Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono wananchi baada ya zoezi la kuapishwa pamoja na kukagua
gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lenye muundo wa ALfa unaoashiria mwanzo
wa Uongozi wake kwa kipindi cha pili katika Uwanja wa Amaan Studium baada ya
kuapishwa rasmi leo
akiwapungia mkono wananchi baada ya zoezi la kuapishwa pamoja na kukagua
gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lenye muundo wa ALfa unaoashiria mwanzo
wa Uongozi wake kwa kipindi cha pili katika Uwanja wa Amaan Studium baada ya
kuapishwa rasmi leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana
mkono na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame wakati
aliposalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya kumalizika
zoezi la kuapishwa katika Uwanja wa Amaan Studium leo,
mkono na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame wakati
aliposalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya kumalizika
zoezi la kuapishwa katika Uwanja wa Amaan Studium leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana
mkono na Mkuu wa KMKM Hassan MUssa Komodoo wakati aliposalimiana na Wakuu
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya kumalizika zoezi la kuapishwa
katika Uwanja wa Amaan Studium leo
mkono na Mkuu wa KMKM Hassan MUssa Komodoo wakati aliposalimiana na Wakuu
wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya kumalizika zoezi la kuapishwa
katika Uwanja wa Amaan Studium leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana
mkono na Kaimu Mkuu wa JKU Kanali Ali Mtumweni Hamadi wakati
aliposalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya
kumalizika zoezi la kuapishwa katika Uwanja wa Amaan Studium leo,
mkono na Kaimu Mkuu wa JKU Kanali Ali Mtumweni Hamadi wakati
aliposalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama baada ya
kumalizika zoezi la kuapishwa katika Uwanja wa Amaan Studium leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Makamanda wakati alipokuwa akikagua gwaride la Vikosi vya Brass
Band leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,baada ya kuapishwa rasmi
kwa kuongoza Zanzibar katika kipindi cha Pili cha Awamu ya saba,
akifuatana na Makamanda wakati alipokuwa akikagua gwaride la Vikosi vya Brass
Band leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,baada ya kuapishwa rasmi
kwa kuongoza Zanzibar katika kipindi cha Pili cha Awamu ya saba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua
gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lenye muundo wa ALfa katika Uwanja wa
Amaan Studium baada ya kuapishwa leo,
gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lenye muundo wa ALfa katika Uwanja wa
Amaan Studium baada ya kuapishwa leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akitia
saini hati ya kiapo mbele ya Jaji Mkuu Mhe,Omar Othman Makungu baadanya
kumalizikika kwa zoezi hilo lililofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,
saini hati ya kiapo mbele ya Jaji Mkuu Mhe,Omar Othman Makungu baadanya
kumalizikika kwa zoezi hilo lililofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo
alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi baada ya zoezi la kuapishwa kushika
nafasi hiyo ya Urais kwa kipindi cha pili cha Uongozi katika Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja leo,
alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi baada ya zoezi la kuapishwa kushika
nafasi hiyo ya Urais kwa kipindi cha pili cha Uongozi katika Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja leo,
SSRA YAKUTANA NA WADAU WA CHAMA CHA WAAJIRI TANZANIA (ATE) KUJADILI MABADILIKO NA MAENDELEO MBALIMBALI KATIKA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII
Mkurugenzi
wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya
Hifadhi ya Jamii (SSRA), Carina Wangwe, akizungumza wakati akiufungua
mkutano wa mamlaka hiyo na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE),
akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower,
jijini Dar es Salaam .
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam
Washiriki wa mkutano huo, wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam .
(SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam .
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii Tanzania wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam .
(SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii Tanzania wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam .
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Huduma za
Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Onorius Njole, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa
Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii Tanzania wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakifuatilia mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii, iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Onorius Njole, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam .
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada hiyo wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
(SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada hiyo wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Ansgar Mushi, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Hifadhi ya Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa wao, wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam.
(SSRA), Ansgar Mushi, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Hifadhi ya Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa wao, wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam.
Mfalme wa Saudia Arabia amuahidi Rais Magufuli ushirikiano mnono
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mfalme wa Saudi Arabia Mtukufu
Salman Bin Abdulaziz Al Saud amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kuwa nchi yake imeichagua Tanzania
kuwa nchi ya kipaumbele katika mpango wake wa kuimarisha zaidi
mahusiano na Afrika uliolenga kuendeleza na kukuza biashara, uwekezaji
na kushiriki katika miradi ya maendeleo.
