Eskom’s recent interim results were good enough for
S&P Global to hold the utility’s credit rating at CCC+ with negative
outlook in its latest report released on Thursday night.
In February, S&P downgraded Eskom to its seventh tier of junk, CCC+, from B-.
Maintaining its negative outlook indicates S&P may cut Eskom to
CCC, moving it from “substantial risks” to “extremely speculative”
within the next six months.
Pages
▼
Friday, November 30, 2018
MARKET WRAP: Rand falls on Friday but retains most of week’s gains
The JSE was dented by global risk aversion, while
Naspers’s results failed to lift the market ahead of the Trump-Xi
meeting this weekend
Eskom’s management and governance remains weak, S&P warns
The credit agency’s decision to hold Eskom at its seventh
tier of junk with negative outlook came shortly before the utility
escalated load-shedding from stage 1 to stage 2
30 November 2018 - 14:19
Robert Laing
SIKU YA UKIMWI DUNIANI:UNAIDS KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUPAMBANA NA UKIMWI
Balozi
wa Vijana ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mh. Jokate Mwegelo akibadilishana
mawazo na Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la
Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng wakati wa hafla ya kufunga
wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI
Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika
katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Balozi
wa Vijana ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mh. Jokate Mwegelo
akizungumza na hadhira ya vijana (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kufunga
wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI
Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika
katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Pichani
ni Hawa Musa (20) mmoja kati ya vijana zaidi ya 2000 wanaonufaika na mafunzo ya
ujasiriamali yaliyofadhiliwa na Shirika la EGPAF ambapo mafunzo hayo
yamewasiaida kutengeneza bidhaa mbalimbali
ikiwemo vikoi, mikoba ya shanga, Ubuyu, sabuni za maji na miche ambazo
zinawasaidia kupata fedha za matumizi mbalimbali akishiriki kuonyesha kazi zake
katika mabanda ya kijiji cha Vijana wakati wa hafla ya kuhitimisha wiki ya
shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo
kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yanayofanyika katika
viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Mkuu
wa Wilaya ya Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda akizungumza jambo kwa niaba ya Mkuu
mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge wakati akimkaribisha mgeni
rasmi Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira,
Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde wakati wa hafla ya kufunga wiki ya
shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo
kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja
vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Mkurugenzi
Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS)
nchini, Dk. Leo Zekeng akitoa salamu za Umoja wa Mataifa wakati wa hafla ya
kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya
UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika
katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde na Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda
aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk.
Leonard Maboko wakipata maelezo kutoka kwa Bi. Debora Frank (kushoto) ambaye ni
Afisa Miradi wa Huduma za Vijana wa
shirika la EGPAF ambao wanaotekeleza mradi wa USAID wa Boresha Afya kwa
kushirikiana na ENGENDER Health kuimarisha afya za watanzania wote na kuongeza
upatikanaji wa huduma za afya timilifu za kiwango cha juu na jumuishi wakati
alipotembelea kijiji cha Vijana kwenye hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za
vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli
mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yanayofanyika katika viwanja vya
Jamhuri Jijini Dodoma. Mradi unaolenga kuboresha huduma za kinga na matibabu ya
VVU/UKIMWI, uzazi wa mpango, Kifua Kikuu na kutoa huduma mahususi wa kuyafikia
makundi maalum kwa watoto na vijana.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi
Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko,
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda pamoja na Mkurugenzi
Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS)
nchini, Dk. Leo Zekeng wakipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwandamizi wa
masuala ya afya ya uzazi kwa vijana kutoka mradi wa Sauti unaratibiwa na
Shirika la JHPIEGO, Esther Majani (wa kwanza kushoto) kuhusu shughuli
wanazofanya za kutoa elimu ya kupunguza maambukizi mapya ya VVU kwa makundi
hatarishi ikiwemo mabinti walio nje ya shule wa miaka 15-24 wakati
walipotembelea kijiji cha Vijana kwenye hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli
za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo
kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yaliyofanyika katika
viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde akipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kiufundi-FP
wa shirika la JHPIEGO, Bi. Lena Mfalila (kushoto) kuhusu shughuli
zinazoendeshwa na Shirika hilo kupitia mradi wa Tupange Pamoja (TCI) ambayo ni huduma rafiki ya vijana katika afya
ya uzazi kwa vijana wakati walipotembelea kijiji cha Vijana kwenye hafla ya
kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku
ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi
yayonafanyika Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni Mtaalamu wa kiufundi-AYSRH
wa shirika la JHPIEGO kupitia mradi wa Tupange Pamoja (TCI), Bw. Waziri Njau
(katikati) pamoja na ‘Coacher’ -SRH wa shirika la JHPIEGO kupitia mradi wa
Tupange Pamoja (TCI),Bi Rehema Mzungu.
