| |
Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii TTB Bw. Geofrey Meena akiangalia
tukio la kupatwa kwa jua kwa miwani maalum wakati wa kushuhudia tukio
hilo katika eneo la Taraza Relini Rujewa wilayani Mbarali.
Meneja Masoko wa TTB Bw. Geofrey Meena kulia pamoja na pamoja na
wafanyakazi wenzake wa TTB kutoka kulia Gladstone MlayMkuu wa Utalii
Kanda ya Ziwa , Irene MvileAfisa Utalii Habari na ErnestMususa Mhasibu
wakishuhudia tukio hilo kwa pamoja.
Mkurugenzi wa Fullshangwe Bw. John Bukuku hakuwa nyuma ili kushuhudia tukio hilo pia
Mkuu wa Mawasiliano TTB eofrey Tengeneza akizungumza na wananchi
mbalimbali waliohudhuria katika eneo hilo ili kushuhudia tukio hilo.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala akiwa pamoja na viongozi wa mkoa huo Katikati Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw William Ntinika na Mbunge wa jimbo la Mbarali.
Mkuu wa mkoa wa Songwe Mh. Chiku Galawa akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa Mstaafu Bw.Eraston Mbwilo.
Baadhi ya wanafunzi wakishuhudia tukio hilo.
Mwananchi wa Rujewa Kennedy Lutambi akishuhudia tukio hilo.
Mwandishi wa Gazeti la Uhuru Issa Mohammed naye hakuwa nyuma kushuhudia tukio hilo adimu.
Hivi ndivya hali ilivyokuwa baada ya juwa kupatwa matukio tofauti yakionyesha lilipokuwa likipatwa na kuachiwa.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-RUJEWA-MBEYA)
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makala,
(Kulia), Meneja Uhusiano wa TANAPA, Pascal Shelutete (katikati) na
Mkuuwa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa, wakitumia miwani maalum kuona
tukiola kupatwa kwa jua huko Mbarali mkoani Mbeya hivi sasa Septemba 1,
2016
Pascal akitazama kupatwa kwa jua |
TUKIO
la kupatwa kwa jua limeanza kutokea hapa nchini, na kwa karibu asilimia 90,
tukio hilo imeelezwa na wataalamulitaonekana kwa uwazizaidi.
Hapa
Dares Salaam, pana halikama ya ugiza wa mawingu, lakini tayari tukio hilo
wakazi wa mikoa ya nyanda za juu Kuisni hususan Rujewa ambako Mamlaka za bodiya
Utalii nchini, imeandaa Rujewa kuwa kama sehemu maalum ya watalii wa ndani na
nje kujikusanya ili kushuhudia tukio hilo linalotokea kwa nadra sana Duniani.
Kupatwa
kwa jua kwa mujibu wa wataalamu, ni pale Mwezi unapokaa katikati ya Juan a Dunia,
na kusababisha miali ya jua kutoangaza vema Dunia.
Tukiohilo
lililoanza mishale ya saa nne na nusu, linatarajiwa kufukia ukingoni majira ya
mchana.
Wanafunzi na wananchi wengine wakiwa huko Rujewa mkoni Mbeya wakishuhudia tukio hilo
Viongozi wa ambao ni waandaaji wa Tamasha la Pamoja Carnival wakifuatilia maelezo kuhusu tamasha hilo, wakati yakiwasilishwa kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. |
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi
ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akiagana na Meneja Masoko
wa TTB Bw. Geofrey Meena Kiongozi wa Msafara wa Watalii wa Ndani na
waandishi wa habari wanaotoka Dar es salaam kwenda Rujewa Wilaya ya
Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua
ambapo wageni mbalimbali pamoja na wanahabari kutoka vyombo vya habari
vya ndani na vya kimataifa wako mkoani humo kwa ajili ya kushuhudia
tukio hilo nadra kutokea duniani.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi
ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo na Mkurugenzi wa Bodi ya
Utalii TTB Bi. Devotha Mdachi wakiagana na Meneja Masoko wa TTB Bw.
Geofrey Meena pamoja na Antonio Nugas Mtembezi kutoka Clouds Media
Viongozi wa Msafara wa Watalii wa Ndani na waandishi wa habari
wanaokwenda Rujewa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya
kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua.
