Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.
Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana
na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na
Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika
katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau
mbalimbali wa sekta ya elimu.
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Avemaria Semakafu
akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo
kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita
kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule
ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya
elimu.
Kaimu Kamishna wa Elimu
Tanzania, Lyabwna Mtahabwa akielezea tuzo za Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba,
Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 wakati wa hafla ya Siku
ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo hizo leo jijini Dodoma. Hafla hiyo
imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa
na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato ya
jijini Dodoma wakifuatilia hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji
tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha
Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa
sekta ya elimu.
Waziri wa Elimu, Sayansi
na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi
Kumi bora wa Darasa la Saba 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu
iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato
cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo
imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa
na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
No comments :
Post a Comment