Mwanamuziki
maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Koffi Olomide amekamatwa
na polisi Jijini Kinshasa.
Picha zinazomuonyesha Koffi Olomide akiwa chini ya ulinzi wa polisi Jijini Kinshasa akipelekwa kituo cha polisi.
Mwandishi
mmoja nchini humo ametwitti picha za tukio la kukamatwa kwa Koffi
Olomide na polisi.
Koffi
Olomide alitimuliwa Kenya wiki iliyopita baada ya kumpiga teke dansa
wake mwanamke katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.
No comments:
Post a Comment