Ujumbe wa Mtukufu Salman Bin
Abdulaziz Al Saud umewasilishwa kwa Rais Magufuli leo tarehe 24 Machi,
2016 na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mheshimiwa Adel Al Jubeir
Ikulu Jijini Dar es salaam.
Katika Salamu hizo pamoja na
kumpongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuiongoza Serikali ya awamu ya
tano ya Tanzania, Mfalme Salman Bin Abdulaziz Al Saud amesema Saudia
Arabia imedhamiria kukuza zaidi mahusiano kati yake na Tanzania ili
kuwaletea manufaa makubwa wananchi.
Kwa upande wake Rais Dkt. John
Pombe Magufuli amemshukuru Mfalme wa Saudi Arabia kwa kumtumia ujumbe na
kumpongeza kwa kuchaguliwa kuiongoza Tanzania na amemhakikishia kuwa
Serikali yake itafurahi kuona Saudi Arabia inashirikiana na Tanzania
kutekeleza miradi mikubwa ikiwemo ujenzi wa Reli ya Kati na barabara.
Maeneo mengine ambayo Rais
Magufuli na Waziri Adel Al Jubeir wameyazungumzia ni ushiriakiano kati
ya Tanzania na Saudia Arabia katika kuendeleza Elimu, Utalii, Bandari na
miundombinu.
Pamoja na kufanya Mazungumzo hayo,
Rais Magufuli pia ameshuhudia utiaji saini wa mkataba kuhusu
ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi,
Biashara, Uwekezaji, Ufundi, Vijana na Michezo, ambapo kwa upande wa
Tanzania mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano
wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Balozi Augustine Mahiga, na
kwa upande wa Saudi Arabia umesainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi
Arabia Mheshimiwa Adel Al Jubeir.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
24 Machi, 2016
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA SABA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Zanzibar, Dkt. Mwinyi Haji
Makame mara baada ya kuwasili Kisiwani Zanzibar kwa ajili ya sherehe za
kuapishwa Rais wa Zanzibar Dkt. Mohamed Ali Shein.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono mamia ya wananchi wa Zanzibar mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa
wimbo wa Taifa kabla ya kuapishwa kwa Rais wa awamu ya saba wa Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein katika uwanja wa Amaan
Kisiwani Zanzibar.
Gwaride maalum la Vikosi vya Ulinzi na usalama vikiimba wimbo wa Taifa kwenye uwanja wa Amaan.
Rais
mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
akihutubia mamia ya wananchi waliofurika katika uwanja wa Amaan
Kisiwani Zanzibar mara baada ya kuapishwa.
KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI YATEMBELEA MSD
Mkurugenzi
Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (mwenye suti nyeusi
kushoto), akiwatembeza Wajumbe wa Kamati Bunge ya Mauala ya Ukimwi
waliotembelea MSD Keko Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti
wa Kamati hiyo ya Bunge ya Ukimwi, Hassna Sudi Katunda Mwilima (wa pili
kulia), akifafanua jambo kwa wajumbe hao na wageni katika ziara hiyo.
Meneja wa Miradi Msonge, Byekwaso Tabura (kulia), akiwatembeza wajumbe hao MSD Keko.
Meneja wa Miradi Msonge, Byekwaso Tabura (katikati), akitoa maelekezo kwa wajumbe hao.
WAZIRI MAGHEMBE AMEMSIMAMISHA KAZI MTENDAJI MKUU WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA ( TFS), WAKURUGENZI WATATU PAMOJA NA WAKUU WA KANDA NCHI NZIMA
VIJANA WAANDAA MSAFARA WA HISANI KWA KUTUMIA MAGARI KUPINGA UJANGILI NA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI
Bunge kuanzisha Ushirikiano wa kirafiki na Bunge la Israeli
Na Zuhura Mtatifikolo, Bunge
Katibu wa Bunge Tanzania Dkt
Thomas Kashililah leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu
wa Bunge la Israeli (KNESSET) Ronen Plot aliyemtembelea Ofisini kwake
jijini Dar es Salaam akitokea Nchini Zambia alikokuwa akishiliki Mkutano
wa 134 wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika tarehe 19 hadi 23
Machi, 2016.
