili mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Saalaam ambapo atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini. Makamunwa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akiangalia moja ya kikundi kilichokuwa kinatumbuiza kwa matarumbeta mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Saalaam ambapo atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini.
Amesema madaktari hao ambao wanatarajia kuingia nchini hivi karibuni ataanzia kutoa huduma hiyo katika hospitali ya Rufaa ya Bugando mkoani Mwanza na kisha hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma.
Bw. Gulamali ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Oktoba 2, 2016) wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipotembelea kiwanda hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua maeneo ya kutolea huduma za jamii mjini Dodoma.
“Mtoto wangu amefanyiwa upasuaji wa moyo mara sita na Desemba atafanyiwa upasuaji mwingine nchini India. Nikiwa nchini India nimefahamiana na kujenga urafiki na madaktari wengi wa moyo kati yao 14 watakuja nchini na kutoa huduma ya matibabu hayo bure,” amesema.
Mbali na kupeleka madaktari hao katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, pia Bw. Gulamali ameahidi kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana magodoro mapya kwenye hospitali hiyo.
Wakati huo huo Bw. Gulamali amemkabidhi Waziri Mkuu magodoro 200 yenye thamani ya sh. milioni 10 kusaidia wananchi waliathirika na tetemeko la ardhi lililotokea Septemba 10, 2016 na kusababisha vifo vya watu 17 wengine 440 walijeruhiwa.
Pia tetemeko hilo limesababisha nyumba 2,063 kuanguka huku nyingine 14,081 zikiwa katika hali hatarishi baada ya kupata nyufa na 9,471 zimepata uharibifu mdogo huku wananchi 126,315 wakihitaji misaada mbalimbali.
Waziri Mkuu alishukuru Bw. Gulamali kwa msaada huo na kuahidi kuwa Serikali itahakikisha magodoro hayo inayafikisha Kagera kwa walengwa kama ilivyokusudiwa.
Pia Waziri Mkuu alimpongeza Mkurugenzi wa kiwanda hicho kwa uamuzi wake wa kuleta madaktari bingwa wa moyo kutoka India watakaotoa huduma ya upasuaji kwa watoto ambao baadhi yao wazazi wao hawana uwezo wa kuwapeleka nchini India.
“Pia nimefarijika kukuta kiwanda chako kipo hai na kinafanya kazi nzuri ya kusalisha magodoro bora. Nakupongeza kwa kutekeleza wito wetu wa kutoa kipaumbele cha ajira kwa kuajiri Watanzania 147 kati ya watumishi 150 walioajiriwa kiwandani hapa,” alisema.
Bw. Gulamali alisema anatarajia kuwekeza katika ujenzi wa mradi wa kiwanda cha kusindika mafuta ya alizeti kitakachogharimu sh. bilioni nne hivyo kitaongeza fursa ya ajira kwa Watanzania.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU
S. L. P. 980,
DODOMA.
JUMAPILI, OKTOBA 02, 2016
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Oktoba 2, 2016) wakati akizungumza na watumishi na viongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dodoma (DUWASA) mara baada ya kukagua utendaji kazi wa chanzo cha maji cha Mzakwe nje kidogo ya mji wa Dodoma.
“Niletee haraka orodha ya wadaiwa wote wa Ofisi za Serikali na taasisi za umma ambao hawajalipa bili zao. Madeni yote ni lazima yalipwe,” amesema Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu ambaye yuko katika ziara ya siku mbili ya kukagua maandalizi ya Serikali kuhamia Dodoma, anatembelea sehemu mbalimbali za kutolea huduma za jamii pamoja na kukagua miundombinu ya mkoa huo.
Aliutaka uongozi wa DUWASA na watumishi wote wahakakishe wanaboresha huduma za upatikanaji wa maji hasa kwenye maeneo yanayopimwa viwanja ili wananchi au wawekezaji wanaponunua viwanja wakute huduma hiyo ipo na waanze ujenzi mara moja.
“Tumealika wawekezaji, nataka wajenge viwanda na mahoteli hapa Dodoma, sasa wakikuta maji na umeme kwenye maeneo yao, itakuwa ni kichocheo cha kuharakisha kazi za ujenzi,” amesema.
Pia amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Bi. Christina Mndeme ahakikishe eneo lililo jirani na chanzo hicho cha maji halikaliwi na mtu yeyote na linalindwa dhidi ya uchomaji mioto.
“Uchomaji moto uoto wa asili umeharibu vyanzo vingi vya maji. Ni tatizo kubwa hapa nchini na halina budi kusimamiwa hadi liishe,” amesisistiza.
Amefikia uamuzi huo baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa DUWASA, Mhandisi David Pallangyo kwamba kuna wananchi wameanza kujenga na kufanya shughuli za kijamii jirani na chanzo hicho licha ya kuwa walikwishaondolewa zamani.
Kuhusu wadaiwa sugu, Mhandisi Pallangyo alisema mashirika ya umma na taasisi za Serikali ndiyo wanaongoza kwa kulimbikiza madeni. “Wananchi wa kawaida wapo wanaodaiwa lakini deni lao siyo kubwa na hao tunawamudu,” alisema wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi.
Alisema changamoto nyingine inayowakabili ni uchomaji moto ambapo hivi karibuni uliwashwa moto na kuunguza baadhi ya nguzo za umeme ambazo zinapeleka umeme kwenye chanzo hicho.
Alisema askari wa JKT Makutupora walisaidia kuzima moto huo ili usifike kwenye mitambo mingine ya chanzo hicho cha maji.
Waziri Mkuu pia alikagua maabara ya upimaji maji kwenye chanzo hicho kabla hayajasambazwa kwa wateja na mara yanapokuwa yamefika kwa wateja na kuelezwa kuwa maji hayo yanakidhi viwango vya kitaifa na vya kimataifa vilivyowekwa na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Waziri Mkuu anaendelea na ziara yake kwa kutembelea kiwanda cha magodoro Dodoma na kituo cha kuzalisha umeme cha Zuzu.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU
S. L. P. 980,
DODOMA.
JUMAPILI, OKTOBA 2, 2016
Gazeti moja la Marekani limesema
limepata nyaraka zinazoonyesha tajiri Donald Trump alitoa maelezo ya
kupata hasara ya zaidi ya dola milioni 900 wakati wa malipo ya kodi
mwaka 1915 kwa serikali ya Shirikisho.
Mahususi, siku hii imekuwa na lengo la kuutambua mchango wa wazee katika jamii kwa wakati husika na wakati uliopita katika mataifa yao. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu tunatumia fursa hii kuwapongeza wazee wote duniani na hususan wazee wa Tanzania.
Pia tunatumia siku hii kuikumbusha serikali na mihimili mingine ya dola pamoja na wanachi wote kwa ujumla kuheshimu wazee wetu kama hazina ya taifa. Pia Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinaitumia siku hii kuungana pamoja na wazee wanaodai haki yao kwa zaidi ya miaka 20.
Mathalani, wazee waliotumikia iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki kabla ya kuvunjika kwake mwaka, 1977 ambao mpaka leo wameendelea kupambana na kudai haki yao.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu pia tunaitumia siku ya leo kuitaka serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania kutoa msimamo wake juu ya kesi ya madai ya waliokuwa walinzi wa ubalozi wa marekani nchini Tanzania wakijulikana kama ‘mission security force’ katika Ubalozi wa Amerika kwa serikali ya Amerika – 1984.
Sambamba na hayo Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinakemea vikali vitendo vya mauji ya wazee kwa imani za kishirikina vinavyozidi kupamba moto nchini, watoa huduma wa afya wanaotumia lugha za kuudhi dhidi ya wazee, vijana wanaorubuni wazee kuuza mali zao na kuwatapeli hususani ardhi kuacha vitendo hivi ili kuheshimu tunu hii adhimu ya taifa..
Tunaungana na jamii ya ulimwengu kusimama kupinga mitazamo hasi juu ya wazee na uzee kiujumla.
Wazee ni hazina kwa Taifa tuilinde hazina hii kwa uendelvu wa jamii yetu.Tuwatunze na kuwasikiliza wazee wetu.
Imetolewa jana Tarehe 1/10/2016
Dkt.Helen Kijo-Bisimba
Mkurugenzi Mtendaji.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
KIM KARDASHIAN AIBIWA KWA KUTUMIA MTUTU WA BUNDUKI JIJINI PARIS
WAFADHILI WAFURAHISHWA NA UKAUSHAJI WA MBOGA MBOGA WA WANAWAKE MOROGORO
Mkurugenzi
wa mawasiliano wa taasisi ya Mfuko wa Wanawake Afrika, Anna Salado
(kulia), akipakua mboga zilizopikwa kiasili na kuungwa kwa nazi wakati
yeye na ujumbe wake walipotembelea mradi wa ukaushaji wa mboga na
matunda wa wanawake wa Kata ya Mzinga mkoani Morogoro hivi karibuni.
