Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika dhifa ya Kitaifa
aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika Ikulu
ya Nairobi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta pamoja na Mke wa Rais wa Kenya Mama Margaret Kenyatta
katika dhifa hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo huku akiwa amewashika
mikono kwa pamoja Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Naibu Rais wa Kenya
William Ruto na Mke wa Rais wa Kenya Mama Margaret Kenyatta katika dhifa
hiyo ya kitaifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mabalozi mbalimbali wa
Kenya waliohudhuria katika dhifa hiyo ya Kitaifa.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment