Upasuaji 1 na upasuaji 2 Madaktari
bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la
nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu kwenye
kambi maalum ya matibabu ya siku 12 inayoendelea katika Taasisi hiyo.
Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea
vizuri
Madaktari bingwa wa upasuaji wa
moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na
wenzao wa Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani
wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu katika kambi maalum ya
matibabu ya siku 12 inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa
11 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri
Madaktari bingwa wa magonjwa
ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la
Cardiostart International la nchini Marekani wakijadili maendeleo ya
wagonjwa waliolazwa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) ambao
wamefanyiwa upasuaji wa moyo. Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji
wa kufungua kifua katika kambi maalum ya matibabu inayoendelea katika
Taasisi hiyo na hali zao zinaendelea vizuri ambapo wengine
wamesharuhusiwa kutoka ICU na kurudi wodini kwa ajili ya kuendelea na
matibabu ikiwa ni pamoja na mazoezi.
Madaktari
bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Cardiostart International la
nchini Marekani wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kubadilisha valvu kwenye
kambi maalum ya matibabu ya siku 12 inayoendelea katika Taasisi hiyo.
Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea
vizuri.
Picha na JKCI
No comments :
Post a Comment