Sunday, May 27, 2018

TCRA YATOA LESENI KWA WATOA HUDUMA ZA HABARI MTANDAONI KWA INTANETI


Afisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha HakiPensheni Christian Shitambala Gaya (kulia) akionesha waandishi wa habari leseni ya HakiPensheni Blog (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi James Kilaba.



Mhandisi James Kilaba Mkurugenzi Mkuu wa TCRA

No comments :

Post a Comment