TANZANIA NA SAUDI ARABIA ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO KATIKA MASUALA YA UCHUMI, BIASHARA, UWEKEZAJI, UFUNDI, VIJANA NA MICHEZO
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli (kulia) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia,
Mhe. Adel Al Jubair alipowasili nchini kwa ziara ya siku moja. Wakati
wa ziara hiyo Mhe. Al Jubair alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Mhe.
Rais Magufuli pamoja na kusaini Mkataba wa Ushirikiano kati ya Tanzania
na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Vijana na
Michezo. Waziri Al Jubair pia alimfikishia Rais Magufuli salamu kutoka
kwa Mfalme Salman wa Saudi Arabia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Saudi Arabia, Mhe. Adel Al Jubair alipowasili nchini kwa ziara ya siku
moja. Wakati wa ziara hiyo Mhe. Al Jubair alipata fursa ya kufanya
mazungumzo na Mhe. Rais Magufuli pamoja na kusaini Mkataba wa
Ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi,
Biashara, Uwekezaji, Vijana na Michezo. Waziri Al Jubair pia
alimfikishia Rais Magufuli salamu kutoka kwa Mfalme Salman wa Saudi
Arabia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli pamoja na wajumbe wa Serikali zote mbili wakishuhudia uwekwaji
saini wa mkataba kuhusu Ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia
katika nyanja za Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Ufundi, Vijana na Michezo.
Kwa upande wa Tanzania mkataba ulisainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustine
Mahiga (kulia) na Serikali ya Saudi Arabia iliwakilishwa na Waziri wa
Mambo ya Nje, Mhe. Adel Al Jubair.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli pamoja na wajumbe wa Serikali zote mbili wakishuhudia
kubadilishana hati baada ya uwekwaji saini wa mkataba kuhusu Ushirikiano
kati ya Tanzania na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi, Biashara,
Uwekezaji, Ufundi, Vijana na Michezo. Kwa upande wa Tanzania mkataba
ulisainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga (kulia) na Serikali ya
Saudi Arabia iliwakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe. Adel Al
Jubair.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi
Arabia, Mhe. Al Jubair, Waziri Mahiga, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki
ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Abdallah Kilima (wa
kwanza kulia) na ujumbe uliombatana na Waziri Al Jubair.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli (kulia) akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia,
Mhe. Adel Al Jubair alipowasili nchini kwa ziara ya siku moja. Wakati wa
ziara hiyo Mhe. Al Jubair alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Mhe.
Rais Magufuli pamoja na kusaini Mkataba wa Ushirikiano kati ya Tanzania
na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Vijana na
Michezo. Waziri Al Jubair pia alimfikishia Rais Magufuli salamu kutoka
kwa Mfalme Salman wa Saudi Arabia.
SHEREHE YA KUAPISHWA RAIS MTEULE WA ZANZIBAR
Viongozi wa Dini na Vikosi vya
Ulinzi wakifuatana kuelekea katika jukwa maalum la kuapishwa Rais Mteule
wa Zanzibar katika uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma kwa
Vikozi vya Ulinzi na Usalama baada ya kuapishwa Rasmi katika wamu ya
pili ya Uongozi wa awamu ya 7 leo katika Uwanja wa Amaan Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.]
Kikosi cha Bendera na Vikosi mbali mbali vya Ulinzi wakitoa heshama kwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
baada ya kuapishwa Rasmi katika awamu ya pili ya Uongozi wa awamu ya 7
leo katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Kikosi cha KMKM kikitoa salamu ya heshma kwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
baada ya kuapishwa Rasmi katika awamu ya pili ya Uongozi wa awamu ya 7
leo katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA WIZARA YA AFYA
Waziri wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh Ummy Mwalimu akizungumza
na wageni kutoka UNICEF walipomtembelea ofisini kwake. Wakwanza kushoto
ni Maniza Zaman muwakilishi kutoka Chief UNICEF Tanzania na wapili
kushoto ni Sudha Shara afisa kutoka UNICEF.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndg. Michael John
akikabidhi vifaa muhimu kwaajili ya udhibiti salama wa taka zitokanazo
na huduma za afya na usafi kwa hospitali za mfano za mikoa 12 na Wilaya 2
nchini.
Jeshi la Polisi latahadhalisha kuhusu usalama katika kipindi hiki cha sikukuu za Pasaka
Tunapoelekea kipindi hiki cha
sikukuu ya Pasaka ambayo inaanza kesho Ijumaa Kuu, Jeshi la Polisi
nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi, kuwa makini katika suala zima
la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao. Katika kipindi cha sikukuu
baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kwa kushirikiana na
vyombo vingine vya ulinzi na usalama katika mikoa yote kuhakikisha
kwamba hakuna vitendo vyovyote vya uhalifu vitakavyojitokeza na pale
vitakapojitokeza vitadhibitiwa kwa haraka
Mshana awaaga wafanyakazi TBC na kumkaribisha mkurugenzi mkuu mpya Dk.Ayoub Ryoba.
: Mkurugenzi mstaafu wa Shirika
la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akimkaribisha
rasmi katika ofisi za shirika hilo na kumkabidhi rasmi ofisi Mkurugenzi
mkuu mpya wa shirika hilo Dk.Ayoub Ryoba leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mkuu mpya wa shirika
la utangazaji Tanzania (TBC) Dk.Ayoub Ryoba akitia saini kitabu cha
wageni Baada ya kukaribishwa na kukabidhiwa rasmi ofisi za shirika hilo
leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mstaafu wa Shirika la
Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akimkabidhi
Mkurugenzi mkuu mpya wa shirika hilo Dk.Ayoub Ryoba Taarifa ya
Makabidhiano ya ofisi leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mstaafu wa Shirika la
Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana akizungumza jambo wakati wa
sherehe za kuwaaga wafanyakazi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC)
na kumkaribisha mkurugenzi mkuu mpya Dkt.Ayoub Ryoba (wa pili kulia) leo
jijini Dar es Salaam.Wengine Pichani ni Mwenyekiti wa Bodi ya
wakurugenzi ya TBC Balozi Herbert E.Mrango na mjumbe wa bodi ya
wakurugenzi Bi.Elimbora Muro (wa kwanza kushoto).
Wafanyakazi wa shirika la
utangazaji Tanzania (TBC) wakimskiliza Mkurugenzi mkuu mpya wa shirika
hilo Dk.Ayoub Ryoba (hayupo Pichani) wakati alipokuwa akiongea nao leo
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mkuu mpya wa shirika
la utangazaji Tanzania (TBC) Dk.Ayoub Ryoba akizungumza na wafanyakazi
wa shirika hilo(hawapo pichani) wakati wa kumuaga mkurugenzi mstaafu wa
shirika hilo Bw.Clement mshana.
Vituo binafsi vya kutoa huduma za afya vyashauriwa kutoa huduma tiba ya Kifua Kikuu
Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametoa Rai kwa
wamiliki wa vituo binafsi vya kutoa huduma za afya kupanua wigo wa
huduma n
Serikali yataka kuwepo kwa mikataba kati ya makampuni ya utengenezaji na usambazaji wa filamu Tanzania
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu
Tanzania Bi Joyce Fissoo akizungumza na wawakilishi wa kamouni ya
usambazaji wa filamu Proin promotion(hawapo pichani) kuhusu mkataba kati
ya kampuni hiyo na watengenezaji wa filamu Tanzania kushoto ni Rais wa
shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba.
Mwakilishi wa kampuni ya Proin
promotion Abraham Kesulie akizungumza wakati wa kikao kati ya kampuni
hiyo na Bodi ya Filamu Tanzania kuhus mkataba kati ya watengenezaji wa
filamu na kampuni hiyo katikati ni Mumbe wa Bodi ya Filamu Hussein Kim
na kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Patrick Kipangula.
Mwakilishi wa kampuni ya Proin
promotion Abraham Kesulie(Kushoto), hiyo katikati ni Mumbe wa Bodi ya
Filamu Hussein Kim na kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria Wizara
ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Patrick Kipangula wakimsikiliza
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo9Hayupo
Pichani) wakati wa kikao kati ya kampuni hiyo na Bodi ya Filamu
Tanzania kuhusu mkataba kati ya watengenezaji wa filamu na kampuni.
Picha zote na Shamimu Nyaki WHUSM
TAIFA STARS KUWASILI DAR LEO USIKU
Kikosi cha timu ya Taifa ya
Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium
Lager, kinatarajiwa kuwasili leo saa 8 usiku katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Mwl. JK Nyerere kikitokea nchini Chad kilipokuwa na mchezo
dhidi ya wenyeji jana jioni.
