CHAMA Cha Wananchi, CUF, kimetangaza kumvua
uanachama wa Chama hicho, Mwenyekiti wake Profesa Ibrahim Haruna Lipumba ikiwa
ni takriban sku tatu tu baada ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini
kumrejeshea uenyekiti wake ambao Baraza kuu la uongozi la chama hicho
liliridhia barua yake ya kujiuzulu.
Kwa mujibu wa maafisa wa chama hicho, Baraza
Kuu la Uongozi la CUF lililokutana visiwani Zanzibar jana na leo Septemba, 27,
2016, limeamua kumvua uanachama Profesa Lipumba, kwa maelezo kuwa hatua hiyo ni
muhimu katika kukinusuru chama hicho kisisambaratike
Kwa mujibu wa maafisa hao uamuzi wa Baraza Kuu
la Uongozi la Taifa la CUF unatokana na uwezo wake kwa mujibu wa Katiba ya
Chama, Ibara ya 10 (1)(c) limemfukuza uanachama Prof. Ibrahim Lipumba.
Hata
hivyo Profesa Lipumba alikaririwa akisema, kikao cha Baraza Kuu la
Uongozi kilichofanyiak Zanzibar hakikuwa halali kwa vile mwenye mamlaka
ya kuitisha kikao hicho ni Katibu Mkuu wa chama ambaye ni Maalim Seif
Shariff Hamad, ambaye kwa sasa yuko ng'ambokwenye matibabu. "Kwa vile
Maalim hayupo, mwenye mamlaka ya kuitisha kwa sasa ni Naibu KatibuMkuu
wa chama (Tanzania Bara), ambaye ni Magdalena Sakaya, lakini mama Sakaya
hakuitisha kikao hicho, hivyo ni kikao batili kwa mjibu wa katiba ya
chama." Alikaririwa Profesa Lipumba jana Septemba 26, 2016 akisema
CHALLENGE: According to a 2015 KPMG report, banking penetration is as low as 36% in some of the larger African economies.
SOLUTION: Digital Transformation can drive adoption of banking services by enabling banks to develop and deploy tailored, customer-focused products and solutions.
No sector or region is immune to the disruptive power of Digital Transformation. For the banking sector, this has meant radical changes in how services are offered and how technology is used to enable rapid deployment of new customer-centric innovations.
A recent SAP-sponsored study of 250 banks in the EMEA region by IDC offers key insights into how banks have adapted their business models and operations to reap the benefits of Digital Transformation, and what African banks can learn from their success - and how they can avoid some of the pitfalls.
Africa at a glance
According to the United Nations, Africa's population is expected to surge to 2.4 billion by 2050. Due to Africa's largely youthful population and the aging population in most developed countries, forecasters expect that much of the world's labour will be supplied by the African continent. This increase in economic activity is expected to drastically increase the uptake in banking services among African workers.
However, despite encouraging economic growth, most of Africa remains unbanked due to insufficient banking infrastructure, the perceived high cost of banking fees, and a disconnect between banking services and the needs of the customers they are meant to meet.
In Sub-Saharan Africa, bank branches are generally concentrated in high-population urban areas. Despite this, the European Investment Bank notes that these banks are typically high-cost operations that result in high service fees and a wide spread of interest rates. A 2014 World Bank paper showed that the average per-capita income in Sub-Saharan Africa is a mere $762. Banking products and services need to be carefully tailored to suit a diverse set of customer needs or risk losing traction in a market currently being disrupted by innovative start-ups.
Managing disruption
These upstart fintech companies are introducing new customer-centric innovation at a pace unmatched by the formal, traditional banking sector. While this clearly represents a threat to the incumbent banks, they should be wary of focusing on maintaining their traditional advantages and rather focus on utilizing technology to create new opportunities across the entire value chain. The ability to embrace disruptive fintech products and services will allow banks to ride the wave of uncertainty and emerge strong and future fit.
