Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (katikati), akiongea jambo na Balozi wa Jamhuri
ya Watu wa China, Dkt. Lu Youqing (wa pili kushoto) wakati
alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni
Afisa Ubalozi wa China.
Balozi wa wa Jamhuri ya Watu wa
China, Dkt. Lu Youqing (katikati) akimweleza jambo Afisa Ubalozi wa
China nchini, wakati wa kikao chake na Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (kulia).
Afisa Ubalozi wa China nchini (wa
kwanza kushoto) akimweleza jambo Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo wakati wa kikao chake na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa
China nchini, Dkt. Lu Youqing (katikati).
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa
China nchini, Dkt. Lu Youqing (wa tatu kushoto), akimweleza jambo Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. Wa kwanza kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala Utumishi Wizara ya Nishati na Madini,
Lusias Mwenda. Wengine ni ujumbe ulioambatana na Balozi wa China.
WAZIRI KITWANGA AKUTANA NA VIONGOZI WA NIDA, AWATAKA KUONGEZA KASI UANDAAJI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (kushoto) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi
ndani ya Mamlaka hiyo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wa kwanza
upande wa kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest
Rwegasira akifuatiwa na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa
Wizara hiyo, Lilian Mapfa. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa NIDA, Dk. Modest
Kipilimba. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (katikati) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka
ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi
ndani ya Mamlaka hiyo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wa tatu
kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira
akifuatiwa na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo,
Lilian Mapfa na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wizarani hapo, Haji
Janabi. Wa tatu kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa NIDA, Dk. Modest Kipilimba,
anayefuata ni Mkurugenzi wa Utawala na Fedha, Avelin Momburi na
Mkurugenzi wa Uzalishaji Vitambulisho, Paul Bwathondi. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dk. Modest Kipilimba akijitambulisha
kabla ya kuanza kikao cha Watendaji Wakuu wa NIDA pamoja na Wakuu wa
Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Kikao hicho kilichoitishwa na
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) na
kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam
leo. Wa pili kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja
Jenerali Projest Rwegasira, na anayefuata ni Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa. Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akizungumza jambo katika
kikao kazi alichokitisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles
Kitwanga (katikati) kuzungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake,
kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya NIDA na Wizara
kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara
hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wa tano kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dk. Modest Kipilimba. Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
TAMWA YASIKITISHWA KESI ZA UBAKAJI/ULAWITI KWA WATOTO KUTOHUKUMIWA
Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Edda Sanga(katikati) akizungumzia mbele ya waandish wa habari (hawapo pichani) ni kwa jinsi gani wamepata malalamiko kutoka kwa familia zinazofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia hasa ubakaji na ulawiti katika ngazi za mahakama, polisi na baadhi ya hospitali hapa nchini.
Mratibu
wa Kituo cha Usuluishi cha TAMWA, Bi. Gladness Hemedi Munuo akizungumza
mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati walipokuwa
wakilaani vikali ucheleweshwaji na upotoshaji wa kesi za vitendo vya
ukatili.
Mtoto akitoa ushaidi ni kwa jinsi gani alivyofanyiwa kitendo cha ukatili wa kijinsia.
Mwanasheria
wa TAWLA, Mary Richard (wa kwanza kulia) akizungumza ni kwa jinsi gani
wanavyowasaidia wanawake wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia
leo katika mkutano na waandishi wa habari leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini.
……………………………………………………………………………………………………………………..
Chama
cha Wanahabari wanawake nchini Tanzania(TAMWA) kimelaani vikali
ucheleweshwaji na upotoshwaji ushahidi wa kesi za vitendo vya ukatili wa
kijinsia hasa ubakaji na ulawiti katika ngazi ya mahakama, polisi na
baadhi ya madaktari hospitalini. Hali hiyo imekuja baada ya TAMWA
kubaini kesi sitini na mbili (62) za ubakaji zimeshindwa kutolewa hukumu
au uamuzi na mahakama mbalimbali jijini Dar es Salaam katika kipindi
cha mwaka 2014 hadi 2015.
MTAMBUE KIJANA WA KITANZANIA DESMOND ANDREW ALIYEANZISHA KAMPUNI YA MAWASILIANO YA CW NET
Kijana wa Kitanzania Desmond
Andrew ameanzisha kampuni ya Mawasiliano ya CW Net ambayo inatengeneza
Power Bank, Smart Bracelet na Modem. Hakika Tanzania kuna vijana wengi
kama Desmond Andrew lakini tatizo kubwa linalowakabili ni upatikanaji wa mtaji wa kuendeleaza vipaji vyao.
Mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya Mawasiliano ya CW Net akimtoa ufafanuzi Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Geoffrey Simbeye (aliyevaa suti) kuhusu Smart Bracelet na kazi zake katika maonesho yaliyoandaliwa na shirika la
Viwango nchini Tanzania(TBS) yanayoendelea katika ukumbi wa Mlimani Cityjijini
Dar es Salaam.
Viwango nchini Tanzania(TBS) yanayoendelea katika ukumbi wa Mlimani Cityjijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF,
Geoffrey Simbeye (aliyevaa suti) akiuliza swali mara alipotembelea
banda la CW Net maonesho ya Makampuni ya Kitanzania yanayotoa bidhaa
yenye viwango vya kutosha hapa nchini.