Msafara wa Taifa Stars unaongozwa
na mkuu wa msafara ambaye pia ni Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA),
Ravia Idarus Faina utaondoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa N’Djamena
saa 8 mchana kuelekea Addis Ababa nchini Ethiopia, kabla ya kuunganisha
ndege saa 4 usiku tayari kwa safari ya kurejea nyumbani Tanzania.
Stars inarejea nyumbani baada ya
kuibuka na ushindi wa bao 1–0 dhidi ya wenyeji Chad, bao lililofungwa na
nahodha Mbwana Samatta katika mchezo uliochezwa uwanja wa Omnisport
Idriss Mahaymat Ouya jijini N’Djamena katika mchezo wa kundi G kuwania
kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2017.
Mara baada ya kuwasili jijini Dar
es salaam, kikosi cha Taifa Stars kitaingia moja kwa kwa moja kambini
katika hoteli ya Urban Rose iliyopo eneo la Kisutu kujiandaa na mchezo
wa marudano utakaochezwa siku ya Jumatatu ya Pasaka katika uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam.
RITHA KABATI (CCM) KUTOKA MKOA WA IRINGA ARUDI BUNGENI
WABUNGE wa Viti Maalum watatu
wameingia baada ya uchaguzi majimbo yote kukamilika ambapo Chama cha
Mapinduzi (CCM) kimepata viti maalum viwili na Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) mmoja
BODABODA MKOANI MWANZA WAADHIA KUANZISHWA KWA UMOJA WA KITAIFA WA BODABODA.
Mkuu
wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza Baraka Konisaga (Mtumishi wa
Mungu) akuzungumza katika Mkutano Mkuu Muhura wa Kwanza wa mwaka 2016 wa
Umoja wa Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mwanza uliofanyika Jumamosi Machi
19,2016 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Pamba Jijini Mwanza. Kushoto
kwake ni viongozi wa bodaboda Mkoa wa Mwanza
NAIBU WAZIRI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akisalimiana na
maafisa wa Idara ya Uhamiaji wakati wa ziara aliyoifanya katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Katikati ni Mkuu wa wa Ofisi
ya Uhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere, Abuu Mvano.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Maafisa wa
Jeshi la Polisi, alipotembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere kukagua shughuli zinazofanywa na Idara za Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi. Kushoto ni Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege, ACP
Martin Otieno.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na watendaji wa
Wizara ya Mambo ya Ndani waliopo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere na Waandishi wa Habari wakati wa ziara yake aliyoifanya
kutembelea Idara za Wizara hiyo zilizomo katika Uwanja huo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akisalimiana na
Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi Mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro
alipotembelea Kituo cha Polisi Buguruni wakati wa ziara yake katika
Kituo hicho.
Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege
cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Paul Rwegasha (katikati),
akiongozana na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni (kulia) wakati Waziri huyo alipotembelea Uwanja
huo. Kushoto ni Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege, ACP Martin
Otieno.
Mkuu wa Ofisi ya Uhamiaji katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Abuu Mvano (kulia),
akiongozana na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni (kulia), alipotembelea Idara za Wizara hiyo
zilizopo katika Uwanja huo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
UZINDUZI WA MRADI WA USAID WA UIMARISHAJI MIFUMO YA SEKTA ZA UMMA WAFANYIKA MKOANI DODOMA
RC wa Dodoma, Jordan Rugimbana, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3
RC wa Dodoma Jordan Rugibana akiteta na Mkuturenzi wa Mradi wa PS3, Dk. Emmanuel Malangalila, wakati wa uzinduzi
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za Dodoma wakifuatilia mada wakati wa uzinduzi wa Mradi wa PS3 mkoani humo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia majadiliano wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani Dodoma
Dk. Conrad Mbuya wa PS3 akitoa mada wakati wa uzinduzi wa mradi mkoani Dodoma.
Mkurugenzi wa Mradi wa PS3, Dk. Emmanuel Malangalila, akitoa mada kwenye uzunduzi wa mradi wa PS3 mkoani Dodoma
Mwakilishi kutoka Ofisi ya Rais (Utumishi) akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3
Matiko Machonchoryo wa PS3 akitoa mada wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani Dodoma
***************
Uzinduzi
wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma, unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), umefanyika mjini Dodoma siku ya Jumanne na Jumatano, Machi 22-23, 2016.
wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma, unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), umefanyika mjini Dodoma siku ya Jumanne na Jumatano, Machi 22-23, 2016.
