Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba
Sebastian Waryuba (mwenye suti) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka
jipya la Vodacom wilayani humo juzi. Kushoto kwake ni Mkuu wa mauzo
kanda ya Pwani wa kampuni ya Vodacom Liston Clay Chale.
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba
Sebastian Waryuba (mwenye suti) akizungumza na wageni waalikwa na
wafanyakazi wa Vodacom wilayani Tandahimba mwishoni mwa wiki. Kulia
kwake ni Mkuu wa mauzo kanda ya Pwani kampuni ya Vodacom Liston Clay
Chale.
Mkuu wa mauzo kanda ya Pwani
kampuni ya Vodacom Liston Clay Chale akimuelezea Mkuu wa Wilaya ya
Tandahimba Sebastian Waryuba namna Vodacom Tanzania ilivyowekeza
kufikisha huduma kwa wateja kote nchini.
Wafanyakazi wa duka la Vodacom
Korogwe mjini wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya uzinduzi wa duka
jipya la kisasa wilayani humo juzi
Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Kissa
Kasongwa (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi duka jipya la Vodacom
mjini Korogwe juzi. Kulia ni Brigita Stephen mkuu wa kanda ya kaskazini
Vodacom
Wafanyakazi wa Vodacom wakiendelea na zoezi la usajili wa laini za simu kwenye uzinduzi wa duka jipya mjini Korogwe
No comments :
Post a Comment