Thursday, July 5, 2018

KANGI LUGOLA AREJEA JIJINI DAR ES SALAAM AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI


PIX 1
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam,walijadiliana  mambo mbalimbali yanayolihusu jeshi hilo
PIX 2
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akijadiliana  mambo mbalimbali yanayolihusu jeshi hilo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam baada ya Waziri Lugola kurejea kutoka jijini Mbeya
PIX 3
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akipeana mikono na   Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye(kulia), baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments :

Post a Comment