Tuesday, June 19, 2018

MKUTANO WA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA ZANZIBAR


DSC_0554
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa(wapili kulia )akizungumza machache na kumkaribisha Waziri wa Fedha na mipango katika mkutano na  Waandishi wa Habari kuelezea Mapitio ya Uchumi na Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019.Hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini Zanzibar.
DSC_0563
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Fedha na Mipango DKT,Khalid Salum mohammed   kuelezea Mapitio ya Uchumi na Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019. katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini Zanzibar.
DSC_0566
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohamed akielezea  Mapitio ya Uchumi na Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019. katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini Zanzibar.
DSC_0617
Muandishi wa Habari wa Hits Fm Zuhura Husein akiuliza maswali   katika Mkutano wa Waziri wa Fedha na Mipango DKT,Khalid Salum mohammed   kuelezea Mapitio ya Uchumi na Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019. katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini Zanzibar.
DSC_0619
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Khalid Salum Mohammed akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa katika Mkutano na Waandishi wa Habari  kuelezea Mapitio ya Uchumi na Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019. katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments :

Post a Comment