Pages

Wednesday, December 30, 2015

MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI ZA WAKIMBIZIWA BURUNDI HUKO NDUTANA NYARUGUSU MKOANI KIGOMA


 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi vifaa mmojawa wanawake wakimbizi kutoka Burundi, ambaye amejifungua kwenye hospitali wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kaslu  mkoani Kigoma akiwa katika ziara ya mkoa wa  Desemba 29, 2015
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na wanawake waliojifungua katika wodi ya wazazi ya hospitali ya wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kaslu  akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na wanawake waliojifungua katika wodi ya wazazi ya hospitali ya wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu wilayani Kaslu  akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwapungia wakimbizi kutoka  Burundi wakati alipotembelea kambi ya Nyarugusu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi  wa mashirika mbalimbali ya kimatifa wanaowahudumia wakimbizi wa Burundi kwenye kambi ya Nyarugusu wilyani Kasulu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi  wa mashirika mbalimbali ya kimatifa wanaowahudumia wakimbizi wa Burundi kwenye kambi ya Nyarugusu wilyani Kasulu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Watoto wa wakimbizi kutoka Burundi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo Desemba 29, 2015.


 Watoto wa wakimbizi kutoka Burundi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo Desemba 29, 2015.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Shule ya Msingi inayojengwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo  ambayo imepewa jina lake, Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015.  Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwa amekalia dawati katika moja ya madarasa ya Shule ya Msingi inayojengwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta ambayo imepewa jina lake . Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015. Wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi ya Nduta, Bw. Frederick Nisajile shilingi milioni 2 zikiwa ni mchango wa kusaidia programu ya upandaji miti kwenye maeneo yanayozunguka kambi hiyo. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri.
Ndugu Halidi Abdu toka kijiji cha Shenda chenye wakazi wapatao 2,800 katika kata ya Masumbwi wilaya ya Mbogwe mkoani Geita;akihojiwa na mtangazaji wa redio free africa william bundala almaarufu Kijukuu cha Bibi k akielezea jinsi walivyoweza kuwaadaa viongozi wao waweze kuwasomea taarifa yao ya mapato na matumizi.

Na Krantz Mwantepele, Geita 
Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita. Ni katika mazungumzo hayo ya siku tatu, ambayo Fedson toka kijiji cha Shenda alibadilishwa na kuwa mraghbishi wa aling’amua uwezo alio nao katika kusimamia rasilimali za kijiji chao, suala ni angezisimamiaje wakati yeye si  kiongozi na ni jukumu la wanakijiji wote. Katika mazungumzo hayo rafiki yao, Chukua Hatua aliwaambia, “Ni jukumu lako Fedson na waraghbishi wengine mliopo hapa, ni jukumu lenu la msingi kuj i t aj i r i s
Mwenyikiti mpya wa shirikisho la wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania TAHLISO Ndugu STANSLAUS PETER akila kiapo kulitumikia shirikisho hilo mbele ya mwanasheria HAMZA JABIRI leo Jijini Dar es salaam kuanza kazi rasmi ya kuwatumikia wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania


Uongozi mpya wa shirikisho la elimu ya vyuo vikuu nchini Tanzania TAHLISO umesema kuwa upo tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dr John pombe magufuli kwa kasi aliyoanza nayo na kuhakikisha kuwa elimu ya Tanzania hasa elimu ya vyuo vikuu inakuwa ya ubora unaofaa na inaheshimika nchini Tanzania.
Makamu Mwenyekiti  mpya wa TAHLISO  Ndugu JUMA ALLY OMARI akila kiapo leo jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment