Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimsikiliza Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku (Msukuma) Bungeni
jijini Dodoma Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Habari, Sanaa , Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe, akizungumza Bungeni jijini Dodoma Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai akitoa maelekezo Bungeni jijini Dodoma Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimsikiliza Mbunge wa Misungwi Charles Kitwanga, Bungeni jijini
Dodoma Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, nje ya jengo la
Bunge jijini Dodoma Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiongea na Machifu kutoka Mkoa wa Mbeya, nje ya jengo la Bunge jijini
Dodoma Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Machifu kutoka Mkoa wa Mbeya,
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, nje ya jengo la Bunge jijini
Dodoma Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kwenye viwanja vya
Bunge jijini Dodoma Juni 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment