SENIOR Resident Magistrate Hellen Riwa has disqualified herself from hearing the suit lodged by two former senior leaders with the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mgana Msindai and John Guninita, against the newly appointed Dar es Salaam Regional Commissioner (RC), Mr Paul Makonda.
NAIBU WAZIRI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akisalimiana na maafisa wa Idara ya Uhamiaji wakati wa ziara aliyoifanya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Katikati ni Mkuu wa wa Ofisi ya Uhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Abuu Mvano.Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Maafisa wa Jeshi la Polisi, alipotembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kukagua shughuli zinazofanywa na Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Kushoto ni Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege, ACP Martin Otieno.Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na watendaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani waliopo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na Waandishi wa Habari wakati wa ziara yake aliyoifanya kutembelea Idara za Wizara hiyo zilizomo katika Uwanja huo.Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akisalimiana na Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi Mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro alipotembelea Kituo cha Polisi Buguruni wakati wa ziara yake katika Kituo hicho.Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Paul Rwegasha (katikati), akiongozana na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) wakati Waziri huyo alipotembelea Uwanja huo. Kushoto ni Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege, ACP Martin Otieno.Mkuu wa Ofisi ya Uhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Abuu Mvano (kulia), akiongozana na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), alipotembelea Idara za Wizara hiyo zilizopo katika Uwanja huo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)BASATA YAONYA KUMBI ZISIZOFUATA TARATIBU ZA VIBALI, YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa kwenye vibali vyao vya uendeshaji wa kumbi.Wanaelekezwa kuhakikisha wanakuwa na vibali halali vya uendeshaji wa kumbi zao, kuzingatia muda wa utumizi wa kumbi, kuepuka kelele zinazosumbua kwenye maeneo maalum hasa makazi ya watu na kuhakikisha ulinzi na usalama wa maisha ya watu na mali zao.Aidha, BASATA linawakumbusha wamiliki wote wa kumbi za sherehe na burudani kwamba ni marufuku kukusanya watoto katika kumbi zao kupitia kile kinachoitwa ‘Disko Toto’ katika msimu huu wa Sikukuu ya Pasaka ili kuepuka maafa yanayoweza kujitokeza.Uzoefu unaonesha kwamba, nyakati za sikukuu kama hizi wamiliki wa kumbi wamekuwa wakijisahau na kuendekeza faida katika biashara zao kiasi cha kuandaa madisko ya watoto hali mbayo imekuwa ikisababisha maafa ambayo yangeepukika kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu.Aidha, baadhi ya wamiliki na waendeshaji wa kumbi kwa msingi huohuo wa kuendekeza faida pasi na kujali maelekezo ya vibali vyao wamekuwa wakijaza watu kupita viwango vya madaraja waliyopangiwa na BASATA.BASATA kama mtoaji wa vibali vya kumbi za sherehe na burudani linasisistiza kwamba halitafumbia macho ukumbi wowote utakaokiuka maelekezo haya sambamba na kuruhusu maonesho machafu yenye kudhalilisha utu wa binadamu hasa yale yanayoonesha maungo ya ndani. Hatua kali na za kisheria zitachukuliwa kwa yeyote atakayekiuka maagizo haya.BASATA linawatakia wasanii na wadau wote wa Sanaa Pasaka njema na yenye furaha tele.STARS YAICHAPA CHAD 1 – 0 N’DJAMENA
Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo imeibuka na ushindi wa bao 1- 0 dhidi ya wenyeji Chad katika mchezo uliomalizika jioni hii katika uwanja wa Omnisport Idriss Mahamat Ouya uliopo jijini N’Djamena.Kikosi cha Stars kilicheza vizuri kwa maelewano kwa lengo la kusaka bao la mapema, safu ya ushambuliaji ilikuwa mwiba kwa walinzi wa Chad katika dakika 30 za kipindi cha kwanza na kukosa nafasi zaidi ya nne za wazi kupitia kwa Ulimwengu, Farid, Samatta na Kazimoto.Nahodha Mbwana Samatta ambaye leo alikua akikiongoza kikosi cha Taifa Stars kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa katika nafasi hiyo, aliipatia Tanzania bao la kwanza dakika ya 30 akimalizia pasi ya Farid Mussa aliyewataoka walinzi wa Chad kabla ya kumpasia mfungaji.Mara baada ya bao hilo wenyeji walikuja juu kusaka bao la kusawazisha, lakini ukuta wa Stars uliokuwa chini ya Kelvin Yondani, Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, Haji Mwinyi na mlinda mlango Aishi Manula walikua imara kuokoa michomo hiyo.Kipindi cha pili Stars ilianza kwa kufanya mabadiliko, Mwinyi Kazimoto aliyeumia alimpisha John Bocco na kuongeza nguvu katika sehemu ya ushambuliaji, na kuwapa wakati mgumu walinzi wa Chad.Dakika ya 73, David Mwantika aliingia kuchukua nafasi ya Farid Mussa, huku Ibrahim Ajibu akiingia dakika ya 80 kuchukua nafasi ya Thomas Ulimwengu, mabadiliko ambayo yaliongeza nguvu kwa stars na kujilinda mpaka mwisho wa mchezo.Mpaka dakika 90 za mchezo zinamalizika, Chad 0 –1 Tanzania.Kocha wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa mara baada ya mchezo wa leo amewapongeza wachezaji wake kwa kupambana ugenini na kuibuka na ushindi huo japo mazingira ya joto yalikuwa tatizo kwa vijana wake katika muda wote wa mchezo.Mkwasa amesema leo vijana wake wamecheza dakika 90 za kipindi cha kwanza na kuweza kupata ushindo, hivyo akili yao sasa ni katika mchezo wa marudiano utakaocheza Jumatatu ya Pasaka jijini Dar es salaa, ambapo amewaomba watanzania kujitokeza kwa wingi kuja kuwapa sapoti.Taifa Stars inatarajiwa kurejea nyumbani kesho usiku kwa usafiri wa shirika la ndege la Ethiopia, ikitoka N’Djamena Chad saa 8 mchana kupitia Addis Ababa na kasha kuwasili uwanja JNIA Nyerere majira ya saa 7 usiku.Stars iliwakilishwa na Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mwinyi Haji, Erasto Nyoni, Kelvin Yondani, Himid Mao, Jonas Mkude, Mwinyi Kazimoto/John Bocco, Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu/Ibrahim Ajibu, Farid Mussa/David Mwantika.Chad: Diara Gerrad, Asselmoun Massam, Nadjim Haroun, Abaya Cesar, Kelvine Nicaise, Ndoumnan Herman, Beadoum Monde/Altama Saana, Mahama Azarack, Djimenan Leger/Aldo Mathew, Ndouassel Ezekliel, Ninga CasiminUZINDUZI WA MRADI WA USAID WA UIMARISHAJI MIFUMO YA SEKTA ZA UMMA WAFANYIKA MKOANI DODOMA
RC wa Dodoma, Jordan Rugimbana, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3RC wa Dodoma Jordan Rugibana akiteta na Mkuturenzi wa Mradi wa PS3, Dk. Emmanuel Malangalila, wakati wa uzinduziBaadhi ya Wakuu wa Wilaya za Dodoma wakifuatilia mada wakati wa uzinduzi wa Mradi wa PS3 mkoani humo.Baadhi ya washiriki wakifuatilia majadiliano wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani DodomaDk. Conrad Mbuya wa PS3 akitoa mada wakati wa uzinduzi wa mradi mkoani Dodoma.Mkurugenzi wa Mradi wa PS3, Dk. Emmanuel Malangalila, akitoa mada kwenye uzunduzi wa mradi wa PS3 mkoani DodomaMwakilishi kutoka Ofisi ya Rais (Utumishi) akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3Matiko Machonchoryo wa PS3 akitoa mada wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani DodomaKAMPUNI YA MABIBO BEER YADHAMINI BONANZA LITAFANYIKA LEADERS CLUB JUMAMOSI JIJINI DAR ES SALAAM
Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer Wine and Spirits Ltd Ismail Mzava (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu udhamini wa bonanza lililoandali na Kituo cha Mazoezi cha Power or Fitness cha Mwenge litakalofanyika Viwanja vya Leaders Klabu Jumamosi. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Kituo hicho, Sas Sangandele.Mazoezi yakiendelea katika Kituo cha Mazoezi cha Power or Fitness cha Mwenge kilichopo katika Jengo la Tanzanite House lililopo jirani na Kanisa la Full Gaspel.Mazoezi yakiendelea kwenye kituo hicho.Vyuma vikiinuliwa kwenye kituo hicho.Mazoezi yakifanyika.Hapa ni kazi tu na mazoezi kwa kwenda mbele.…………………………………………………………………………………………..Na Dotto MwaibaleTRL KUSAFIRISHA SARUJI YA TANGA KWA NJIA YA RELI
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Martine Shigela akitoa taarifa ya hali ya miundombinu katika mkoa wa Tanga kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ofisini kwake.Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart (wa pili kulia) akimwonesha moja ya nyaraka Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) Bw. Masanja Kadogosa (wa pili kushoto) kabla ya kusaini makubaliano ya kusafirisha saruji ya kiwanda hicho kwa njia ya reli kutoka Tanga kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart (wa tatu kulia) pembeni ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) Bw. Masanja Kadogosa.Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) Bw. Masanja Kadogosa (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart (kushoto) wakisaini makubaliano ya kusafirisha saruji ya kiwanda hicho kwa njia ya reli kutoka Tanga kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza. Huku Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakishuhudia.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) Bw. Masanja Kadogosa (kulia) kabla ya kusaini makubaliano ya kusafirisha saruji ya kiwanda hicho kwa njia ya reli kutoka Tanga kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart (wa tatu kulia) pembeni ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) Bw. Masanja KadogosaWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akifafanua jambo baada ya kusaini makubaliano ya kusafirisha saruji ya kiwanda hicho kwa njia ya reli kutoka Tanga kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart na (Kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bw. Martine Shigela.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akisaidiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Simba Cement), Bw. Reinhart Swart (wa pili kulia) wakipakia mfuko wa saruji kwenye kontena kabla ya kuanza kusafirishwa kwa njia ya reli kutoka katika kiwanda cha Simba Cement kwenda mikoa ya Kigoma na Mwanza.Profesa Muhongo apokea ripoti ya Nyamongo
Mwenyeki wa kamati John Nayopa akimkabidhi Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo,Taarifa ya kamati ya kushughulikia mgogoro kati ya wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa Nyamongo na Kampuni ya mgodi wa dhahabu ya Acacia North Mara,Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo,akionesha taarifa aliyokabidhiwa na Kamati hiyo ambapo ameahidi kuisoma na kuitolea majibu yanayostahili ndani ya kipindi cha wiki tatu tangu Machi 23,2016 alipokabidhiwa taarifa hiyo.Sehemu ya wajumbe kutoka Serikali za vijiji wakisikiliza taarifa ya kamati ya kushughulikia mgogoro kati ya wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa North Mara katika eneo la Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara na Mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya Acacia wa North Mara, kutoka Serikali ya kijiji.Sehemu ya ya wanakamati wakisikiliza taarifa ya utekelezaji kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya kushughulikia mgogoro kati ya wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa North Mara katika eneo la Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara na Mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya Acacia wa North Mara.Sehemu ya ya wanakamati wakisikiliza taarifa ya utekelezaji kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya kushughulikia mgogoro kati ya wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa North Mara katika eneo la Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara na Mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya Acacia wa North Mara.Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, akizungumza jambo mara baada ya kupokea Taarifa ya utekelezaji kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya kushughulikia mgogoro kati ya wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa North Mara katika eneo la Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara na Mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya Acacia wa North Mara.Mwenyekiti wa Kamati ya kushughulikia mgogoro kati ya wananchi wa vijiji vinavyozunguka Mgodi wa Nyamongo na Kampuni ya mgodi wa dhahabu ya Acacia North Mara, John Nayopa, akisoma taarifa ya utekelezaji wa kamati hiyo mbele ya Waziri wa Nishati na Madini( hayupo pichani)Meza kuu ikimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati( hayupo) akitoa taarifa ya utekelezaji ya Kamati ya kushughulikia mgogoro kati ya wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa North Mara katika eneo la Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara na Mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya Acacia wa North Mara, kutoka kushoto waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo, Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga, Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche.……………………………………………HAWA NDO KUMI BORA
