FISHERIES MANAGEMENT PLAN III (FMP III) FOR LAKE VICTORIA FISHERIES LAUNCHED IN ARUSHA
The
Permanent Secretary, Ministry of Agriculture, Livestock and Fisheries;
Dr. Yohana Budeba (centre), launching and displaying the FMP III as
delegates at the high table look on and applaud (L-R): Hosea Gonza
Mbilinyi (Director of Fisheries at the Fisheries Development Division,
Tanzania), Timothy Wesonga (Senior Livestock and Fisheries Officer, EAC
Secretariat), Godfrey Monor (LVFO Executive Secretary) and Dr. Ali Said
Matano (LVBC Executive Secretary).
The Permanent Secretary, Ministry of Agriculture, Livestock and
Fisheries; Dr. Yohana Budeba (bottom centre) pauses for a group photo
with representatives from Lake Victoria Environmental Management
Programme Phase II (LVEMP II), the Lake Victoria Regional Beach
Management Unit, LVFO, LVBC, Fisheries and Acquaculture Minitries from
EAC Partner States and the East African Industrial Fishing and Fish
Products Association(EAIFFPA) during the launch of the FMP III.
The Lake Victoria Fisheries Management Plan III (FMP III) 2016 – 2020 whose goal is: “Recovery of biomass of Nile perch with Sustainable utilization of fisheries resources of Lake Victoria basin with equitable opportunities and benefits”, was yesterday launched at the EAC Headquarters in Arusha, Tanzania.
The FMP III is expected to guide the sustainable management of the fisheries resources and thus contribute to poverty alleviation and improvement of livelihoods, in line with the EAC Vision and Strategy Framework for Management and Development of the Lake Victoria basin; “a prosperous population, living in a healthy and sustainably managed environment providing equitable opportunities and benefits”.
Gracing the event as the Guest of Honour was Dr. Yohanna Budeba; the Permanent Secretary, Ministry of Agriculture, Livestock and Fisheries who launched the FMP III. In his remarks, he welcomed the fisheries stakeholders present at the meeting to the venue.
He began by emphasizing the value of fisheries as a resource within the EAC region, adding that it provides massive opportunities because it is a source of income, it creates employment opportunities in both industrial and artisanal processing, it is a source of food rich in omega III, iron, zinc and calcium which can go a long way in addressing malnutrition and stunted growth in children and it also attracts foreign exchange from exports in more than 20 countries internationally.
Also present at the launch was the Executive Secretary for Lake Victoria Fisheries Organization; Godfrey Monor who reported that there are several challenges that the Lake Victoria Fisheries is faced with which FMP III aims to address. These include: increased fishing pressure as a result of increasing demand and rising prices of fish and fisheries products; inadequate and unsustainable funding to implement research and agreed management interventions; increased illegalities due to weak enforcement; inadequate infrastructure for fish quality and safety, under developed aquaculture to meet the demand of fish and relieve fishing pressure from capture fishery, and other challenges caused by climate change. “In order to curtail the decline of natural resources within and around the Lake, the commitment from the Partner States should be translated to action for sustainability of our fisheries resources”.
RC MAKALLA AIOMBA BENKI KUU IFANYE UTAFITI KUHUSU UNUNUZI WA MAZAO YAKIWA SHAMBANI
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makala (Katikati)akizungumza na viongozi wa
benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya,kulia Mkurugenzi wa benki kuu
ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya Jovent Rushaka na Meneja Utawala na fedha
Bakali Ally kushoto katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa
mikutano benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya ,June 28 -2016.
|
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla akizungumza na viongozi na wafanyakazi
wa benki kuu ya Tanzania (BOT)tawi la Mbeya mara baada ya kufanya ziara
katika kwa engo la kujitabulisha .
|
Baadhi
ya viongozi wa benki hiyo wakimsikiliza kwa makini Mkuu huyo wa Mkoa wa
Mbeya Amosi Makalla mara baada ya kufanya ziara katika benki hiyo June
28 mwaka huu.
|
WAKULIMA WADOGOWADOGO NA WADAU WA KILIMO WAKUTANA KUJADILI BAJETI YA KILIMO NA MABADILIKO YA TABIA NCHI.