Msanii wa Bongo Flava Maua Sama akitoa burudani kwa wakazi wa Dodoma wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde (wa pili kushoto) akiwasili kwenye viwanja vya
Jamhuri jijini Dodoma akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti
Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto), Mkuu wa Wilaya ya
Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkazi na
Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS)
nchini, Dk. Leo Zekeng (kulia) wakielekea kutembelea kijiji cha Vijana wakati
wa hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha
maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema
Pima Jitambue, Ishi yayonafanyika Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde akihutubia wananchi wa Dodoma wakiwemo vijana
wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha
maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema
Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Pichani
ni baadhi ya kazi za mshindi wa kwanza katika eneo la uchoraji Edward Malongo
(tisheti nyeupe) wa picha zinatoa ujumbe
wa kuhamasisha kampeni ya kutokomeza VVU zikionyeshwa kwa wageni wa meza kuu
wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha
maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema
Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Kutoka
kushoto kwenda kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya
Madawa ya Kulevya na Ukimwi ambaye pia ni Mbunge wa Biharamulo, Mhe. Oscar
Mukasa, Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Bi .Mwanahamisi Mukunda, mgeni rasmi Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi
Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko, Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa
Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo
Zekeng pamoja na Balozi wa Vijana ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mh.
Jokate Mwegelo wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea
kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu
inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini
Dodoma.
Mwenyekiti
wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Madawa ya Kulevya na Ukimwi ambaye
pia ni Mbunge wa Biharamulo, Mhe. Oscar Mukasa akitoa salamu za kamati yake wakati
wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho
ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue,
Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde akikabidhi zawadi ya kombe ya mshindi wa kwanza
kwa kapteni wa timu ya mpira ya vijana walio nje ya shule ya Panama, Bw. Dunia
Salumu wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele
cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu
inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini
Dodoma.
Afisa
Maendeleo Vijana wa Mkoa wa Dodoma, Bw. Tumsifu Mwasambale (kushoto) akionyesha
moja ya picha iliyoshinda wakati wa wiki ya shughuli za kijiji cha vijana
iliyochorwa kijana Edward Malongo na kupigwa mnada ambapo zaidi shilingi 2.7
zilipatikana ambapo nusu zilienda kwa mchoraji na nyingine kwenye mfuko wa
udhibiti wa Ukimwi (ATF) wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana
kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya
mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri
Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Uzazi Salama
mkoa wa Dodoma wa Shirika la PSI Tazania, Bi. Sophia Jamal (kushoto) kuhusu
elimu ya afya ya uzazi wanayotoa kwa mabinti kuanzia miaka 13-19 yenye kauli
mbiu ya Binti “Dhamiria kutimiza ndoto yako-“Simama Imara” “Vaa Taji”, “Kua
Mzuri” wakati alipotembelea kijiji cha Vijana kwenye hafla ya kuhitimisha wiki
ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani
ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi yanayofanyika katika
viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Mchekeshaji
maarufu nchini Stan Bakora akitoa burudani ya kuhamasisha upimaji wa UKIMWI kwa
njia ya vichekesho wakati wa hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana
kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya
mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri
Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde akipata maelezo kutoka kwa Meneja masoko wa
Shirika lisilo la kiserikali la T-MARC Tanzania, Bi. Sophia Komba kuhusu
shirika hilo linalotoa elimu kuhusu matumizi ya Kondomu ili kujikinga na
maambukizi ya magonjwa ya ngono ikiwa pamoja na UKIMWI katika mabanda ya kijiji
cha Vijana wakati wa hafla ya kuhitimisha wiki ya shughuli za vijana kuelekea
kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu
inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini
Dodoma. T-MARC Tanzania wanafanya kazi kwa kushirkiana na Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto katika kuboresha afya ya jamii ya
watanzania ambapo pia ni wasambazaji wa bidhaa za afya ambazo ni Kondomu ya
kiume- Dume, Kondomu ya kike Lady Pepeta na vidonge vya uzazi wa mpango-Flexi
P. Wa pili kushoto ni Outreach Educator wa T-MARC Tanzania, Dotto Iddy.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko
akifurahi jambo na Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na
UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng wakati wa hafla ya
kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya
UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi
iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko
akitoa neno kwa mgeni rasmi Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Mh. Antony Mavunde wakati wa hafla ya
kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya
UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi
iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Walemavu, Mh. Antony Mavunde akikabidhi zawadi ya kombe ya mshindi wa kwanza
kwa kapteni wa timu ya mpira wa pete ya Vijana Queens, Ngesa Selemani wakati wa
hafla ya kufunga wiki ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya
Siku ya UKIMWI Duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue,
Ishi iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.
Pichani
juu na chini ni sehemu ya wakazi wa Dodoma walioshiriki hafla ya kufunga wiki
ya shughuli za vijana kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani
ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema Pima Jitambue, Ishi iliyofanyika katika

ambapo kauli mbiu ya