MAJALIWA AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA SUKARI KUTOKA INDIA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na ujumbe wa Wawekezaji kutoka India wanaokusudia kuwekeza katika kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari hapa nchini, Ofisini kwake jijini Dar es salaam machi 23, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Kilimo, Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)MAREKEBISHO YA RATIBA YA VODACOM PREMIERSHIP
-Marekebisho ya ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom yamezingatia mechi za viporo za timu za Azam na Yanga zinazoshiriki mashindano ya kimataifa (Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho).WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AONANA NA BALOZI WA MAREKANI HAPA NCHINI MHE. MARK CHILDRESS KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA YA MALIASILI NCHINI
Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akizungumza katika kikao na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Mark Childress (kulia) na Ujumbe wake katika ukumbi wa Selous Makao Makuu ya Wizara hiyo Mpingo House leo tarehe 23 Machi, 2016. Waziri Maghembe amemuomba Balozi huyo wa Marekani kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukuza sekta ya utalii nchini kwa kuwakaribisha wawekezaji kutoka Marekani kuwekeza katika sekta hiyo.Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Mark Childress (kulia) akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kushoto). Balozi huyo wa Marekani ameahidi kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na Marekani katika kuendeleza sekta ya uhifadhi hapa nchini. Ameahidi pia kusaidia katika vita dhidi ya ujangili.Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akisisitiza jambo kwa Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Mark Childress (wa pili kushoto). Mhe. Maghembe alimueleza balozi huyo kuwa Tanzania haiko tayari kuteketeza meno ya Tembo yaliyohifadhiwa mpaka hapo itakapoona namna bora zaidi ya kufanya kwani kwa sasa Meno hayo yanaweza kutumika kwa ajili ya tafiti mbalimbali za kisayansi na kusaidia pia katika utambuzi na vielelezo vya mashtaka ya ujangili. Mhe Maghembe alisema hayo baada ya Balozi Childress kutoa pendekezo kwa Serikali kuona uwezekano wa kuteketeza sehemu ya meno ya Tembo yaliyohifadhiwa ili kutoa ujumbe duniani wa namna Serikali ya Tanzania ilivyodhamiria katika vita dhidi ya Ujangili.Sehemu ya wajumbe kutoka ubalozi wa Marekani walioongozana na Mhe. Balozi Mark Childress wakifuatilia mada katika kikao hicho. Wajumbe hawa kila mmoja aliwasilisha mada ikionyesha ushirikiano wa Serikali ya Marekani na Tanzania katika sekta ya uhifadhi hapa nchini.Baadhi ya wajumbe kutoka ubalozi wa Marekani na Wizara ya Maliasili na Utalii katika kikao hicho.Wajumbe kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii walioshiriki katika kikao hicho. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Bi. Angelina Madete.(Picha na Hamza Temba – Wizara ya Maliasili na Utalii)Tigo yatoa 300m/- kudhamini wanafunzi wa tehama vyuo vikuu
Meneja mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez akipeana mkono na Mmoja wa wanafunzi waliopata udhamini wa tigo Carolyne Paul, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Udsm shahada ya uhandisi wa kompyuta na teknolojia ya habari wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni hiyo kwa wanafunzi tisa wanaochukua mafunzo ya Tehama katika vyuo vikuu vya hapa wa jumla ya shilingi million 300 mapema leo jijini Dar Es Salaam.
