Baadhi
ya Wakuu wa Wilaya za Dodoma na Singida wakiongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa
wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, (mwenye tai nyekundu), wakikagua eneo la maonyesho ya kilimo cha zao la
zabibu
Mkuu
wa Mkoa wa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe (Kushoto) akisalimiana na Mkuu
wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya
Nane Nane katika uwanja wa maonyesho ya kilimo Nzuguni Mkoani Dodoma Agosti
2016
Mgeni rasmi akisikiliza kwa kina maelezo juu
ya matumizi ya matrekta kwa ajili ya kilimo
Baadhi
ya Wakuu wa Wilaya za Dodoma na Singida wakiongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa
wa Singida Mathew Mtigumwe wakikagua eneo la maonyesho ya mboga mboga
Baadhi
ya Wakuu wa Wilaya za Dodoma na Singida wakiongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa
wa Singida Mathew Mtigumwe wakikagua eneo la maonyesho ya bwawa la samaki lenye
samaki aina ya perege, kambare na kamongo liloandaliwa na Uongozi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Iramba
i
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga, akimpokea Kiongozi Mkuu
wa Jumuiya ya Kiislamu ya Mabohora Duniani Dkt. Syedna Muffaddal Saifuddin mara
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Agosti 3, 2016.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt.
Augustine Mahiga, akizungumza na
Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Mabohora Duniani Dkt Syedna Muffaddal
Saifuddin toka nchini India alipompokea uwanja wa ndege wa Dodoma Agosti 3,
2016. Wakwanza kulia ni Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Zuberi Bin Ally
Dkt. Mahiga akiteta jambo na kiongozi huyo
No comments:
Post a Comment