Saturday, April 10, 2021

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI JAFO NA MHE, CHANDE


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Selemani Jafo kushoto na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa  Hamad Hassan Chande kulia, kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais katika makazi yake Jijini Dodoma leo April  2021. katika mazungumzo yao Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Mpango  amesisitiza juu ya utekelezaji wa haraka masuala ya Changamoto zilizobaki za Muungano na Mazingira ikiwemo suala la Mabadiliko ya Tabia Nchi.


No comments :

Post a Comment