Smart
Bracelet hiki ni kifaa mojawapo kinachotengenezwa na kampuni ya
Mawasiliano ya CW Net ambacho kifaa hicho kinahesabu hatua ambazo mtu
ametembea nani kwa kiasi gani nguvu uliyoitumia pamoja na kukontrol muda
unaolala na unaoamka, pia pia kifaa hicho kinaweza kuunganishwa na simu
ya smartphone yako na kutambua simu ikiwa inaita kwa umbali wa mita
kumi(10)
Hakika penda cha nyumbani
Waziri Jenista Mhagama atembelea Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Mh. Jenista Mhagama akisalimia na Menejimenti ya SSRA Kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka.
Juu na Chini: Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Mh. Jenista Mhagama akisalimia na Menejimenti ya SSRA Kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka.
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akimkaribisha Mh. Jenista Mhagama, Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu alipotembelea kwenye Ofisi za Mamlaka hiyo mnamo tarehe 24
February 2016, Dar es Salaam.
Menejimenti
ya SSRA wakisubiria ugeni wa Waziri Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama katika
Ofisi za Mamlaka hayo zilizopo barabara za Bagamoyo Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akikabidhi vitendea kazi kwa Mh. Jenista
Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi,
Vijana na Walemavu
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Mh. Jenista Mhagama wa pili kushoto akiwa katika picha ya
pamoja na Menejiment ya SSRA kushoto kwa Waziri ni Kamishana wa Kazi
Ndugu Daudi Kaale.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Jenista Mhagama akieleza jambo wakati wa kikao cha pamoja na
Menejimenti ya SSRA wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la
kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Jenista Mhagama akieleza jambo wakati wa kikao cha pamoja na
Menejimenti ya SSRA wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la
kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii.
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha
pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo.
.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Jenista Mhagama akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea
Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya
Hifadhi ya Jamii.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wakati alipotembelea
Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya
Hifadhi ya Jamii.
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha
pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na
Walemavu Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wakati alipotembelea
Mamlaka hayo kwa lengo la kujionea utekeleza wa Sheria ya Mamlaka ya
Hifadhi ya Jamii juzi. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka.
NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI DK. JULIANA PALANGYO AKUTANA NA KAMPUNI YA ORYX ENERGIES
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Juliana
Palangyo akiendesha kikao kati ya kampuni ya nishati ya Oryx Energies
yenye makazi yake jijini Geneva, Switzerland pamoja na watendaji wa
Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kujadili
utendaji kazi wa kampuni hiyo nchini.
Mkurugenzi Mtendaji kutoka
kampuni ya Oryx Energies, Philippe Cortes (kushoto) akifafanua shughuli
zinazofanywa na kampuni hiyo nchini Tanzania kwa Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk.
Juliana Palangyo (kulia) katika kikao hicho.
Mkurugenzi Mtendaji kutoka kampuni ya Oryx Energies, Philippe Cortes akifafanua jambo katika kikao hicho.
Mkurugenzi Mtendaji kutoka
kampuni ya Oryx Energies, Philippe Cortes (kushoto) akimwelekeza jambo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia
masuala ya nishati Dk. Juliana Palangyo (kulia) katika kikao hicho.
…………………………………………………………………………………………………………….
MABONDIA KUTWANGANA KESHO LEADERS CLUB KESHO NI CHEKA NA AJETOVIC
Mabondia Fransic Cheka kulia
akitunishiana misuli na Mserbia Geard Ajetov baada ya kumia uzito kwa
ajili ya mpambano wao kulia ni mdau wa mchezo wa ngumi Nassoro Rashidi
na
meneja wake cheka, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security
meneja wake cheka, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security
…………………………………………………………………………………………………………………
DAWASCO YANASA NYUMBA TANO KWA WIZI WA MAJI TABATA
Fundi
wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), akiondoa
bomba la maji lililounganishwa kinyume cha taratibu katika moja ya
nyumba iliyopo eneo la Tabata Magengeni jijini Dar es Salaam. Dawasco
imeanza operesheni
wizi wa Maji iliyoanza hivi karibuni katika maeneo yote ya jiji la Dar es
salaam.
wizi wa Maji iliyoanza hivi karibuni katika maeneo yote ya jiji la Dar es
salaam.
MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais (Muungano na Mazingira) Mh. January Makamba (kushoto) akiongea na
Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Al-Najem, Balozi huyo alimtembelea Mh.
Makamba Ofisini kwake leo Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam kwa lengo
la kujadiliana masuala ya hifadhi na usimamizi wa Mazingira.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais (Muungano na Mazingira) Mh. January Makamba (kushoto) akiongea na
Balozi wa Kuwait Bw. Jasem Al-Najem, Balozi huyo alimtembelea Mh.
Makamba Ofisini kwake leo Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam kwa lengo
la kujadiliana masuala ya hifadhi na usimamizi wa Mazingira. Wengine
katika picha ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makumu wa Rais Bw. Mbarak
Abdulwakil na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje Bw. Barthlomew Jungu.
Badilisheni sera zenu muandike habari chanya kwa watu wenye ulemavu: Dkt Possi
Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu
wenye Ulemavu) Dkt Abdallah Possi akizungumza na Wamiliki na wahariri
wa vyombo vya habari leo ofisini kwake Jijini Dare s salaam.
Mhadhiri toka Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es
Salaam Shule ya Uandishi wa Habari Dkt Harub Riyoba (katikati)
akimsikiliza Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt
Abdallah Possi alipokutana na Wamiliki wa Vyombo vya habri kulia ni
Mkurugenzi wa Uendeshaji toka Azam Media Yahya Mohamed na kushoto ni
Meneja wa Uendeshaji toka Sahara Media Steve Diallo.
…………………………………………………………………………………………………..
No comments:
Post a Comment