Ofisa
Mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer Wine and Spirits Ltd Ismail Mzava
(kushoto), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es
Salaam leo asubuhi kuhusu udhamini wa bonanza lililoandali na Kituo cha
Mazoezi cha Power or Fitness cha Mwenge litakalofanyika Viwanja vya
Leaders Klabu Jumamosi. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Kituo hicho, Sas
Sangandele.
Mazoezi yakiendelea katika Kituo cha Mazoezi cha Power or Fitness cha Mwenge kilichopo katika Jengo la Tanzanite House lililopo jirani na Kanisa la Full Gaspel.
Mazoezi yakiendelea kwenye kituo hicho.
Vyuma vikiinuliwa kwenye kituo hicho.
Mazoezi yakifanyika.
Hapa ni kazi tu na mazoezi kwa kwenda mbele.
…………………………………………………………………………………………..
Na Dotto Mwaibale
KITUO
cha Mazoezi cha Power or Fitness cha Mwenge kimeandaa bonanza la
michezo mbalimbali litakalofanyika Jumamosi Viwanja vya Leaders Klabu
jijini Dar es Salaam.
Akizungumza
na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Mwalimu Mkuu wa Kituo hicho
Sas Sangandele alisema bonanza hilo liwatawahusisha watu wa rika zote
wakiwepo watoto.
“Bonaza
letu litawashirikisha watu wa aina zote na litakuwa la bure na litaanza
saa 12 asubuhi hadi jioni hivyo wakazi wa jiji la Dar es Salaam na
vitongaji vyake tunawaomba wafike kwa wingi kushiriki” alisema
Sangandele.
Alisema
bonanza hilo ambalo limedhaminiwa na Kampuni ya Mabibo Beer Wine and
Spirits Ltd kupitia kinywaji chake cha Windhoek linakuwa na michezo ya
mpira wa miguu, kufukuza kuku, karate kwa watoto, mazoezi ya viungo na
mbio za kilometa tano.
Ofisa
Mauzo wa Kampuni ya Mabibo, Ismail Mzava alisema wameamua kudhamini
bonanza hilo kutokana na umuhimu wa michezo ambayo inaleta afya kwa
jamii.
“Kampuni
yetu imekuwa ikitoa udhamini mbalimbali katika shughuli za jamii ndio
maana tukaona ni vema tukawaunga mkono hawa wenzetu katika jambo hilo
muhimu litakalohusisha michezo mbalimbali” alisema Mzava.
TRL KUSAFIRISHA SARUJI YA TANGA KWA NJIA YA RELI
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Martine
Shigela akitoa taarifa ya hali ya miundombinu katika mkoa wa Tanga kwa
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ofisini
kwake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda
cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart (wa pili kulia)
akimwonesha moja ya nyaraka Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli
Tanzania (TRL) Bw. Masanja Kadogosa (wa pili kushoto) kabla ya kusaini
makubaliano ya kusafirisha saruji ya kiwanda hicho kwa njia ya reli
kutoka Tanga kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kushoto) akijadiliana jambo na
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw.
Reinhart Swart (wa tatu kulia) pembeni ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Reli Tanzania (TRL) Bw. Masanja Kadogosa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Reli Tanzania (TRL) Bw. Masanja Kadogosa (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji
wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart
(kushoto) wakisaini makubaliano ya kusafirisha saruji ya kiwanda hicho
kwa njia ya reli kutoka Tanga kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza. Huku
Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
wakishuhudia.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) Bw. Masanja Kadogosa (kulia)
kabla ya kusaini makubaliano ya kusafirisha saruji ya kiwanda hicho kwa
njia ya reli kutoka Tanga kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza. Katikati ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw.
Reinhart Swart.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akifafanua jambo baada ya kusaini
makubaliano ya kusafirisha saruji ya kiwanda hicho kwa njia ya reli
kutoka Tanga kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza. Kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart
Swart na (Kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Martine Shigela.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akisaidiana na Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart
Swart (wa pili kulia) wakipakia mfuko wa saruji kwenye kontena kabla ya
kuanza kusafirishwa kwa njia ya reli kutoka katika kiwanda cha Simba
Cement kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza.

















No comments:
Post a Comment