Kushoto ni Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, Milikieli Mansweat
Mahiku.
Mratibu
wa mradi wa Green Voices kutoka taasisi ya Mfuko wa Wanawake Afrika ya
Hispania, Alicia Cebada, akiwa ameshikilia pakiti ya kisamvu
kilichokaushwa na kufungashwa huku akiwapongeza wanawake wa kikundi cha
Mzinga katika Kata ya Mzinga, Manispaa ya Morogoro kwamba wamefanya kazi
nzuri sana. Mwenye fulana nyeupe ni Bi. Esther Muffui, mshiriki
kiongozi wa mradi huo.
SIYO tu mapishi ya asili ya kisamvu kikavu kilichoungwa kwa nazi, lakini mafanikio makubwa katika ukaushaji na usindikaji wa mboga na matunda katika mradi wa wanawake wa Kata ya Mzinga, Manispaa ya Morogoro yamewavutia wahisani wa taasisi ya Women for Africa Foundation kutoka Hispania.
Hali hiyo imewafanya wanawake hao wawe katika nafasi kubwa zaidi ya kusonga mbele ikiwa wafadhili hao watatoa tena fedha katika awamu ya pili ya mradi wa Green Voices unaotekelezwa nchini Tanzania.
Akizungumza katika Kijiji cha Konga kwenye Kata hiyo, mratibu wa mradi huo kutoka Hispania, Bi. Alicia Cebada, alisema kwamba licha ya kuwa na muda mfupi tangu kuanza kwa mradi huo, lakini wanawake hao wamefanya mambo makubwa ambayo yanastahili kuungwa mkono.
“Hii teknolojia ya ukaushaji wa mboga na matunda ni rahisi na inafaa sana kwa uhifadhi wa chakula, kinachotakiwa ni kwa wanawake hawa kuwezeshwa zaidi,” alisema Alicia ambaye aliongozana na Mkurugenzi wa habari wa taasisi hiyo, Anna Salado, na ofisa mwandamizi wa taasisi hiyo anayeshughulikia masuaa ya ubunifu, Bi Noellia pamoja na mratibu wa Green Voices Tanzania, Bi. Secelela Balisidya.
Alicia alisema kwamba, changamoto ndogo wanazokabiliana nazo wamezisikia, lakini akasema katu zisiwakatishe tamaa kwa sababu inaonyesha dhahiri wanaweza kufanya mambo makubwa mbele ya safari.
Maofisa
wa taasisi ya Mfuko wa Wanawake Afrika kutoka Hispania wakiwa katika
picha ya pamoja na wanakikundi wa Mzinga (wenye sare). Kulia ni mratibu
wa mradi wa Green Voices nchini Tanzania, Bi. Secelela Balisidya.
SIYO tu mapishi ya asili ya kisamvu kikavu kilichoungwa kwa nazi, lakini mafanikio makubwa katika ukaushaji na usindikaji wa mboga na matunda katika mradi wa wanawake wa Kata ya Mzinga, Manispaa ya Morogoro yamewavutia wahisani wa taasisi ya Women for Africa Foundation kutoka Hispania.
Hali hiyo imewafanya wanawake hao wawe katika nafasi kubwa zaidi ya kusonga mbele ikiwa wafadhili hao watatoa tena fedha katika awamu ya pili ya mradi wa Green Voices unaotekelezwa nchini Tanzania.
Akizungumza katika Kijiji cha Konga kwenye Kata hiyo, mratibu wa mradi huo kutoka Hispania, Bi. Alicia Cebada, alisema kwamba licha ya kuwa na muda mfupi tangu kuanza kwa mradi huo, lakini wanawake hao wamefanya mambo makubwa ambayo yanastahili kuungwa mkono.
“Hii teknolojia ya ukaushaji wa mboga na matunda ni rahisi na inafaa sana kwa uhifadhi wa chakula, kinachotakiwa ni kwa wanawake hawa kuwezeshwa zaidi,” alisema Alicia ambaye aliongozana na Mkurugenzi wa habari wa taasisi hiyo, Anna Salado, na ofisa mwandamizi wa taasisi hiyo anayeshughulikia masuaa ya ubunifu, Bi Noellia pamoja na mratibu wa Green Voices Tanzania, Bi. Secelela Balisidya.
Alicia alisema kwamba, changamoto ndogo wanazokabiliana nazo wamezisikia, lakini akasema katu zisiwakatishe tamaa kwa sababu inaonyesha dhahiri wanaweza kufanya mambo makubwa mbele ya safari.
