Fatili hapa moja
kwa moja matukio yote ya ujio wa Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye
ameshawasili nchini. Pamoja na mambo mengi atakayoyafanya, Rais Kagame
atafungua rasmi maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) leo
jijini Dar es Salaam
Bonyeza hapa kufuatilia moja kwa moja >>
Rais Kagame Tanzania
No comments:
Post a Comment