Meneja mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez(katikati),Mkurugenzi mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula(kulia) na Meneja wa huduma za Jamii Tigo, Woinde Shisael(kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa vyuo mbalimbali wanaochukua mafunzo ya Tehama mara baada ya kampuni ya Tigo kutangaza udhamini wa jumla ya shilingi million 300 kwa wanachuo hao mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Tigo Kijitonyama jijini Dar Es Salaam.
Meneja mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez(katikati) akipata “SELFIE” na ,Mkurugenzi mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula na Meneja wa huduma za Jamii Tigo, Woinde Shisael pamoja na wanafunzi wa vyuo mbalimbali wanaochukua mafunzo ya Tehama mara baada ya kampuni ya Tigo kutangaza udhamini wa jumla ya shilingi million 300 kwa wanachuo hao mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Tigo Kijitonyama jijin Dar Es Salaam WIZARA YA HABARI YATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA SARA DUMBA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye ametuma salamu za rambirambi kwa wanahabari wote kufuatia kifo cha ghafla cha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe na Mtangazaji Mwandamizi wa zamani wa Redio Tanzania (RTD), Dar es salaam Marehemu Sara Dumba.Bayport yakabidhi hati za viwanja vya Vikuruti
Afisa Sheria wa Bayport Financial Services, Mrisho Mohamed (kushoto), akishuhudia bwana James Moses Lubinza akitia sahihi katika tukio la upewaji wa hati yake ya kiwanja cha Vikuruti, Mlandizi, wilayani Kibaha, mkoani Pwani leo mchana, jijini Dar es Salaam. Lubinza alikuwa miongoni mwa Watanzania waliochangamkia fursa ya mikopo ya viwanja vya Bayport. Huduma hizo za viwanja mwaka huu zinaendelea kwa kuanzishwa miradi ya Bagamoyo, Kigaamboni, Chalinze, Kibaha na Kilwa vikuhusisha watumishi wa umma, wafanyakazi wa kampuni binafsi na wajasiriamali. Picha kwa hisani ya Bayport Financial Services.Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services Ngula Cheyo katikati akikabidhi hati ya kiwanja cha Vikuruti kwa mteja wao James Moses Lubinza leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Sheria wa Bayport, Mrisho Mohamed.Afisa Sheria wa Bayport Financial Services Mrisho Mohamed kushoto akiangalia mteja wao Desidery Didas Kalimwenjuma wakati anatia sahihi katika makabidhiano ya kupewa hati yake ya kiwanja cha Vikuruti, wilayani Kibaha mkoani Pwani.Afisa Sheria wa Bayport Financial Services Mrisho Mohamed kushoto akimkabidhi hati ya kiwanja cha Vikuruti mteja wao Desidery Didas Kalimwenjuma.Mwanasheria wa Bayport Financial Services Mrisho Mohamed kushoto akipiga picha ya pamoja na mteja wao Desidery Didas Kalimwenjuma baada ya kumkabidhi hati yake ya kiwanja cha Vikuruti, wilayani Kibaha mkoani Pwani leo mchana.TCRA YAWATAKA WANANCHI KUTOA MALALAMIKO SEHEMU HUSIKA.
Na Jacquiline Mrisho- MAELEZOMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi wenye malalamiko yanayohusu huduma zitoleTRA na JICA kutoa mafunzo ya ukusanyaji kodi awamu ya pili
Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Victor Kimaro (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam kuhusu kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi wa kuwajengea uwezo wa kitaalam watumishi wa mamlaka hiyo ili kuongeza makusanyo ya ndani , kushoto ni mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) Toshio Nagase na kulia ni Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA) Prof. Isaya Jairo.Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) Toshio Nagase (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam kuhusu kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi wa kuwajengea uwezo wa kitaalam watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na mkakati wa kuanza kwa awamu ya pili ya mradi huo, katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali TRA Bw. Victor Kimaro na kulia ni Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA) Prof. Isaya JairoTASAF yatoa Milioni 137.8 kwa kaya masikini 57 Serengeti
Na Jacquiline Mrisho- MAELEZOMPANGO wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania (TASAF III) umetoa zaidi ya shilingi Milioni 137.8 kwa kaya masikini 3627 katika vijiji 57 wilayani Serengeti mkoani MaraWaziri Ummy azungumza na viongozi na baadhi ya wazee wa Mkoa wa Dar leo
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (kushoto) akizungumza na wazee wa mkoa wa Dare s Salaam walipokutana katika kikao ofisini kwake Leo (Katikati) ni Mwenyekiti wa baraza la wazee Mkoa wa Dar es Salaam Hemed Mkali na kulia ni katibu wa wazee hao Mohamed Mtulia.Mwenyekiti wa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam Hemed Mkali akizungumza katika kikao cha wazee wa mkoa wa Dar es Salaam na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy mwalimu(Kushoto).Katibu wa wazee wa Dar es Salaam Mohamed Mtulia (Kulia) akizungumza wakati wa kikao na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy mwalimu (kushoto) na katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la wazee Mkoa wa Dar es Salaam Hemed Mkali.Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu(Kulia) akionesha kitabu cha sera ya wazee ambayo inatarajiwa kuandikiwa mswaada wa kuwa sheria na kupelekwa Bungeni kushoto ni Katibu Mkuu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Sihaba Nkinga.Kaimu kamishna Ustawi wa Jamii Rabikira Mushi akizungumza katika kikao kilichojumuisha baadhi ya wazee wa Dar es salaam na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam kulia ni Katibu Mkuu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Sihaba Nkinga.Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Dar es Salaam Bi. Mary Chipungahelo(maarufu kama mama Chips) akichangia mada katika kikao kati ya baadhi ya wazee wa mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kilichofanyika Leo Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wazee wa mkoa wa Dar es Salaam wakifatilia kikao chao na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kilichofanyika Leo Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wazee wa mkoa wa Dar es Salaam wakifatilia kikao chao na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kilichofanyika Leo Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wazee wa mkoa wa Dar es salaam kushoto ni Katibu Mkuu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Sihaba Nkinga na kulia ni Kaimu kamishna Ustawi wa Jamii Rabikira Mushi.Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZOWANANCHI WA WILAYA MPYA YA KIBITI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA UPATIKANAJI WA NISHATI YA UMEME
Mbunge wa Jimbo la Kibiti Ally Ungando kulia akiwa na mwandishi wa habari hizi Victor Masangu mara baada ya kufanya mahojiano kuhusiana na changamoto zinazowakabili wananchi wake pamoja na mikakati aliyojiwekea baada ya Kibiti kupandishwa adhi kuwa Wilaya mpyaWahariri wa vyombo vya habari vya kidini watembelea kituo cha afya cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU
Wahariri wa vyombo vya habari za kidini wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani Pwani, ziara hiyo imeandaliwa na TACAIDS
Mhariri wa Habari kutoka Radio Maria Bi. Judidh Francis akiongea jambo katika ziara ya wahariri wa vyombo vya habari vya kidini katika kituo cha afya cha utoaji huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze,ziara hiyo imeandaliwa na TACAIDS