Despite the rapid pace of disruption and the evolution of the banking sector, most customer needs will be fundamentally the same five or even ten years from now. Saving for retirement, buying a house, paying for education, accessing medical services, tax and payroll - these needs are unlikely to change in any meaningful way. What is likely to change, however, is the role of the banking sector in providing such services, both for consumers as well as corporate clients
Mkuu
wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deogratius Ndejembi akizungumza wakati wa kikao
cha Kumng’oa Meneja wa Mamlaka ya Maji safi na salama Wilyani humo
Watumishi wa Mamlaka ya Maji safi na salama WIlayani Kongwa wakizunguza na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Deogratius Ndejembi
Na Mathias Canal, Dodoma
Kushindwa kusimamia miundombinu ya maji na kupelekea kuwa na ugumu wa upatikanaji maji kwa kiwango kinachotakiwa ni miongoni mwa kadhia zilizopingwa wakati wa kampeni na Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ambaye ndiye Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na kuahidi kuchagua wasaidizi watakaosimamia na kulimaliza jambo hilo mara baada ya kuingia madarakani.
Kwa kiasi kikubwa nchini Tanzania kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi wakitupa
lawama kwa baadhi ya watendaji wa serikali ambao wamesababisha kudorora kwa uchumi na kuchagiza ugumu wa maisha kutokana na umbali wanaotumia kutafuta maji, huduma za afya sambamba na umbali wa shule za Sekondari na Msingi.
Kutokana na kadhia ya upatikanaji hafifu wa maji safi na salama Wilayani Kongwa imepelekea kukalia kuti kavu kwa Meneja wa Mamlaka ya Maji safi na Salama Wilayani humo Ndg Kisha Bonga kutokana na kushindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo ikiwemo kusababisha wafanyakazi wa Mamlaka ya maji kufikia maamuzi ya kuandamana.
Maandamano ya Wafanyakazi hao yalifanyika siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita yaliyoanzia Ofisi za Mamlaka ya Maji safi hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kongwa wakiwa wamegoma kufanya kazi kutokana na kuchelewa kulipwa mishahara yao.
Ofisa
Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Watoto wenye shida Kurasini, Beatrice
Lawrance, akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo.
KOCHA SAM ALLARDYCE AACHIA MADARAKA YA UKOCHA WA UINGEREZA
Sam Allardyce ameachia madaraka ya
ukocha wa Uingereza baada ya kuafikia makubaliano na Chama cha Soka
Uingereza (FA) baada ya kuiongoza timu hiyo katika mchezo mmoja na
kuwa nayo kwa siku 67 tu.
Hatua hiyo inafuatia habari ya
uchunguzi ya gazeti la Telegram ambao inadai kuwa Allardyce, 61,
alitoa ushauri wa jinsi ya kukwepa sheria za FA kuhusiana na uhamisho
wa mchezaji.
Allardyce, anadaiwa kutumia nafasi
yake kuzungumzia mpango wa kujipatia kiasi cha paundi 400,000
kuiwakilisha kampuni moja ya Mashariki ya Mbali.
Katika taarifa yake Cama cha Soka
FA, kimesema alichofanya Allardyce si jambo sahihi, na kwa sasa
Gareth Southgate ataiongoza kwa muda timu ya taifa ya Uingereza.
Ni kama anasema "Mungu wangu nimefanya nini tena hiki jamani".
MAJALIWA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA KOREA YA KUSINI
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa makampuni mbalimbali
kutoka Korea ya Kusini ambao wamekuja Tanzania kuona fursa mbalimbali za
uwekezaji. Mazungumzo hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini
Dar es salaam Septemba 27, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela,
Angelina Mabula (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa
makampuni mbalimbali ya Korea Kusini ambao wapo nchini kuona fursa
mbalimbali za uwekezaji nchini. Picha hiyo ilitanguliwa na mazungumzo
yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 27.
