Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (katikati), akikata utepe kuashiria ufunguaji
rasmi wa duka la dawa la Bohari ya Dawa (MSD), lililofunguliwa
Hospatali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam leo asubuhi. Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu, Mwenyekiti wa
Bodi ya MSD, Profesa Idrisa Mtulia na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MNH,
Profesa Laurence Mselu.
Msimamizi wa duka hilo, Betia Kaema
(kushoto), akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii, Dk.Donan Mmbando.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (wa pili kulia), akimsikiliza Msimamizi wa
Duka hilo, Betia Kaema (hayupo pichani), wakati wa ufunguaji wa duka
hilo. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD, Profesa Idrisa
Mtulia, Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH),
Profesa Laurence Mselu na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean
Bwanakunu.
Mwonekano wa duka hilo kwa nje.
Meneja Huduma kwa Wateja wa MSD, Salome Malamia (kulia), akizungumza na wateja waliofika kuhudumiwa katika duka hilo.
Maofisa wa MSD wanaotoa huduma katika duka hilo wakiwa kazini.
Dawa zikiwa zimepangwa katika duka hilo.
Wateja wakiwa katika duka hilo.
Msimamizi wa duka
hilo, Betia Kaema, akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii, Dk.Donan Mmbando wakati akikagua duka hilo.
No comments:
Post a Comment