Mhariri wa Habari kutoka Radio Sauti ya Quran Bw. Sadiki Faki
akiongea jambo katika ziara ya wahariri wa vyombo vya habari vya kidini
katika kituo cha afya cha utoaji huduma za tiba na ushauri nasaha kwa
watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze,ziara
hiyo imeandaliwa na TACAIDS
Mratibu wa TACAIDS mkoani Pwani Bw. Badru Abdunuru akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Mratibu wa TACAIDS mkoani Pwani Bw. Badru Abdunuru akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Mratibu wa TACAIDS mkoani Pwani Bw. Badru Abdunuru aliyesimama kulia akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Msimamizi wa kituo cha Maarifa kwa ajili ya kutoa huduma za VVU kwa madereva wa masafa marefu wa kwanza kushoto aliyekaa mbele Bi. Amina Chandima akiwafafanulia jambo wahariri wa vyombo vya kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani katika Kituo cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Wahariri wa vyombo vya habari za kidini walipotembelea kituo cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU mkoani Pwani, Wilayani Kibaha
Mhariri wa Tumaini Media Bw. Martin Kuhanga akiongea jambo wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari vya kidini wakati wa ziara ya
kujifunza iliyofanyika katika Kituo cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU kilichopo mkoani Pwani na mdaula Chalinze
Msimamizi wa utoaji wa huduma za tiba na ushauri kwa watu
wanaoishi na VVU kutoka Wilaya ya Kibaha Daktari Robert Mwakyusa
akiongea jambo na wahariri wa vyombo vya habari za kidini wakati wa ziara ya kujifunza iliyofanyika mkoani pwani.DAWASA YATOA DARASA KWA VIONGOZI WA JUMUIYA 15 ZA WATUMIA MAJI DAR ES SALAAM, KIBAHA NA BAGAMOYO.
Meneja Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Bi.Neli Msuya akizungumza na viongozi wa Jumuiya 15 za Watumia Maji zilizojengwa chini ya mradi wa Maji Yetu uliofadhiliwa na Serikali ya Ubelgiji kwa gharama ya shilingi Bilioni 14.5 alipokutana nao leo jijini Dar es salaam.Meneja Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Bi.Neli Msuya akizungumza na viongozi wa Jumuiya 15 za Watumia Maji zilizojengwa chini ya mradi wa Maji Yetu uliofadhiliwa na Serikali ya Ubelgiji kwa gharama ya shilingi Bilioni 14.5 alipokutana nao leo jijini Dar es salaam.Mshauri wa Ufundi wa DAWASA –BTC Mhandisi Praygod Mawalla akitoa elimu kwa viongozi wa Jumuiya 15 za Watumia Maji katika jiji la Dar es salaam namna ya kuifanya miradi wanayoisimamia ijiendeshe na kuwa endelevu kwa manufaa ya wananchi.Mshauri wa Ufundi wa DAWASA –BTC Manjolo Kambili akitoa akitoa ufafanuzi kuhusu Programu ya za utoaji wa mafunzo kwa watumiaji wa Maji katika maeneo yenye miradi hiyo wakati wa mkutano na viongozi wa Jumuiya 15 za Watumia Maji za jiji la Dar es salaam.Picha ya pamojaBi. Mecktridis Mdaku Mtaalamu kutoka Ofisi ya Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) akiwasisitiza viongozi wa Jumuiya 15 za Watumia Maji katika jiji la Dar es salaam kupanda miti na kuiendesha miradi katika hali ya Usafi ili kulinda afya za watumiaji wa huduma za maji.TAASISI YA MANJANO FOUNDATION KUENDESHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE WA DODOMA
Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation utaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Dodoma kuanzia Jumatatu, tarehe 28 March 2016 kwenye ukumbi wa LAPF House Mkoani Dodoma. Mafunzo hayo yatatolewa kwa jumla ya wanawakeZiara ya Mhe. Charles Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Alipotembelea Kiwanda cha Kamal
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Kiwanda cha Nondo cha Kamal Steels Ltd. kilichopo Chang’ombe, DSM, pembeni yake ni Gagan Gupta ambaye ni Mwenyekiti na Mtendaji wa Kiwanda hicho.Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji akiangalia makopo yanayotumiwa na Kiwanda cha Kamal kama nalighafi za kiwanda akiwa na uongozi wa kiwanda.Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji akimuangalia fundi wa kusawazisha chuma kwa kutumia Shaper Mashine.Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akipanda Mti wa kumbukumbu mara baada ya kukitembelea Kiwanda cha Kamal.Wafanyakazi wa kiwanda cha Kamal wakishuhudia ziara ya Waziri kiwandani hapo
The magistrate reached such a decision
at the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam, after the RC
had lost confidence inher. Makonda had accused the magistrate of
issuing some words showing that she would be biased and, hence
incompetent to observe justice in the case.
