Monday, June 11, 2018

RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA

 Mbunge
 wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete akiwa ana swali
 kabla ya Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na
 Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu
 Ikulu ndogo Msoga Mmoja ya Wadau kutoka Tasisi ya K Innovates Nasra Kaseja akizungumz ajuu ya umuhimu wa kuwasaidia watoto yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na  Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na
 Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu
 Ikulu ndogo Msoga Msherehesjai wakati wa Iftar hiyo Mtangazajoi wa Raidio Masoud Kipanya akizungumza juu ya utaratibu na umuhimu wa kufutirisha makundi ya watu maalum katika kipindi hichi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.   Mbunge
 wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete akiwa ana swali
 kabla ya Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na
 Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu
 Ikulu ndogo Msoga Mbunge
 wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete akipakuwa chakula wakati wa  Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na
 Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu
 Ikulu ndogo Msoga Wadau wa Tasisi ya Ko Innoavate Pink Ijab wakiwa katika picha ya kabla ya Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu
 Ikulu ndogo Msoga Mbunge
 wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete katikati  akiwa na Wadau waliotoa Vifaa kwa ajili ya Watoto Yatima wakati wa  Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na
 Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar  hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu
 Ikulu ndogo MsogaBaadi ya wadau waliofika  katika  Iftar   iliyofanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu
 Ikulu ndogo Msoga

No comments :

Post a Comment