Mgeni Rasmi katika Mahafali
ya 10 ya Chuo cha Usimamizi wa Kodi (ITA), Dkt. Yamungu Kayandabila (kushoto)
akiongozwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles
Kicheere kuingia ukumbini kwa ajili ya kuanza kwa hafla ya mahafali
ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 18,
2017.

Baadhi
ya Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa
Kodi (ITA) pichani wakifuatilia hotuba
zilizokuwa zikitolewa na wageni mbalimbali waliohudhuria mahafahali ya 10 ya
Chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 11, 2017.
Baadhi ya Viongozi na Wahadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Kodi wakiongozwa
na kikosi cha bendi cha Jeshi la Polisi kuingia katika ukumbi wa Multipurpose
katika Chuo hicho wakiwa tayari kuanza mahafali ya 10 ya Chuo
hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 18, 2017.
Baadhi
ya ndugu na jamaa za wanafunzi waliohitimu katika Chuo cha Usimamizi wa Kodi
wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa mahafali ya 10 ya Chuo hicho
yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 18, 2017.
Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Huduma kwa Walipa Kodi wa Malamka ya Kodi Tanzania
(TRA), (katikati) Richard Kayombo akijadiliana jambo na Maafisa Waandamizi wa
Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) wakati wa mahafali ya 10
ya Chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Novemba 18, 2017.
No comments :
Post a Comment