Mahfudhi
Ali Meneja wa Kampuni ya Mafuta ya Camel Oil akizungumza na waandishi
kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo kuhusu taratibu na sheria
uuzwaji wa kiwanja Block A kilichopo Manzese jijini Dar es salaam, Kulia
ni Benjamin Sawe Afisa habari Mwandamizi Idara ya Habari Maelezo.
…………………………………………………………………………………………………………………
KAMPUNI ya Camel Oil imesema
uuzwaji wa kiwanja namba 130 kilichoko Block A, Manzese jijini Dar es
Salaam ulizingatia taratibu zote za kisheria na kwamba hakuna sehemu
iliyoghushi hati za kiwanja hicho kama inavyodaiwa. Baada ya kuona
utitiri wa habari za nia ya kupotosha ukweli, Camel Oil wameonelea ni
vyema wakaonyesha upande wa pili wa shilingi.
Akizungumza na gazeti hili
ofisini kwake jana, Meneja wa Kampuni hiyo, Mahfoudh Ally, alisema
kampuni yake ilifata taratibu zote za kiubinadamu na kisheria katika
kuuza kiwanja hicho baada ya mmiliki wa awali, Mzee Mohamed Fakhi
kushindwa kulipa deni la Sh bilioni 1.4. Huu ulikuwa uamuzi wa mwisho
kabisa baada ya jitihada za muda mrefu, na za msingi zilizogonga mwamba
baada ya ahadi hewa nyingi sana kutoka kwa mdeniwa, Mzee Mohammed.
Alisema kabla ya mwaka 2010
kampuni yake ilifanya biashara kwa muda mrefu na Mzee Mohamed wa
Manzese Filling Station kuhusiana na kuuza mafuta kwa mkopo kwa
makubaliano kwamba Camel Oil ilipwe kila mwisho wa mwezi. Camel Oil
iliendelea kukipa kituo hicho mafuta lakini mmiliki wa kituo hicho
aliendelea kulimbikiza deni hadi kufikia Sh bilioni 1.6 na mwaka 2012
aliacha kununua mafuta kwenye kampuni hiyo ya Camel bila kutoa taarifa
yoyote, na Mzee Mohammed pamoja na mtoto wake wakatokomea
kusikofahamika.
“Tulifuatilia kujua kwanini
kulikuwa na ukimya wa muda na tulitaka kujua atalipaje deni hilo, baada
ya muda kadhaa wa kumtafuta tulimpata na tukakubaliana namna ya kulipa
deni hilo. Alitoa hundi ambazo baadhi zilipita na nyingi ziligonga ukuta
kwani hakuwa na hela benki. Kwa mara nyingine akatokomea
kusikojulikana. Jitihada za dhati ziliendelea kumtafuta na kumsihi
alipe ila palikuwa na kila dalili ya kushindwa kulipa deni. Na tulipoona
anashindwa kulipa deni tuliomba kushikilia hati mbili za viwanja vyake
kama dhamana,” alisema.
Alisema Mzee Mohamed alikubali
mwenyewe kwa maandishi kwamba viwanja vyake vishikiliwe na Camel Oil
kama dhamana ya deni hilo analodaiwa, na ushahidi wote wa maandishi upo.
77 million newborns globally not breastfed within first hour of life – UNICEF
77
million newborns – or 1 in 2 – are not put to the breast within an hour
of birth, depriving them of the essential nutrients, antibodies and
skin-to-skin contact with their mother that protect them from disease
and death, UNICEF said.
“Making babies wait too long for
the first critical contact with their mother outside the womb decreases
the newborn’s chances of survival, limits milk supply and reduces the
chances of exclusive breastfeeding,” said France Bégin, UNICEF Senior
Nutrition Adviser. “If all babies are fed nothing but breastmilk from
the moment they are born until they are six months old, over 800,000
lives would be saved every year.”
