Mbunge wa Arusha mjini (CHADEMA),
Godbless Lema, (kushoto), na Naibu Waziri wa Elimu, Teknolojia na
Mafunzo ya Ufundi Stadi, Injinia Stella Manyanya, wakiwasili bungeni
Baadhi ya wabunge wakielekea kwenye ukumbi wa bunge leo Septemba 6, 2016
Spika wa Bunge Job Ndugai, akiongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa 11
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniamjini Dodoma, Septemba 6,
2016
Bunge likiendelea
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Said Jafo, akizungumza
bungeni mjini Dodoma leo Septemba 6, 2016. Naibu waziri huyo alinusurika
kifokwenye ajali yagari mkoani Mbeya jana Septemba 5, 2016, baada ya
gari lake kugongwa na gari lingine upande anaokaa yeye ambapo licha ya
tairi kuchomoka kitufe cha usalama, (Safety bag) cha gari hilo nacho
kilifyatuka kumkinga asidhurike
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, wakijadiliana jambo bungeni leo
(PICHA NA HASSAN SILAYO WA MAELEZO)
No comments:
Post a Comment