ACT YAZINDUA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA JIJINI DAR
Mchungaji
wa Kanisa la All- Nations Christian Tabernacle (ACT) Sos Mabele akisali
wakati akifungua Ibada hiyo iliyokuwa ni ya ufunguzi wa Harambee ya
uchangiaji wa ujenzi wa Kanisa
Mmoja ya waumini akisoma neno la Mungu wakati Mchungaji akiwaongoza
Waumini wakimsikiliza kwa makini Baba Mchungaji akifundisha neno
Katibu wa kamati ya ujenzi Debora Simon (wa kwanza Kulia) pamoja na waumini mwengine wakifuatilia neno
MKUU WA MKOA WA MWANZA ATAKA MAHAKAMA KUREJESHA IMANI KWA WANANCHI.
Na George Binagi-GB Pazzo @BMG
Watendaji
wa Mahakama nchini wamehimizwa kufanya kazi kwa uwazi na uadilifu, ili
kurejesha imani kwa wananchi juu ya chombo hicho muhimu katika utoaji wa
maamuzi.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, alitoa kauli hiyo jana kwenye Mkutano wa robo mwaka wa Chama cha Majaji na Mahakimu JMAT, tawi la Mwanza na Geita uliofanyika Jijini Mwanza.
Mongella alisema watendaji wa mahakama wakiwemo Majaji na Mahakimu wanapaswa kutenda haki katika shughuli zao na kuhakikisha mchango wa mahakama katika utoaji wa haki unaonekana kwa wananchi.
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu tawi la Mwanza, Francis Kishenyi, ambaye pia ni Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Ukerewe, alisema miongoni mwa malengo ya chama hicho ni kuhakikisha watumishi wa mahakama wakiwemo Majaji na Mahakimu wanafanya kazi kwa kuzingatia maadili ya mahakama.
Pamoja na mambo mengine, mkutano huo umejadili masuala mbalimbali ikiwemo maadili ya viongozi wa Umma katika kuwatumikia wananchi.

MAKAMU WA RAIS WA CUBA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU TATU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akiangalia ngoma za asili mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Saalaam ambapo atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini. Makamunwa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akiangalia moja ya kikundi kilichokuwa kinatumbuiza kwa matarumbeta mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Saalaam ambapo atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini.
MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA GYPSUM DODOMA
GULAMALI KUWALETA MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJI WA MOYO
MKURUGENZI
wa kiwanda cha magodoro cha Dodoma Asili Bw. Haidary Gulamali amesema
atawaleta madaktari bingwa 14 kuja kufanya upasuaji wa moyo bure kwa
watoto watakaobainika kuwa na matatizo hayo.
Amesema madaktari hao ambao wanatarajia kuingia nchini hivi karibuni ataanzia kutoa huduma hiyo katika hospitali ya Rufaa ya Bugando mkoani Mwanza na kisha hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma.
Bw. Gulamali ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Oktoba 2, 2016) wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipotembelea kiwanda hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua maeneo ya kutolea huduma za jamii mjini Dodoma.
“Mtoto wangu amefanyiwa upasuaji wa moyo mara sita na Desemba atafanyiwa upasuaji mwingine nchini India. Nikiwa nchini India nimefahamiana na kujenga urafiki na madaktari wengi wa moyo kati yao 14 watakuja nchini na kutoa huduma ya matibabu hayo bure,” amesema.
Mbali na kupeleka madaktari hao katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, pia Bw. Gulamali ameahidi kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana magodoro mapya kwenye hospitali hiyo.
Wakati huo huo Bw. Gulamali amemkabidhi Waziri Mkuu magodoro 200 yenye thamani ya sh. milioni 10 kusaidia wananchi waliathirika na tetemeko la ardhi lililotokea Septemba 10, 2016 na kusababisha vifo vya watu 17 wengine 440 walijeruhiwa.
Pia tetemeko hilo limesababisha nyumba 2,063 kuanguka huku nyingine 14,081 zikiwa katika hali hatarishi baada ya kupata nyufa na 9,471 zimepata uharibifu mdogo huku wananchi 126,315 wakihitaji misaada mbalimbali.
Waziri Mkuu alishukuru Bw. Gulamali kwa msaada huo na kuahidi kuwa Serikali itahakikisha magodoro hayo inayafikisha Kagera kwa walengwa kama ilivyokusudiwa.
