Viongozi
Wakuu pamoja na Sekretieti ya Mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja
baada ya ufunguzi wake, katikati mwenye suti ni Waziri Mkuu wa
Mauritius Sir Anerood Jugnauth.
Ujumbe
wa Tanzania walioshiki Mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja na
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid
katikati kulia Mwenyekiti wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe Mussa Zungu na kushoto Dk Raphael Chegeni.Kutoka kushoto Maryam
Rajab, Mbarikiwa Masinga, Mhe,Maria (MB) Mhe. Raphael Chegeni (MB)Mhe
Juma Hamad Omar (MB) Mhe Simai Mohammed Said (BLW) Aziza Makwai.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid
akibadilishana mawazo na Wajumbe kutoka Tanzania kabla ya kuaza kwa
Mkutano huo.
Mjumbe
wa Mkutano wa Nchi za Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Mhe. Simai
Mohammed Said, akiwasilisha Mada wakati wa Mkutano huo inayozungumzia
Suala la Nishati kwa Bara la Afrika, uliofanyika nchini Mauritius
Balaclava.
No comments:
Post a Comment