Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Balozi Ramadhani
Mwinyi
Muombwa (kulia), akimsikiliza Balozi wa Comoro hapa nchini, Mhe. Ahmed
El
Badaoui Mohamed Fakih wakati wa mazungumzo yao makao makuu ya wizara
hiyo jijini Dar es Salaam, Januari 28, 2016. Mazungumzo hayo yalijikita
katika kuboresha mahusiano
kati ya Tanzania na Comoro
Naibu Katibu Mkuu, Balozi Ramadhani Mwinyi Muombwa (kulia), akifafanua jambo wakati wa mazungumzo hayo |
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Mlima (kulia), akigongesha glasi na Balozi
wa India hapa nchini, Bw. Sandeep Arya, ikiwa ni ishara ya kutakiana
heri baina ya mataifa mawiliya Tanzania na India, wakati wa
maadhimishoya miaka 67 ya Uhuru wa India, ambapo ubalozi wa India hapa
nchini uliandaa sherehe jijini Dar es Salaam
Balozi wa India hapa nchini, Bw. Sandeep Arya akitoa hotuba yake
Balozi wa India akikaribisha wageni
Mabalozi wakibadilishana mawazo wakati wa hafla hiyo
Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Mlima(kushoto), akitoa salam zake
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano
wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Aziz Mlima (kulia), amekutana
na kufanya mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi Mku wa Taasisi ya Kuazuia na
Kupambana na Rushwa, (TAKUKURU), Bw. Valentino Mlowola kwenye makao makuu ya
wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Mazungumzo hayo pia yalihudhuriwa na
Mkurugenzi wa kitengo cha Sheria cha Wizara hiyo, Balozi Baraka Luvanda, (wapili kulia picha ya chinina na
Afisa wa Mambo ya Nje Bw. Elisha Suku. (wakwanza kulia picha ya chini). (Picha
kwa hisani ya Wizara)
No comments:
Post a Comment