Meneja
utetezi kutoka Shirika la Kimataifa la OXFAM Tanzania Bi. Eluka Kibona
akifungua mafunzo juu ya uelewa wa Bajeti ya Kilimo na Mabadiliko ya
Tabianchi yanavyoathiri sekta ya kilimo Tanzania hasa wakulima wadogo
wadogo.
Mkurugenzi
wa Forum CC Bi. Rebecca Muna akielezea umuhimu wa mafunzo hayo
yatakavyoweza kuwasaidia wakulima wadodogo katika kukabiliana na tatizo
la Mabadiliko ya tabianchi.
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo hayo wakiwa katika kikundi kujadiliana maswala mbalimbali juu ya namna ya kuandaa bajeti Muwezeshaji
kutoka Forum CC Feizal Ally Akiongoza majadiliano juu ya uandaaji wa
bajeti ya kilomo na mabadiliko ya tabianchi ambayo yanawathiri kwa kiasi
kikubwa wakulima wadogo wadogo.
DK. SHEIN AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU IKULU
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Dk.Islam Seif Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu ,Mifugo
na Uvuvi katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi, katika
hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na
Ikulu.] {28/06/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali
Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Dk.Islam Seif Salum baada
yakumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu ,Mifugo na Uvuvi katika Wizara ya
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] {28/06/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali
Mohamed Shein akimuapisha Nd,Hassan Abdulla Mitawi kuwa Naibu Katibu
MkuuHabari katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika
hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na
Ikulu.] {28/06/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali
Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Hassan Abdulla Mitawi baada
ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Habari katika Wizara ya
Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] {28/06/2016.
SHAMO WORLD YATOA MSAADA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA MAUNGA JIJINI DAR LEO.
Mwakilishi
wa Kampuni ya Shamo World Foundtion, Salama akikabidhi baadhi ya Vitu
vya msaada kwa Mlezi Mkuu wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga
Centre, Zainabu Maunga jijini Dar es Salaam leo wakati walipotembelea
katika kituo hicho kilichopo karibu na kituo cha Polisi cha Hananasif
jijini Dar es Salaam.
Akizungumza
wakati wa kukabidhi msaada huo mwakilishi wa kampuni ya Shamo World
Foundation amesema kuwa wameguswa kutoa msaada katika kituo hicho kwa
kutenda matendo ya huruma wakati wa kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani
kwa watoto kwa kuwa wanamahitiji mengi pia ni kuwapunguzia ugumu wa
maisha walezi wa watoto hao.
Nae
Mlezi Mkuu wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Centre,
Zainabu Maunga amewashukuru kampuni ya Shamo World kuwaona kwa jicho la
pekee na kwenda kuwapa msaada katika kituo hicho.
Mwakilishi
wa Kampuni ya Shamo World Foundation, Salama amesema kampuni hiyo
wamekabidhi Kg 50 za Mchele, Kg 50 za unga wa ngano na unga wa ugali, Kg
50 za sukari pamoja na Maboksi 15 ya Tende pamoja na mafuta ya kupikia
WACHINA WACHARUKA BAADA YA KUONA KITABU CHA ELIMU YA KUJAMIANA CHINA
YAMETIMIA !! BAADA YA KUJITOA JUMUIYA YA ULAYA, SAFARI HII TENA UINGEREZA YATUPWA NJE YA FAINALI ZA EURO 2016 BAADA YA KUTANDIKWA 2-1 NA ICELAND
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya England, Roy Hodgson ametangaza
kujiuzulu nafasi yake ya kuendelea kukifundisha kikosi hicho baada ya
kushuhudia kikipokea kipigo cha mabao 2-1 toka kwa timu ya taifa ya
Iceland ambayo hapo awali ilikuwa haipewi nafasi yeyote ya kufika mbali
katika fainali za Euro 2016 zinazofanyika nchini Ufaransa.
Wachezaji
wa timu ya taifa ya England, Joe Hart, Dele Alli na Gary Cahill wakiwa
hawaamini kama kweli wameondolewa katika fainali za Euro 2016 baada ya
kutandikwa 2-1 na Iceland usiku wa kuamkia leo.
Inauma sana, tumejitoa katika Jumuiya ya Ulaya, nasasa tumeondolewa
katika fainali za Euro 2016? Niacheni niendelee kulia. Mtoto huyu
shabiki wa timu ya taifa ya England akiwa na majonziZOEZI LA UHAKIKI WA VYAMA VYA SIASA LAANZA KWA VYAMA VILIVYOPO DAR ES SALAAM
Msajili
Msaidizi wa Vyama vya Siasa Upande wa Uhakiki wa vyama vya Siasa , Bw.