Watatu kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Angelina Mbula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu , Kassim Majaliwa akikabidhiwa jezi yanye maneno Hapa Kazi Tu
iliyotolewa na wawekezaji kutoka Korea ya Kusini waliokuja nchini kuona
fursa mbalimbali za uwekezaji. Awali Waziri Mkuu alizungumza na
wawekezaji hao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 27, 2016.
Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ambaye
pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
THE DIGITAL – READY BANK – WHAT THE AFRICAN BANKING MARKET CAN ( AND SHOULD ) LEARN FROM EUROPE
CHALLENGE: According to a 2015 KPMG report, banking penetration is as low as 36% in some of the larger African economies.
SOLUTION: Digital Transformation can drive adoption of banking services by enabling banks to develop and deploy tailored, customer-focused products and solutions.
No sector or region is immune to the disruptive power of Digital Transformation. For the banking sector, this has meant radical changes in how services are offered and how technology is used to enable rapid deployment of new customer-centric innovations.
A recent SAP-sponsored study of 250 banks in the EMEA region by IDC offers key insights into how banks have adapted their business models and operations to reap the benefits of Digital Transformation, and what African banks can learn from their success - and how they can avoid some of the pitfalls.
Africa at a glance
According to the United Nations, Africa's population is expected to surge to 2.4 billion by 2050. Due to Africa's largely youthful population and the aging population in most developed countries, forecasters expect that much of the world's labour will be supplied by the African continent. This increase in economic activity is expected to drastically increase the uptake in banking services among African workers.
However, despite encouraging economic growth, most of Africa remains unbanked due to insufficient banking infrastructure, the perceived high cost of banking fees, and a disconnect between banking services and the needs of the customers they are meant to meet.
In Sub-Saharan Africa, bank branches are generally concentrated in high-population urban areas. Despite this, the European Investment Bank notes that these banks are typically high-cost operations that result in high service fees and a wide spread of interest rates. A 2014 World Bank paper showed that the average per-capita income in Sub-Saharan Africa is a mere $762. Banking products and services need to be carefully tailored to suit a diverse set of customer needs or risk losing traction in a market currently being disrupted by innovative start-ups.
Managing disruption
These upstart fintech companies are introducing new customer-centric innovation at a pace unmatched by the formal, traditional banking sector. While this clearly represents a threat to the incumbent banks, they should be wary of focusing on maintaining their traditional advantages and rather focus on utilizing technology to create new opportunities across the entire value chain. The ability to embrace disruptive fintech products and services will allow banks to ride the wave of uncertainty and emerge strong and future fit.
Despite the rapid pace of disruption and the evolution of the banking sector, most customer needs will be fundamentally the same five or even ten years from now. Saving for retirement, buying a house, paying for education, accessing medical services, tax and payroll - these needs are unlikely to change in any meaningful way. What is likely to change, however, is the role of the banking sector in providing such services, both for consumers as well as corporate clients
TIMU YA LEICESTER CITY YAENDELEZA USHINDI LIGI YA MABINGWA
Leicester City imeifunga Porto
katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa wakiwa nyumbani na
kuendeleza wimbi la ushindi katika ligi hiyo.
Alikuwa Islam Slimani, ambaye
anarekodi ya kuifunga Porto akiwa na klabu yake ya zamani Sporting
Lisbon, ndiye aliyefunga goli pekee kwa kichwa akiunganisha kona ya
Riyad Mahrez.
Kwa matokeo hayo Leicester
wanaongoza kundi F kwa tofauti ya pointi mbili ikifuatiwa na FC
Copenhagen, ambapo watakutana Oktoba 18.
Islam Slimani akipiga mpira wa kichwa ulioenda kujaa wavuni
Riyad Mahrez akipiga mpira wa adhabu kwa shuti la kuzungusha
TIMU YA BORUSSIA DORTMUND YALAZIMISHA SARE NA REAL MADRID
Aliyekuwa mchezaji wa Chelsea Andre
Schurrle amefunga goli la kusawazisha la dakika za mwisho wakati
Borussia Dortmund ikitokea nyuma na kulazimisha sare ya 2-2 na Real
Madrid katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa kundi F.