Following the disqualification of the
magistrate, Principal Resident Magistrate Thomas Simba has been assigned
to conduct the proceedings of the case.
The matter came for mention yesterday
and the new magistrate set May 2, for continuation of the hearing of the
case. At the time Magistrate Riwa decided to disqualify herself from
the conduct of the case, Mr Msinda, former Singida Regional Chairman and
Mr Guninita, ex-Dar es Salaam Regional Chairman and then UV CCM
National Chairman, had already given their testimony to support their
case.
That means that RC Makonda would be
required to appear before the court on May 2, to give his defence
testimony against the claims presented against him by the two former
cadres of the ruling party.
In the case, the two plaintiffs are demanding, among others, payment of 200m/- damages for alleged defamation.
They are accusing the RC of describing
them as puppets of retired Prime Minister Edward Lowassa, allegedly used
to destroy the party.
Other prayers in the suit include
permanent injunction to restrain the RC from further printing and
publishing or causing to be published the same or similar publications
defamatory to the two plaintiffs, interests on the decretal sum at court
rate from the date of judgment to the date of full satisfaction.
It is alleged that at the time the
alleged defamatory statements were issued, Mr Makonda was a National
Young Pioneer’s promotions secretary of UV-CCM. He is claimed to have
called a press conference and issued the highly complained statements.
“Being puppets and unclean members who
want to destroy the party, the plaintiffs should immediately leave the
party. Religious leaders, youth and anyone who look for quick money
should go to Mr Lowassa through his puppets, the plaintiffs,” reads a
section of the plaint of the suit.
The plaintiffs allege that such
statements were widely published and broadcast through various
televisions stations like ITV, Star Television and various social media.
They claim that the statements were
defamatory and were understood that the plaintiffs were intending to
destroy their own party through corruption and they hold various
positions within the party through corrupt means and therefore are
incompetent to be leaders of CCM.
“Contrary to what the defendant alleged
in the statement issued, the plaintiffs are the obedient and faithful
members of Chama Cha Mapinduzi (CCM), who invested a lot in building up
the party and they have never been puppets of anybody as alleged or at
all,” the plaintiffs state in the plaint of the suit.
The statements published by the
defendant, according to the plaintiffs, were circulated to injure and
damage their reputation by exposing them to hatred, contempt or ridicule
among members of CCM and the entire community at large.
“In consequence thereof, the publication
has lowered the reputation and esteem of plaintiffs in the estimation
of the right thinking members of the public in their positions and
capacity they hold and held,” states another part of the plaint.
In a bid to mitigate the damages
allegedly suffered, the plaintiffs through their advocate, Mr Benjamin
Mwakagamba from BM Attorneys, demanded apology and compensation in lieu
of such consequences.
But the defendant in reply thereto
alleged that he was acting in his official capacity under the auspices
of CCM Youth Wing and pursuant to the constitution, rules and regulation
of his party, CCM, thus he could not render the apology nor make any
compensation.
The plaintiffs allege that there is no
any provision in constitution, rules and regulation of CCM party which
provides for anybody or members to publish the untrue and defamatory
statement, any official statement of the party is issued by known and
recognised party’s spokesperson.
As a result of the defamatory statements
issued, the plaintiffs claim that their career, current and future,
have been seriously injured such that unless redressed by the court they
are likely to lose various posts within and outside their party as
members and community have negative images.














No comments:
Post a Comment