Friday, March 23, 2018

WAJUMBE WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI WATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA OFISI ZA NEC DODOMA


Picha na 1
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na
Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage
wakimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Ujenzi wa jengo la NEC kutoka TBA,
Mhandisi Yohana Mashausi (kushoto) walipotembelea eneo la Mradi wa
Ujenzi wa Jengo hilo eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.
Picha na 2JPG
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na
Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wakiendelea
kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la NEC mkoani Dodoma. Wajumbe hao
wameitaka TBA kukamilisha mradi huo kwa wakati.
Picha na 3 JPG
Sehemu ya jengo la Utawala la Ofisi za Tume ya Taifa ya
Uchaguzi zinazoendelea kujengwa eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.
Picha na 4 Picha na 5JPG
Msimamizi wa Mradi kutoka Chuo Kikuu Ardhi, Godwin
Maro akitoa taarifa ya maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Tume kwa
Wajumbe na Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi waliotembelea eneo
la mradi mkoani Dodoma.

No comments :

Post a Comment