Globally, progress in getting
more newborns breastfed within the first hour of life has been slow over
the past 15 years, UNICEF data show. In sub-Saharan Africa, for
example, where under five mortality rates are the highest worldwide,
early breastfeeding rates increased by just 10 percentage points since
2000 in East and Southern Africa but have remained unchanged in West and
Central Africa.
In Tanzania, only 1 out 2
children aged 0-23 months benefit from early initiation of
breastfeeding, according to the 2014 Tanzania National Nutrition Survey
(TNNS 2014). In some regions, the level is even lower at less than 25
per cent, including in Tabora, Geita, Shinyanga, Rukwa and Katavi
regions in the Mainland.
The longer breastfeeding is
delayed, the higher the risk of death in the first month of life.
Delaying breastfeeding by 2-23 hours after birth increases the risk of
dying in the first 28 days of life by 40 per cent. Delaying it by 24
hours or more increases that risk to 80 per cent.
“Breastmilk is a baby’s first
vaccine, the first and best protection they have against illness and
disease,” said France Bégin. “With newborns accounting for nearly half
of all deaths of children under five, early breastfeeding can make the
difference between life and death.”
UNICEF Representative in
Tanzania, Maniza Zaman, said, “For many different reasons, including
cultural norms and lack of knowledge, women in Tanzania are not
receiving the support they need to start breastfeeding immediately after
the baby is born. Giving babies other liquids or foods may be another
reason early breastfeeding is delayed. We have to intensify our efforts
so that many more Tanzanian children, and their mothers, benefit from
optimal breastfeeding practices.”
Moreover, around the world only
43 per cent of infants under six months old are exclusively breastfed.
Babies who are not breastfed at all are 14 times more likely to die than
those who are fed only breastmilk.
In Tanzania, less than 41 per
cent of children under six months old were exclusively breastfed in
2014. In some areas, like Ruvuma and Tanga in mainland Tanzania, the
figure is as low as 25 per cent. In Zanzibar, 20 per cent of children
were exclusively breastfed, with Pemba, as low as 10 per cent (NNS,
2014).
But any amount of breastmilk
reduces a child’s risk of death. Babies who received no breastmilk at
all are seven times more likely to die from infections than those who
received at least some breastmilk in their first six months of life.
Tanzania has an opportunity to
further highlight the need for more efforts in good breastfeeding
practices. From 1-7, World Breastfeeding Week, will be celebrated in
mainland Tanzania, along with the national Farmers’ Day known as “Nane
Nane”. Activities will include televised roundtable discussions as well
as health and nutrition talks with mothers in in health facilities and
in communities. In Zanzibar, the theme will be “breastfeeding, a key to
sustainable development”. The focus will be on addressing social norms
that contribute to poor breastfeeding practices.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki watekeleza agizo la Rais kwa kuchangia Madawati.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga (kushoto) akimkabidhi hundi Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa wakati wa hafla ya makabidhiano madawati ikiwa ni fedha
zilizochangwa na watumishi wa wizara hiyo ikiwa sehemu ya kutekeleza
agizo la Rais Mhe. John Magufuli mapema hii leo katika shule ya Msingi
Chamanzi iliyopo wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam . Picha na
Beatrice Lyimo-MAELEZO
……………………………………………………………………………………………..
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO
Dar es salaam
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wamechangia kiasi cha Tsh.
Milioni 100 ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha umma kuhusu zoezi la
upatikanaji wa madawati katika shule za msingi na Sekondari nchini.
Akikabidhi mchango huo kwa
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kwa niaba ya watumishi wa wizara hiyo,
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi
Augustine Mahiga amesema kuwa watumishi hao wametoa fedha hizo kwa
shule ya msingi Chamazi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais la
upatikanaji wa madawati katika shule za msingi na sekondari nchini.
Balozi Mahiga amesema Wizara
yake iliwahamasisha watumishi wake walio makao makuu na wale walio
kwenye balozi mbalimbali nje ya nchi kuchangia zoezi hilo la upatikanaji
wa madawati.
