Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ wakati wa
kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo
mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud akisoma kazi za Mpango
kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya
Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja, chini ya
Mwenyekiti weke Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa anayeshuhulikia Idara Maalum za SMZ ACP Sida Muhamed Himid na (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija,[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 24/10 /2016.
Mshauri wa Rais Ushirikiano wa
Kimataifa,Fedha na Uchumi Ikulu Mhe,Balozi Mohamed Ramia
Abdiwawa,akiuliza suala wakati wa kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika
utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016
kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja, chini ya Mwenyekiti weke Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Balozi Seif Ali Iddi,na
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd, Radhiya Rashid [Picha na Ikulu]
31/10/2016.
Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ wakiwa katika
mkutano wa siku moja unaozungumzia Mpango kazi wa mwaka 2016-2017
katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016
uliofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.
No comments:
Post a Comment