Real Madrid ilipata goli la kuongoza
kupitia Cristiano Ronaldo aliyemalizia mpira wa pasi ya kisigino
iliyopigwa na Gareth Bale.
Pierre-Emerick Aubameyang
aliisawazishia Dortmund kufuatia kosa la kipa Keylor Navas, lakini
baadaye Raphael Varane akaiongezea Real la pili kabla ya Schurrle
kusawazisha.
Cristiano Ronaldo akiachia shuti lililoandika goli la kwanza
Mshambualiaji machachari Pierre-Emerick Aubameyang akifunga goli
TOTTENHAM YAIZINDUKIA URUSI WAKATI SON HEUNG-MIN AKIENDELEZA MAKALI YAKE
Mshambuliaji Son Heung-min
ameendelea kuonyesha kiwango chake na kuipatia Tottenham ushindi wa
kwanza Ligi ya Mabingwa wa Ulaya dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi.
Mchezaji huyo raia wa Korea Kusini
alifunga goli lake la tano katika michezo mitano, kwa kutumbukiza
wavuni pasi ya Erik Lamela na kufanya matokeo kuwa 1-0.
Tottenham walioonekana kutokuwa
vizuri katika mchezo wao wa awali dhidi ya Monaco, walionekana vizuri
Urusi na kutandaza soka safi.
Son Heung-min akiachia shuti lililojaa wavuni na kuandika goli pekee katika mchezo huo
Mchezaji wa Tottenham Dele Alli akichuana na beki CSKA Moscow
KAMPUNI ZA KOREA KUSINI YAAHIDI KUWEKEZA NCHINI
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amekutana na wawekezaji wa kampuni tisa za nchini
Korea Kusini na kumuahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuwekeza
katika sekta ya kilimo, viwanda, maji, miundombinu, elimu, afya na
michezo.
Wawekezaji hao wanatoka kampuni ya Sima textile, ESM, Jusung Solar Engineering, Seongnam City FC, Yeong Yang City Korea,Ulsan Vocational Training, Egis Smart City, MBN
Akizungumza na wawekezaji hao jana jioni (Jumanne, Septemba 27, 2016) kwa niaba ya Mhe. Rais Dk. John Magufuli, Waziri Mkuu alisema kwamba Tanzania ni sehemu salama kwa uwekezaji ikiwa na fursa za uwekezaji kwenye sekta nyingi kama miundombinu, kilimo na viwanda. Licha ya mazingira mazuri ya uwekezaji pia aliwahahakishia ulinzi kwenye uwekezaji wao
Waziri Mkuu alisema Korea ya Kusini inashirikiana vizuri na Tanzania hivyo wanatarajia mengi kutoka nchini huko kupitia wawekezaji hao.
Wawekezaji hao tayari wamefanya mazungumzo na viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela jijinii Mwanza na kusaini Hati ya Makubaliano (MoU) kwa ajili ya miradi minne ikiwemo ya ujenzi wa miundombinu ya maji, kiwanda cha nguo, zana kubwa za kilimo na mafunzo ya ufundi.
Kwa upande wake Mkuu wa Msafara huo, Bw. Son Young Soo alisema amefurahishwa na ziara waliyofanya nchini na wapo tayari kuwekeza nchini.
Naye, Bw. Jihyun Kim wa kampuni ya Yeong Yang City Korea ambayo inashughulikia masuala ya kilimo cha mbogamboga alisema watawekeza kwenye kilimo hususan cha zao la pilipili na watajenga kiwanda kwa ajili ya usindikaji.
Naye Mkurugenzi wa Klabu ya Soka ya Seongnam Bw. Suk Hoon Lee alisema klabu yake ipo tayari kuwekeza katika shule ya michezo kwa vijana ili kuongeza kasi ya maendeleo ya soka.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
2 MTAA WA MAGOGONI,
S. L. P. 3021,
11410 DAR ES SALAAM.
JUMATANO, SEPTEMBA 28, 201

SENSA YA MIFUGO KUANZA IRINGA
MKURUGENZI WA IDARA YA USALAMA NA MAZINGIRA, WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI
Kulia
ni Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani
ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya
Uchukuzi, Tumpe Mwaijande kushoto ambaye alimuwakilisha Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Makame Mbawara katika maashimidho hayo
akiingia kwenye viwanja vya Tangamano kunakofanyika maadhimisho hayo
katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra,Gilliard Ngewe kulia ni Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga(Ras)Mhandisi Zena Saidi
Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa TPA,Focus Mauki kushoto akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe Mwaijande aliyesimama katikati wakati alipolitembelea Banda la Mamlaka ya Bandari (TPA) kunakofanyika maadhimisho ya siku ya Bahari Dunia wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra,Gilliard Ngewe
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),Joseph Msaki kushoto akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe Mwaijande wakati alipotembelea Banda lao leo

MAONYESHO YA FILAMU ZA BEIJING 2016 CHACHU KWA UKUAJI WA SANAA NCHIN
Washindi
wa kwanza hadi wa tatu wa mashindano ya sauti waliopatikana katika
shindano hilo na kujipatia fursa ya kwenda kufanya kazi katika ofisi za
makao makuu ya StarTimes yaliyopo jijini Beijing, China wakionesha tuzo
baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Anastazia Wambura katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam leo.
Washiriki 10 walishinda mashindano hayo. Kutoka kushoto ni Hilda
Malecela, Safiya Ahmed na Sadiq Kututwa.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura
akisalimiana na mmoja wa washindi 10 wa mashindano ya vipaji vya sauti,
Abraham Richard, ambao watakakwenda kufanya kazi makao makuu ya
StarTimes jijini Beijing, China wakati wa hafla fupi ya Maonyesho ya
Matangazo ya Tamthiliya za Runinga na Filamu za Beijing 2016.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura akizungumza na washindi hao.
DC KONGWA AMTUMBUA MENEJA WA MAMLAKA YA MAJI
Na Mathias Canal, Dodoma
Kushindwa kusimamia miundombinu ya maji na kupelekea kuwa na ugumu wa upatikanaji maji kwa kiwango kinachotakiwa ni miongoni mwa kadhia zilizopingwa wakati wa kampeni na Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ambaye ndiye Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na kuahidi kuchagua wasaidizi watakaosimamia na kulimaliza jambo hilo mara baada ya kuingia madarakani.
Kwa kiasi kikubwa nchini Tanzania kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi wakitupa
lawama kwa baadhi ya watendaji wa serikali ambao wamesababisha kudorora kwa uchumi na kuchagiza ugumu wa maisha kutokana na umbali wanaotumia kutafuta maji, huduma za afya sambamba na umbali wa shule za Sekondari na Msingi.
Kutokana na kadhia ya upatikanaji hafifu wa maji safi na salama Wilayani Kongwa imepelekea kukalia kuti kavu kwa Meneja wa Mamlaka ya Maji safi na Salama Wilayani humo Ndg Kisha Bonga kutokana na kushindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo ikiwemo kusababisha wafanyakazi wa Mamlaka ya maji kufikia maamuzi ya kuandamana.
Maandamano ya Wafanyakazi hao yalifanyika siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita yaliyoanzia Ofisi za Mamlaka ya Maji safi hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kongwa wakiwa wamegoma kufanya kazi kutokana na kuchelewa kulipwa mishahara yao.
LHRC WASHEREHEKEA MIAKA 21 NA WATOTO WANAOISHI MAKAO YA TAIFA YA WATOTO WENYE SHIDA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM
Wafanyakazi
wa LHRC wakijumuika na watoto wanaolelewa katika Makao ya taifa ya
watoto wenye shida Kurasini jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya
kusherehekea miaka 21 tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC Dk. Helen Kijo-Bisimba (katikati) akiwasaidia watoto kukata keki kusheherekea miaka 21 ya LHRC.
No comments:
Post a Comment