“Ili kufanisha upatikanaji wa
fedha hizi Wizara yangu iliwahamasisha watumishi wake wote walio Makao
makuu na wale walio katika balozi zetu duniani kote, wito huu
uliitikiwa kwa ari na hamasa kubwa na kufanikisha kukusanya kiasi cha
Shilingi 100,176,825.52 za kitanzania”alisisitiza Balozi Mahiga
Waziri Mahiga aliongeza kuwa
mara baada ya kukusanya fedha hizo watumishi wa Wizara hiyo waliamua
kumpatia aliyekuwa Mtumishi wa Wizara ambaye sasa ameteuliwa kuwa Mkuu
wa Wilaya ya Manyoni kiasi cha shilingi Milioni 15 kwa ajili ya ununuzi
wa madawati katika Wilaya yake.
Aidha, amesema kiasi fedha
zilizobaki zaidi ya shilingi milioni 85 zilikabidhiwa kwa Waziri Mkuu wa
Tanzania, Mhe Kassim Majaliwa kwa ajili ya mchango wa utengenezaji wa
madawati ya shule ya Msingi Chamazi iliyoko Wilaya ya Temeke Jijini Dar
es Salaam.
Waziri Mahiga aliongeza kuwa
mbali na wizara yake kuwa na majukumu mbalimbali bado inalo jukumu la
kuhakikisha inaitangaza Tanzania ili kuvutia wawekezaji na kukuza uchumi
wa nchi, na kuongeza kuwa elimu bora ni msingi imara katika kufanikisha
hilo.
ZIARA YA WAZIRI MBARAWA MWABEPANDE
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisalimiana
na Afisa Uhusiano wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bi. Edna John
wakati alipotembelea ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo la
Bunju B jijini Dar es salaam.
Mtendaji
Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga akitoa
maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa (Kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa nyumba za
wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa
maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA)
Arch.Elius Mwakalinga wakati alipokagua ujenzi wa mradi wa nyumba za
wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa
maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA)
Arch.Elius Mwakalinga wakati alipokagua ujenzi wa mradi wa nyumba za
wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua
baadhi ya miundombinu iliyopo katika mradi wa ujenzi wa nyumba za
wafanyakazi zilizopo Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiendelea na
ukaguzi wa ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo la Bunju B
jijini Dar es salaam.
Meneja
Mradi kutoka Wakala wa Majengo Tanzania Arch.Humphrey Killo akifafanua
mchoro wa ramani ya ujenzi wa Mabweni ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar
es salaam katika barabara ya Sam Nujoma,wa kwanza kushoto ni Mtendaji
Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga .
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa
maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA)
Arch.Elius Mwakalinga wakati alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa
Mabweni ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa
maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA)
Arch.Elius Mwakalinga wakati alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa
Mabweni ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam.
PICHA ZOTE NA BENJAMINI SAWE-MAELEZO
Clinton: Trump hawezi kutatua matatizo Marekani
…………………………………………………………………………………………………………
Hillary
Clinton amekubali rasmi kuwa mgombezi wa Urais wa Marekani kupitia
chama cha Democratic, huku akisema wakati wa kupambana na mpinzani wake
sasa umeanza rasmi.
Alitoa wito kwa wanachama wote wa
Democratic kuungana naye huku akimkebehi mpinzani wake wa chama cha
Republican, Donald Trump, katika madai yake kuwa ni yeye pekee anayeweza
kuyasuluhisha matatizo ya Marekani.
Alisema kuwa Wamarekani hufanya kazi kwa pamoja kyatatua yote yanayonufaisha taifa.
- Kiongozi wa Democratic nchini Marekani kujiuzulu
- Bill Clinton: “Rafiki yangu” Hillary anafaa kuwa rais
Awali, bintiye Chelsea Clinton
alikuwa ametoa hotuba na kumsifu sana mamake. Alisema ni mwanamke ambaye
huwa hasahau anawapigania akina nani.