Pia Waziri Mkuu alimpongeza Mkurugenzi wa kiwanda hicho kwa uamuzi wake wa kuleta madaktari bingwa wa moyo kutoka India watakaotoa huduma ya upasuaji kwa watoto ambao baadhi yao wazazi wao hawana uwezo wa kuwapeleka nchini India.
“Pia nimefarijika kukuta kiwanda chako kipo hai na kinafanya kazi nzuri ya kusalisha magodoro bora. Nakupongeza kwa kutekeleza wito wetu wa kutoa kipaumbele cha ajira kwa kuajiri Watanzania 147 kati ya watumishi 150 walioajiriwa kiwandani hapa,” alisema.
Bw. Gulamali alisema anatarajia kuwekeza katika ujenzi wa mradi wa kiwanda cha kusindika mafuta ya alizeti kitakachogharimu sh. bilioni nne hivyo kitaongeza fursa ya ajira kwa Watanzania.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU
S. L. P. 980,
DODOMA.
JUMAPILI, OKTOBA 02, 2016
WAZIRI MKUU ATAKA ORODHA YA WADAIWA SUGU DUWASA
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa ameagiza apatiwe orodha ya wadaiwa sugu wa taasisi
zote za Serikali mkoani Dodoma ambao wamelimbikiza deni la sh. bilioni
1.4 zikiwa ni bili zao za maji.
Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Oktoba 2, 2016) wakati akizungumza na watumishi na viongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dodoma (DUWASA) mara baada ya kukagua utendaji kazi wa chanzo cha maji cha Mzakwe nje kidogo ya mji wa Dodoma.
“Niletee haraka orodha ya wadaiwa wote wa Ofisi za Serikali na taasisi za umma ambao hawajalipa bili zao. Madeni yote ni lazima yalipwe,” amesema Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu ambaye yuko katika ziara ya siku mbili ya kukagua maandalizi ya Serikali kuhamia Dodoma, anatembelea sehemu mbalimbali za kutolea huduma za jamii pamoja na kukagua miundombinu ya mkoa huo.
Aliutaka uongozi wa DUWASA na watumishi wote wahakakishe wanaboresha huduma za upatikanaji wa maji hasa kwenye maeneo yanayopimwa viwanja ili wananchi au wawekezaji wanaponunua viwanja wakute huduma hiyo ipo na waanze ujenzi mara moja.
“Tumealika wawekezaji, nataka wajenge viwanda na mahoteli hapa Dodoma, sasa wakikuta maji na umeme kwenye maeneo yao, itakuwa ni kichocheo cha kuharakisha kazi za ujenzi,” amesema.
Pia amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Bi. Christina Mndeme ahakikishe eneo lililo jirani na chanzo hicho cha maji halikaliwi na mtu yeyote na linalindwa dhidi ya uchomaji mioto.
“Uchomaji moto uoto wa asili umeharibu vyanzo vingi vya maji. Ni tatizo kubwa hapa nchini na halina budi kusimamiwa hadi liishe,” amesisistiza.
Amefikia uamuzi huo baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa DUWASA, Mhandisi David Pallangyo kwamba kuna wananchi wameanza kujenga na kufanya shughuli za kijamii jirani na chanzo hicho licha ya kuwa walikwishaondolewa zamani.
Kuhusu wadaiwa sugu, Mhandisi Pallangyo alisema mashirika ya umma na taasisi za Serikali ndiyo wanaongoza kwa kulimbikiza madeni. “Wananchi wa kawaida wapo wanaodaiwa lakini deni lao siyo kubwa na hao tunawamudu,” alisema wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi.
Alisema changamoto nyingine inayowakabili ni uchomaji moto ambapo hivi karibuni uliwashwa moto na kuunguza baadhi ya nguzo za umeme ambazo zinapeleka umeme kwenye chanzo hicho.
Alisema askari wa JKT Makutupora walisaidia kuzima moto huo ili usifike kwenye mitambo mingine ya chanzo hicho cha maji.
Waziri Mkuu pia alikagua maabara ya upimaji maji kwenye chanzo hicho kabla hayajasambazwa kwa wateja na mara yanapokuwa yamefika kwa wateja na kuelezwa kuwa maji hayo yanakidhi viwango vya kitaifa na vya kimataifa vilivyowekwa na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Waziri Mkuu anaendelea na ziara yake kwa kutembelea kiwanda cha magodoro Dodoma na kituo cha kuzalisha umeme cha Zuzu.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU
S. L. P. 980,
DODOMA.
