Wednesday, May 5, 2021

Rais Dkt. Hussein Mwinyi amteua Nassor Shaaban Ameir kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF na Dkt Huda Ahmed Yussuf Mwenyekiti wa Bodi ZSSF


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Wenyeviti Katika Taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mjumbe wa Kamishena ya Utumishi wa Umma ...

 
 
 
 

No comments :

Post a Comment