“Watu huniuliza kila wakati, huwa anawezaje kufanya haya? … ni kwa sababu huwa hawasahau watu anaowatetea,” amesema.
“Najua kwa moyo wangu wote kwamba mamangu atatufanya tujionee fahari.”
KATIBU MKUU AFYA ATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE YA KIBIRIZI MKOANI KIGOMA
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi.
Sihaba Nkinga akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Generali
Mstaafu Emmanuel Maganga mara baada ya kuwasili Mkoani hapo kwa ajili ya
ziara ya kikazi ya kutembelea Makazi ya Wazee na watu wenye ulemavu ya
Kibirizi.
Mkuu
wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Generali Mstaafu Emmanuel Maganga akimueleza
jambo Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Bi. Sihaba Nkinga mara baada ya kuwasili Mkoani hapo kwa ajili ya
ziara ya kikazi ya kutembelea Makazi ya Wazee na watu wenye ulemavu ya
Kibirizi, Katikati ni Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Kigoma Bw. Moses
Msuluzya.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi.
Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Makazi
ya Wazee na watu wenye ulemavu ya Kibirizi yaliyopo Mkoani Kigoma kwa
ajili ya ziara ya kikazi.
Afisa
Mfawishi wa Makazi ya Wazee na watu wenye ulemavu ya Kibirizi yaliyopo
Mkoani Kigoma Bw. Ladius Mushi akimpa maelezo Katibu Mkuu Wizara ya
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga
kuhusu Makazi hayo na namna wanavyoshirikiana na wadau mbalimbali katika
kuhakikisha Wazee hao wanakuwa katika mazingira salama.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi.
Sihaba Nkinga akiongozwa na wafanyakazi wa Makazi ya Wazee na watu wenye
ulemavu ya Kibirizi yaliyopo Mkoani Kigoma kukagua baadhi ya majengo
wanayoishi wazee hao ili kuona namna ya kuyaboresha kadiri
inavyowezekana wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea Makazi hayo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi.
Sihaba Nkinga akiongozwa na wafanyakazi wa Makazi ya Wazee na watu wenye
ulemavu ya Kibirizi yaliyopo Mkoani Kigoma kukagua baadhi ya majengo
wanayoishi wazee hao ili kuona namna ya kuyaboresha kadiri
inavyowezekana wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea Makazi hayo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi.
Sihaba Nkinga akiongea na wafanyakazi wa Makazi ya Wazee na watu wenye
ulemavu ya Kibirizi yaliyopo Mkoani Kigoma
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi.
Sihaba Nkinga akitoa Zawadi ya Sabuni kwa viongozi wa wazee wa Makazi ya
Kibirizi Katibu Makazi hayo Bi. Veronica Nyaga na Mwenyekiti Bw.Hamisi
Sabuni
Picha na Hassan Silayo-MAELEZO
waziri mwakyembe akutana na viongozi wa WILDAF
Waziri
wa Mambo ya Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema mazingira
ya kisiasa na kijamii yaliyopo nchini sasa ni mazuri kuliko kipindi
chochote nyuma kwa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo ya
Afrika (WILDAF) kufanikisha kampeni yake ya muda mrefu ya kuondoa sheria
zote kandamizi kwa wanawake katika masuala ya mirathi.
Akiongea
na viongozi wa WILDAF wakiongozwa na mpigania haki za akina mama na
mwanasiasa mkongwe nchini, Bi.Tabitha Siwale jijini Dar es Salaam leo,
Dk. Mwakyembe amesema WILDAF washindwe wenyewe kwani kuna mabadiliko
chanya makubwa nchini ya fikra kuhusu haki za akina mama.
Waziri Mwakyembe
amewahimiza WILDAF kupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria
mbalimbali hasa zile za mirathi wizarani mapema iwezekanavyo ili kazi ya
kuondoa mapungufu kwenye sheria hizo ikamilishwe.
PROPERTY INTERNATIONAL WADHAMINI TAMASHA LA UZINDUZI WA KITABU CHA SAFARI YA SOKA NCHINI, WATANI WA JADI YANGA, SIMBA, MABALOZI KUUMANA
Mkurugenzi
wa Fedha wa Property International Hashim Thabiti (wa pili kushoto)
akimkabidhi Jezi zitakazotumika katika Tamasha hilo Naohodha wa timu ya
Wachezaji wa zamani wa Yanga, Mohamed Hussein ‘Machinga’, wakati wa
mkutano na waandishi wa habari kuhusu Tamasha hilo litakalofanyika
Jumamosi hii Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Balozi
wa Algeria nchini Tanzania, Saad Balabed (kushoto) ni Afisa Mwendeshaji
Mkuu wa Property International, George Obada na (kulia) ni Mratibu wa
Tamasha hilo, Bahari Camari.
Mkurugenzi
wa Fedha wa Property International Hashim Thabiti (wa pili kushoto)
akimkabidhi Jezi zitakazotumika katika Tamasha hilo Naohodha wa timu ya
Wachezaji wa zamani wa Simba, Moses Mkandawile, wakati wa mkutano na
waandishi wa habari kuhusu Tamasha hilo litakalofanyika Jumamosi hii
Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Balozi wa Algeria
nchini Tanzania, Saad Balabed (kushoto) ni Afisa Mwendeshaji Mkuu wa
Property International, George Obada na (kulia) ni Mratibu wa Tamasha
hilo, Bahari Camari.
Balozi
wa Algeria nchini Tanzania, Saad Balabed (kulia) amkimkabidhi Tisheti
Kipa wa zamani wa Simba, Mohamed Mwameja, zitakazotumika kufanyia
mazoezi siku ya Tamasha. (wa pili kushoto) Katikati ni Afisa Habari wa
Property, Saleh na Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Property International,
George Obada.
Balozi
wa Algeria nchini Tanzania, Saad Balabed, akizungumza na waandishi wa
habari na baadhi ya wachezaji wa zamani wa Vilabu vya Yanga na Simba,
kuhusu Tamasha la jumamosi katika Uwanja wa Uhuru.
Na Ripota wa Sufianimafoto Blog,Dar
KAMPUNI ya Property International Ltd imedhamini bonanza la
uzinduzi wa kitabu cha soka cha Safari ya Soka la Tanzania litakalofanyika
Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
uzinduzi wa kitabu cha soka cha Safari ya Soka la Tanzania litakalofanyika
Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Katika bonanza hilo la uzinduzi wa kitabu hicho litaambatana
na maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya uhuru wa Algeria, ambalo litahudhuriwa na Waziri wa
Habari Michezo na Utamaduni, Nape Nauye ambaye ataongozana na Waziri wa Mambo
ya Ndani Mwigulu Nchemba.
na maadhimisho ya sherehe za miaka 54 ya uhuru wa Algeria, ambalo litahudhuriwa na Waziri wa
Habari Michezo na Utamaduni, Nape Nauye ambaye ataongozana na Waziri wa Mambo
ya Ndani Mwigulu Nchemba.
Katika Bonanza hilo pia kutakuwa na mechi kadhaa ikiwemo maveterani wa
timu za Simba na Yanga, mechi za vyombo vya habari pamoja na mabalozi wa nchi
mbalimbali nchini Tanzania wataungana na kucheza na maveterani wa Simba na
Yanga. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
timu za Simba na Yanga, mechi za vyombo vya habari pamoja na mabalozi wa nchi
mbalimbali nchini Tanzania wataungana na kucheza na maveterani wa Simba na
Yanga. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
NEMC YAPEWA MWEZI MMOJA KUKAMILISHA RIPOTI YA UHARIBIFU WA MAZINGIRA KATIKA KIWANDA CHA KUCHAKATA TAKA MTWARA
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Luhaga Mpina
akipata Maelezo kuhusu uchataji wa taka unaofanywa na kiwanda cha SBS
kutoka kwa Bw. Joseph meneja uendeshaji wa kiwanda hicho.