JUMAPILI, OKTOBA 2, 2016
HAITI NA JAMAICA ZAJIANDAA KWA KIMBUNGA HATARI KIITWACHO MATTHEW
Nchi ya Haiti imeanza zoezi la
kuhamisha wakazi waliopo kwenye maeneo hatarishi kutokana na kimbunga
kikubwa kiambatanacho na mvua kiitwacho Matthew, kinachotisha kuleta
maafa, mafuriko kikiwa na upepe wenye kasi ya kilomita 240 kwa saa.
Kimbunga hicho ni kukikubwa
kulikumba eneo la Atlantic kwa karibu muungo mmoja, kinatarajia
kuikumba Haiti na Jamaica hapo kesho, Kituo cha Taifa Cha Vimbunga
cha Marekani kimeeleza.
Wakazi wa maeneo hatarishi wameanza
kuweka akiba ya mahitaji yao muhimu, huku Waziri Mkuu wa Jamaica
akiwataka wananchi kujiandaa kukabiliana na janga hilo kabla ya muda
wa kufanya hivyo hauajaisha.
Watu wakifanya manunuzi ya mahitaji yao muhimu ya kutosha ili kujiwekea akiba kabla ya kimbunga Matthew hakijanza
GAZETI LAIBUA UWEZEKANO WA DONALD TRUMP KUKWEPA KWA HILA KULIPA KODI
Gazeti hilo la New York Times
limesema hasara hiyo ni kubwa mno na inaweza kuwa ilimuwezesha Trump
ambaye ni mgombea urais wa Marekani kwa chama cha Republican, kuweza
kutolipa kodi kwa hadi mika 18 kisheria.
Kambi ya kampeni ya Bw. Trump
imegoma kutoa mrejesho wa malipo ya kodi anayolipa Bw. Trump kutokana
na biashara zake, na pia imesita kukiri tuhuma za kudai kupata hasara
pamoja na ukubwa wa hasara hiyo.
LHRC YATOA TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI SIKU YA WAZEE DUNIANI
OKTOBA
Mosi (1) ya kila mwaka ni siku iliyoteuliwa na Umoja wa Mataifa
kuadhimisha uwepo wa wazee katika jamii kote ulimwenguni. Siku hii
ilianza kuadhimishwa rasmi Oktoba 1, 1991 kwa lengo la kuongeza uelewa
kuhusu mambo yanayowalenga wazee ikiwemo kutoheshimu haki za wazee,
kutazama mahitaji na maslahi ya wazee na kuhakikisha mzee popote alipo
ulimwenguni anapata huduma za msingi za kijamii kama vile huduma bora za
afya na matibabu.
Mahususi, siku hii imekuwa na lengo la kuutambua mchango wa wazee katika jamii kwa wakati husika na wakati uliopita katika mataifa yao. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu tunatumia fursa hii kuwapongeza wazee wote duniani na hususan wazee wa Tanzania.
Pia tunatumia siku hii kuikumbusha serikali na mihimili mingine ya dola pamoja na wanachi wote kwa ujumla kuheshimu wazee wetu kama hazina ya taifa. Pia Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinaitumia siku hii kuungana pamoja na wazee wanaodai haki yao kwa zaidi ya miaka 20.
Mathalani, wazee waliotumikia iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki kabla ya kuvunjika kwake mwaka, 1977 ambao mpaka leo wameendelea kupambana na kudai haki yao.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu pia tunaitumia siku ya leo kuitaka serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania kutoa msimamo wake juu ya kesi ya madai ya waliokuwa walinzi wa ubalozi wa marekani nchini Tanzania wakijulikana kama ‘mission security force’ katika Ubalozi wa Amerika kwa serikali ya Amerika – 1984.
Sambamba na hayo Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinakemea vikali vitendo vya mauji ya wazee kwa imani za kishirikina vinavyozidi kupamba moto nchini, watoa huduma wa afya wanaotumia lugha za kuudhi dhidi ya wazee, vijana wanaorubuni wazee kuuza mali zao na kuwatapeli hususani ardhi kuacha vitendo hivi ili kuheshimu tunu hii adhimu ya taifa..
Tunaungana na jamii ya ulimwengu kusimama kupinga mitazamo hasi juu ya wazee na uzee kiujumla.
Wazee ni hazina kwa Taifa tuilinde hazina hii kwa uendelvu wa jamii yetu.Tuwatunze na kuwasikiliza wazee wetu.
Imetolewa jana Tarehe 1/10/2016
Dkt.Helen Kijo-Bisimba
Mkurugenzi Mtendaji.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
No comments:
Post a Comment