Sisty Nyahoza (kulia) akihakiki daftari lenye orodha ya wanachama wa
Chama cha National League for Democratic (NLD) wakati wa zoezi la
kuhakiki wa utekelezaji wa masharti ya usajili na matakwa ya Sheria ya
Vyama vya Siasa leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti
wa chama hicho Oscar Emmanuel Makaidi na Katibu Mkuu wa NLD Tozzy
Ephraim Matwanga.
Baadhi
ya viongozi wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU) wakifuatilia maelekezo
kutoka kwa Msajili Msaidizi wa Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa
Upande wa Uperembe Bw. Ibrahim Mkwawa ( hayupo pichani) wakati wa
uhakiki wa utekelezaji masharti ya usajili na matakwa ya Sheria ya
Vyama vya Siasa lililoanza leo jinini Dar es Salaam.
Bw.
Ibrahim Mkwawa, Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa Upande wa Uperembe
“Monitoring” (katikati) akikagua nyaraka mbalimbali za Chama cha Sauti
ya Umma (SAU) wakati wa uhakiki wa utekelezaji wa masharti ya usajili na
matakwa ya Sheria ya Vyama vya Siasa lililoanza leo Jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mhasibu Bi. Severa Assey kutoka Ofisi ya Msajili wa
Vyama vya Siasa
TAASISI YA NITETEE YAITAKA SERIKALI KUTOA RUZUKU KWA TAASISI ZINAZOFANYA KAZI VIZURI
Mkurugenzi wa Taasisi ya Nitetee, Flora Lauwo akipungia mkono alipokuwa akitambulishwa bungeni Dodoma.
Flora Lauwo akitafakari jambo alipokuwa akifuatilia mwenendo wa mijadala ya Bunge mjini Dodoma.
Serikali imetakiwa kuziangalia kwa jicho la tatu ikiwa ni pamoja na kuangalia uwezekano wa kuanza kutoa ruzuku kwa taasisi za watu binafsi zinazofanya kazi ya kufuatilia na kubaini matatizo yanayowakumba wananchi kama afanyavyo, Flora Lauwo Mkurugenzi wa Taasisi ya Nitetee.
Licha ya serikali kutambua mchango unaotolewa na taasisi hizo, jamii nayo imeaswa kujitokeza kuwasaidia watu ambao wamekuwa wakisumbuliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo unyanyasaji wa kijinsia ,maradhi na wale wanaohitaji msaada wa kupata elimu .
Kufatia serikali kutambua mchango huo baadhi ya wadau kutoka sekta binafsi wanajitokeza na kubainisha changamoto zinazowakumba. Yapo malengo yanayowekwa na wadau hao ili kutimiza ndoto za kuwasaidia watanzania
“Lakini wapo Wajanja ambao wamekuwa wakinufaisha na misaada wanayopewa na wafadhili badala ya kuwasaidia walengwa,” alisema Lauwo.
Taasisi ya nitetee inajishughulisha na utatuzi wa matatizo yanayozikumba familia zinazoishi katika mazingira magumu ambapo mpaka sasa imeshazifikia kaya 36 pamoja na kuwapeleka watoto 20 shule.
MWANAUME JAPAN ACHANGANYIKIWA NA PENZI LA DOLI LA KIKE
Mwanaume mmoja nchini Japan
amebainisha kuwa hatimaye ameipata furaha yake kutoka kwa mpenzi wake
wa kike ambaye ni wa doli.
Mwanaume huyo Senji Nakajima, 61,
amedai kuwa anafurahi uhusiano wake huo usiona dosari na doli hilo
liitwalo Saori, ambapo wamekuwa wakifanya manunuzi pamoja na kutembea
naye.
Nakajima ambaye ameoa mwanamke na
amezaa naye watoto wawili, anaishi na doli hilo Jijini Tokyo, ambapo
amelisifia kuwa ni muaminifu na haumchuni fedha zake.
Senji Nakajima akiangalia TV na mpenzi wake doli
Senji Nakajima akimuogesha mpenzi wake huyo doli
Doli Saori likiwa limepozi mithili ya mwanamke mrembo
No comments:
Post a Comment