Katikati
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga
Mpina, kulia Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw. Khatibu Kazungu kushoto ni
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Alfred Luanda wakigagua DAMPO jipya
la kisasa la Mjini Mtwara ambalo ni rafiki kwa mazingira.
DAMPO
la kisasa la Mjini Mtwara ambalo ni rafiki kwa mazingira lililojengwa
kwa hisani ya benki ya Dunia kwa thamani ya shilingi bilioni 8.8, mara
DAMPO hilo litakapoanza kutumika litakuwa na uwezo wa kutengeza nishati
mbadala.
(Picha na Evelyn Mkokoi)
………………………………………………………………………………………………
Baraza la taifa na Hifadhi ya
Mzingira NEMC limepewa mwezi mmoja na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina kupima Vumbi, Moshi na Maji
yanayotoka katika kiwanda cha kuchakata taka cha SBS kilichopo katika
maeneo ya Mangamba Mjini Mtwara ili kujirisha kama vina madhara kwa
mazingira na viumbe hai.
Naibu Waziri Mpina akiwa katika
muendelezo wa Ziara yake ya kukagua mazingira na kuangalia utekelezaji
wa sheria ya mazingira kwa wenye viwanda nchini amelitaka baraza hilo
kufanya kazi zake kwa umakini na kutokukubali majibu ya vipimo toka kwa
mwenyekezaji bila NEMC pia kufanya vipimo na kupata majibu sahihi
kutokana na sababu kuwa wananchi wamekuwa wakilalamika mara kwa mara juu
ya uchafuzi wa mazingira unaofanywa na wenye viwanda jinsi unavyo
hatarisha maisha yao na mazingira kwa ujumla.
Katika Ziara Hiyo ya Mjini
Mtwara, Naibu Waziri Mpina Pia alitembelea DAMPO la kisasa la mjini hapo
lilijengwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia lenye thamani ya shilingi
Bilioni 8.8 na kuwapongeza wana Mtwara kwa kupata Dampo la kisasa ambalo
ni Rafiki wa Mazingira, na kuwashauri waratibu wa mradi huo na uongozi
wa mkoa wa Mtwara kuanza kutumia DAMPO hilo ambapo taka zitakazowekwa
katika DAMPO hilo la kisasa, pia zinaweza kutumika kutengeneza nishati
mbadala.
Awali, akitoa taarifa ya
Mazingira ya Mkoa wa Mtwara, katibu Tawala wa Mkoa huo Bwana Afred
Luanda, alisema kuwa Mkoa unakabiliana na changamoto mbali mbali za
kimazingira ikiwa ni pamoja na uvuvi haramu wa kutumia mabomu, ukataji
miti ovyo kwa matumizi ya kuni na mkaa, vifaa vya uondoshaji taka pamoja
na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia nchi.
Ziara Ya naibu Waziri Mpina
Mkoani Mtwara leo ilihusisha pia kutembelea bandari ya mtwara ili
kujionea utekelezaji wa sheria ya mazingira katika uingizwaji wa
viwatilifu na kemikali hatarishi kwa mazingira zinazoingizwa kupitia
bandari hiyo.
MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AAHIDI KUKOMESHA UFANYAJI KAZI WA MAZOEA
Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza namna jinsi walivyojipana kukusanya mapato kwanjia za kieletroniki na mashine za EFD’s kuhakikisha mapato hayapotei. |
Mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania,Eliya Mbonea akiuliza swali. |
Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo |
Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo |
Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo |
Afisa Habari Mwandamizi wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akizungumza jambo baada ya mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment