Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza
na Ujumbe kutoka Japani ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es
salaam kuajadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya
Miundombinu. Kulia kwake ni Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa
Afrika Bw. Tetsuro Yano.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akimuonyesha
Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano na
ujumbe wake taarifa ya maendeleo ya Miundombinu
nchini, walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
Rais wa chama cha maendeleo ya Uchumi wa Afrika Bw. Tetsuro Yano (wa
nne kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa alipomtembelea Ofisini kwake Jijini
Dar es salaam kuajadili fursa mbalimbali zinazopatikana katika sekta ya
Miundombinu.
nchini, walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment