WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA NANENANE MOROROGORO
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva wakati alipotembelea Banda la Tume ya Taifa
ya Uchaguzi katika Monyesho ya Wakulima Nane mjini Morogoro Agosti 1,
2016, Kushoto ni mkewe Mary.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary (kulia kwake)wakitazama kilimo cha
mbogamboga kwa mtindo wa kilimo kichuguu wakati walipotembelea banda la
Chuo Kikuucha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwenye maonyeshoya Nanenane mjini
Morogoro Agosti 1, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama viatu vilivyotengenezwa
katika gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro wakati alipotembelea banda
la Magereza katika maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoroo Agosti
1, 2016, kulia ni Mratibu wa Magereza wa maonyesho hayo na Mkuu wa
Gereza la Mtego wa Simba, Oman Msekwa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (Kulia kwake) wakatazama bwawa la
samaki na banda la kufugia bata wakati alipotembelea banda la Magereza
katika monyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016.
No comments:
Post a Comment