Afisa Usimamizi Fedha kutoka
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Mmaka
Mwinjaka akiwasilisha mada kwa washiriki wa awamu ya pili ya mafunzo
ya mfumo wa Epicor 10.2 yanayofanyika jijini Mbeya yakiwashirikisha
wahasibu na waweka hazina wa mikoa ya Njombe,Songwe, Katavi na Mbeya.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini, Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) Bi. Rebeca Kwandu akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Timu ya
Mifumo ya TEHAMA kutoka mradi wa PS3 Bw. Desderi Wengaa leo jijini Mbeya
wakati wa awamu ya pili ya mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2
yanayofanyika jijini Mbeya yakiwashirikisha wahasibu na waweka hazina wa
mikoa ya Njombe,Songwe, Katavi na Mbeya.
Sehemu ya Wahasibu na waweka
hazina wa mikoa ya Njombe,Songwe, Katavi na Mbeya wakifuatilia mfumo
wa Epicor 10.2 yanayofanyika jijini Mbeya yakiwashirikisha wahasibu na
waweka hazina wa mikoa ya Njombe,Songwe, Katavi na Mbeya.
Msimamizi wa masuala ya Fedha
Kutoka mkoa wa Katavi Bw. Ananias John akizungumza wakati wa mafunzo
Wahasibu na waweka hazina wa mikoa ya Njombe,Songwe, Katavi na Mbeya
yanayoendelea jijini mbeya ikiwa ni awamu ya pili.
Mhadhiri kutoka Chuo cha Serikali
za Mitaa Hombolo Bw. Muhsin Danga akisisitiza jambo wakati wa mafunzo
kwa waweka hazina wa mikoa ya Njombe,Songwe, Katavi na Mbeya
wakifuatilia mafunzo mfumo wa Epicor 10.2 yanayofanyika jijini Mbeya
yakiwashirikisha wahasibu na waweka hazina wa mikoa ya Njombe,Songwe,
Katavi na Mbeya.
Mwezeshaji kutoka Ofisi ya Rais
–TAMISEMI Bi. Asha Msangi akiwasilisha mada kuhusu matumizi ya mfumo wa
Epicor 10.2 kwa waweka hazina wa mikoa ya Njombe,Songwe, Katavi na
Mbeya wakifuatilia mfumo wa Epicor 10.2 yanayofanyika jijini Mbeya .
(Picha zote na Frank Mvungi- MAELEZO, Mbeya)
No comments :
Post a Comment