Baadhi ya wapiga picha wa vyombo vya
habari hapa nchini wakiendelea na kazi yao wakati msafara huo ukiondoka
jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi
ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo na Mkurugenzi wa Bodi ya
Utalii Bi. Devotha Mdachi wakielekea kwenye gari kwa ajili ya kuwaaga
baadhi ya watalii wa Ndani na waandishi wa habari wanaokwenda Rujewa
Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kushuhudia tukio la kupatwa
kwa jua wakitokea jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi
ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akizungumza na waandishi
wa habari na kuwapa maneno kadhaa wakati akiwaaga baadhi ya watalii wa
Ndani na waandishi wa habari wanaokwenda Rujewa Wilaya ya Mbarali
mkoani Mbeya kwa ajili ya kushuhudia tukio la kupatwa kwa jua wakitokea
jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akizungumza na waandishi wa habari
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi
ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akizungumza na waandishi
wa habari, kulia ni Bi. Devotha Mdachi Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii TTB
na kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Clouds Baby Kabaya na Mkurugenzi wa
Masoko TTB Bw. Philip Chitaunga,
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi
ya Utalii Tanzania TTB Mh. Jaji Thomas Mihayo akiasalimiana na baadhi ya
wafanyakazi wa Bodi ya Utalii TTB.
Kulia ni Meneja Masoko wa TTB Bw.
Geofrey Meena na kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TTB
Bw. Geofrey Tengeneza na Mkurugenzi wa Masoko TTB Bw. Philip Chitaunga.
Mshiriki wa mkutano wa pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma Kutoka nchini Kenya Dkt. Rebecca Oenga akitoa uzoefu wa nchi ya Kenya
katika kukabiliana na Trakoma kwenye
maeneo ya mipakani ya jamii za wafugaji.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kupambana na Trakoma (ITI) akizungumza na washiriki wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma kuhusu uendelezaji wa juhudi za kuwaelimisha wananchi na kutoa tiba katika maeneo yanakabiliwa na ugonjwa Trakoma kwa nchi washiriki wa mkutano huo kutoka Kenya, Tanzania, Uganda, Ethiopia, Eritrea, Sudani na Sudani Kusini.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Kupambana na Trakoma (ITI) akizungumza na washiriki wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma kuhusu uendelezaji wa juhudi za kuwaelimisha wananchi na kutoa tiba katika maeneo yanakabiliwa na ugonjwa Trakoma kwa nchi washiriki wa mkutano huo kutoka Kenya, Tanzania, Uganda, Ethiopia, Eritrea, Sudani na Sudani Kusini.
Mratibu wa Taifa wa
Magonjwa yasiyopewa kipaumbele kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Upendo John Mwingira akiwasilisha
Mada kuhusu mkakati wa Tanzania wa kukabiliana na Trakoma kwa kuyafikia maeneo yasiyofikika
kirahisi ya jamii za wafugaji nchini Tanzania wakati Mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7
za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo unaofanyika
jijini Arusha. Wananchi kutoka Jamii za wafugaji kutoka nchi washiriki
wa mkutano huo bado wanakabiliwa na changamoto ya
ugonjwa wa Trakoma.
Mganga
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dkt. Frida Mokiti akichangia wakati wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za
Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma jijini
Arusha.
Afisa Afya kutoka Kaunti ya NAROK
nchini Kenya Daniel Sironka akitoa mchango wake kuhusu namna anavyowaelimisha
wananchi wa eneo lake kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma wakati wa mkutano wa pili wa mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo
katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Miradi wa Shirika la Sightsavers,
Michael Kelly (katikati) akisisitiza jambo kuhusu ushiriki wa Sightsavers
katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma wakati wa mkutano
wa
pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki
zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Trakoma jijini Arusha.
Washiriki wa mkutano wa pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Arusha.
Washiriki wa mkutano wa pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Arusha.
Washiriki wa mkutano wa pili wa
mwaka wa nchi 7 za Afrika Mashariki zilizo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa
Trakoma kutoka Tanzania wakiwa katika majadiliano kabla ya kuwasilisha taarifa
ya pamoja kuhusu maeneo ya utekelezaji katika mapambano dhidi ya Trakoma.
Picha/Aron Msigwa –MAELEZO.
No comments:
Post a Comment