WANANZENGO WA 102.5 LAKE FM MWANZA WAJUMUIKA NA MFANYAKAZI MWENZAO KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Septemba 20 miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa kijana mchapa kazi anayefanya kazi na 102.5 Lake Fm Mwanza, Imani Hezron. Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Uongozi wa Lake Fm #RahaYaRock #RedioYaWananzengo umemuandalia Imani tafrija fupi kama picha zinavyoonekana. Na BMG.
Mwananzengo wa Lake Fm Mwanza, Imani Hezron, akiogeshwa kwenye siku yake ya kuzaliwa, na baadhi ya wafanyakazi wenzake.
Mwananzengo wa Lake Fm Mwanza, Imani Hezron, akiogeshwa kwenye siku yake ya kuzaliwa
Mwanahabari wa Lake Fm na Blogger wa BMG, George Binagi-GB Pazzo, akimlisha keki Imani Hezron
Mtangazaji wa Kipindi cha Mshike Mshike, Aisha BBM, akilishwa keki
WAZIRI MKUU APOKEA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1, IKIWA NI MCHANGO WA TAASISI ZA UMMA, KUSAIDIA MAAFA YA TETEMEKO MKOANI KAGERA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya shilingi
1,000,030,100/= kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi
(katikati) na Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru (kushoto) kwa ajili ya
waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea Kagera . Fedha hizo ni
michango ya watumishi wa serikali na Taasisi zake. Makabidhiano hayo
yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 20, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea hundi ya
shilingi 1,000,030,100/= kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi
John Kijazi (katikati) na Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru (wapili
kulia), Lawrence Mafuru (kushoto) .Fedha hizo ni
michango ya watumishi wa serikali na taasisis zake na makabidhiano yalifanyika
Ofisni kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 20, 2016.
MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN, AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RUSSIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali
Wynjones Mathew Kisamba (kushoto) ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe
Geofrey Mwambe akimkabidhi Mwenge wa uhuru mkuu wa Wilaya ya Ikungi
Mhe Miraji Jumanne Mtaturu (Kulia).
Wananchi wakifatilia kwa karibu makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kutoka Wilayani manyoni kuhamia Wilayani Ikungi
Mkimbiza Mwenge Kitaifa Lucia vitalis Kamafa kutoka Manyara akiuhifadhi mwenge huo kwenye sehemu yake ya kuhifadhiwa
United States ChargĂ© d’Affaires, a.i. Virginia Blaser with
representatives from various organizations after she awarded community grants
to 22 organizations working to improve the lives of Tanzanians. The grants awarded at a ceremony held at
the U.S. Embassy in Dar es Salaam will directly benefit more than 30,000 people
in 16 regions across the country and will improve services and opportunities in water and sanitation,health,
education and economic development. (PHOTO
U.S. EMBASSY COURTESY)
United States ChargĂ© d’Affaires, a.i. Virginia Blaser (center) and
Community Grants Coordinator Mike Connors (second from right) in a group photo
after she awarded community grants to 22 organizations working to improve the
lives of Tanzanians. The grants
awarded at a
ceremony held at the U.S. Embassy in Dar es Salaam will directly benefit more
than 30,000 people in 16 regions across the country and will improve services
and opportunities in water and
sanitation, health,
education and economic development.
MKUU wa mkoa Arusha Mrisho Gambo akiongea na walimu wote wa
shule za msingi 48 zilizopo ndani ya Halmashauri ya jiji la Arusha ,waratibu elimu,wakaguzi elimu pamoja na maafisa elimu kata
Habari picha na Woinde Shizza,Arusha
MKUU wa mkoa Arusha Mrisho Gambo amemuagiza mkurugenzi wa jiji la
Arusha Athumani Kihamia kulipa madeni yote wanayodai walimu ya milioni 154 ndani ya wiki mbili ambayo wamekuwa wakidai serikali kuu kwa muda mrefu bila kulipwa na hivyo kusababisha walimu hao kukata tamaa ya ufundishaji wanafunzi .
Gambo alitioa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na walimu wote wa
shule za msingi 48 zilizopo ndani ya Halmashauri ya jiji la Arusha ,waratibu elimu,wakaguzi elimu pamoja na maafisa elimu kata katika mkutano wa kujua changamoto zinazowakabili walimu hao ili zipatiwe ufumbuzi.
Alisema kuwa walimu wamekuwa wakifundisha katika mazingira magumu na
kwamba hadi sasa wapo walimu wa shule za msingi wanaoadai madeni ya
likizo na mengineyo yenye gharama ya milioni 154 ambapo serikali kuu ndio inayopaswa izilipe na hadi sasa hawajalipwa jambo ambalo linawafanya walimu hao kupoteza muda wa kufundisha na kufuatilia kila siku madeni hayo.
“mkurugenzi nakupa muda wa wiki mbili deni hili la milioni 154 kwa ajili ya walimu akikisha zinalipwa haraka iwezekanavyo wakishalipwa ndio upambane na serikali kuu ufidie hapo zilikotolewa kwani haiwezekani walimu wapoteze muda kila siku wakifuatilia tu madeni huku wakiwa wameacha vipindi bila kufundisha wanafunzi wetu”alisema Gambo.
Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji hilo,Athumani Kihamia akijibu agizo hilo alilopewa na mkuu wa mkoa alisema kuwa fedha hizo ambazo ni madeni hayo zinapaswa zitokee serikali kuu na kwamba atahakikisha kuwa ndani ya muda wa wiki mbili atazilipa kupitia fedha za ndani za halamshauri hiyo ili zikija zirejeshwe.
Alifafanua kuwa deni hilo atalipa kutoka kwenye fedha alizoziokoa ambazo zilikuwa zinalipwa kinyume cha sheria kwa madiwani ambapo kiasi cha milioni 130 zilizokuwa zinatumika kuwalipia madiwani mafuta ,simu pamoja na nauli zitaelekezwa kulipa walimu hao madai yao ili waweze kujikimu na hali wanayokabiliana nayo.
‘‘Fedha ambazo zimeokolewa kwa ajili ya mafuta ni milioni 40.8,fedha za simu za madiwani milioni 61.2,nauli iliyookolewa milioni 28 ambapo jumla ni milioni 130 ambazo zimelipwa kinyume hivyo fedha hizi zinaelekezwa kwa walimu wa msingi na sekondari ikiwa ni madeni wanayodai halmashuri hii ambapo fedha zinasubiriwa serikali kuu lkni tumeona tuwatangulizie hizi fedha ili wajikimu na waweze kufundisha watoto wetu vizuri”alisema Kihamia .
Kihamia alisema kuwa watatanguliza fedha hizo kwa walimu hao wakati
wakiwa wanasubiria fedha toka serikali kuu ili waendelee kujikimu kwani zimeokolewa katika mianya ambayo zilikuwa zinateketea hivyo zitaongeza ufanisi kwa walimu katika kufundisha wanafunzi na akili zao na kufanya akili zao kuzielekeza kwa wanafunzi ili wapate elimu bora.
Baadhi ya walimu hao wakieleza kero zao walisema kuwa wanakabiliwa na
tatizo la kutopandishwa madaraja kwa waliokaa kazini muda mrefu huku
wengine walioingia kazini muda mfupi wakiwa wanapandishwa madaraja
bila kujua vigezo hivvyo kumwomba mkuu wa mkoa kuingilia swala hilo.
TEMBO AMUUA MMILIKI WAKE KWA KUMKANYAGA NA KISHA KUKIMBILI PORINI
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMPA WIKI MBILI MKURUGENZI WA JIJI KUHAKIKISHA WALIMU WOTE WANAODAI SEREKALI WALIOPO NDANI YA JIJI LA ARUSHA WANALIPWA FEDHA ZAO

MSANII WA JAMAICA APANDIKIZWA PEMBE KICHWANI
Katika
kile ambacho wasanii wanakiita 'kutafuta kiki', au kutaka umaarufu wa
haraka, mwanamuziki mmoja nchini Jamaica amefanyiwa operesheni na
kuwekewa pembe mbili kichwani.
Msanii huyo anayejulikana kama Furtyle Brain, amefanyiwa operesheni hiyo katika hospitali moja nchini Canada kwa kulipa kiasi kikubwa cha pesa.
Na ingawa anasema yeye si muumini wa shetani, lakini muonekano wake wa sasa kichwani unamuonyesha kama shetani kwa pembe zake mbili zilizochomoza usawa wa utosi wa kichwa chake.
Brain amesema licha ya kupata maumivu makali wakati wa kufanyiwa operesheni hiyo, kwa kutobolewa fuvu la kichwa, bado mpaka sasa anapata maumivu pale anapolala vibaya na kuzikandamiza pembe zake, lakini amesema anafurahia sana muonekano wake wa sasa.

DK. SHEIN AFANYA ZIARA ATEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA SEHEMU MBALIMBALI UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Idara ya Uvuvi katika Wizara
ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Nd,Mussa Aboud Jumbe Mwinyi wakati
alipotembelea Eneo lilatakalojengwa Soko la samaki,Malindi Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati pichani) akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakati alipotembelea katika maeneo ya Bandari ya majahazi alipofanya ziara ya kutembelea maeneo hayo leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiuliza suala kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Kapteni
Abdalla Juma (mwenye kipaza sauti) wakati alipotembelea Eneo la chelezo
Malindi wakati akiwa katika ziara maalum ya kutembelea lilatakalo
jengwa Soko la samaki,Malindi Mjini Unguja leo,[Picha na
Ikulu.]19/09/2016.
Baadhi ya Akina Mama wanaofanya bishara ya kuuza chakula katika maeneo
ya Bandari ya majahazi wakimuangalia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Ujumbe wake
wakati alipofanya ziara ya kutembelea maeneo hayo leo,[Picha na
Ikulu.]19/09/2016. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati pichani) akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakati alipotembelea katika maeneo ya Bandari ya majahazi alipofanya ziara ya kutembelea maeneo hayo leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.
MTUHUMIWA WA MABOMU JIJINI NEW YORK NA NEW JERSEY ATIWA NGUVUNI
Mtuhumiwa wa mabomu ya Jijini New
York na New Jersey anashikiliwa na polisi baada ya kurushiana risasi
na polisi baada ya kukutwa amelala kwenye mlango wa baa.
Mtuhumiwa huyo Ahmad Khan Rahami,
28, anafanyiwa upasuaji wa kwenye jeraha la risasi. Maafisa polisi
wawili nao wamejeruhiwa katika tukio hilo huko Linden, New Jersey.
Meya wa Linden Derek Armstead
amesema kuwa mmiliki wa baa alimkuta mtuhumiwa huyo akiwa kwenye
mlango wa baa yake na kuripoti polisi.
Mtuhumiwa wa milipuko ya mabomu New York na New Jersey akiwa kalala chini huku amefungwa pingu kwa nyuma
Mtuhumiwa ya milipuko ya mabomu ya New York na New Jersey akiingizwa kwenye gari la

No comments:
Post a Comment